digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
- Thread starter
-
- #81
Umeandika pumba kiasi kwamba hata mkwepu jr hawezi like.
Its not about like, its about making sense.
Wewe utaishi milele sio?Utakufa wewe ila sio CHADEMA!
Nitakufa nikiiacha CDM!Wewe utaishi milele sio?
Sasa wasiwasi wako ni nini?Nitakufa nikiiacha CDM!
Nikuulize wew!Sasa wasiwasi wako ni nini?
Unaniuliza nini?Nikuulize wew!
Sijui.Nini!
Hiyo tunaita " kufungwa twafungwa lakini chenga twawala"........bwashee!
Sumaye , Lowasa Mashinji wamerudi kwa shinikizo yaani msalaba ni mzito kuubeba,Sumayi na Lowasa wamejisalimisha kulinda maslai yao yaani stahiki za ustaafu na kulinda mali zilizopo zisipukutishwe yaani wafanye wawe masikini ili uwatawale,mashinji kajisalimisha msalabani kukwepa kifungo kwa kesi inayosogezwasogezwa ili ibakie miezi michache hukumu ya maagizo kuwafunga wapinzani wote kuanzia kina zito hadi uchaguzi upite,kule maalimu atawekewa bandio hadi atimize miaka 2 ya kujiunga chama kipya.Wengine waliohama wamefata asali yaani shibe uwasikii tena wakipiga kelele kama walivokuwa upinzani, wengine wana mikopo mikubwa benk watailipa vipi sasa ile fear of unknown yaani kutishwa hakuna mpinzani atakaerudi bungeni ile hofu imewapelekea kujisalimisha kupigwa chapa.Swali kama sio biashara mbona viti maalumu na Zanzibar awaungi juhudi?Uliona wapi timu ya mpira ikafa kwa kuondoka kwa baadhi ya wachezaji tena sio kiungo ni timu B yaani wakaa bench hali makocha na mashabiki wapo?Naomba niwasabahi wanachama wa jf,hamjambo?
Naomba niende kwenye hoja yangu juu ya wafuasi na wanachama wa CHADEMA,Naomba niweke kumbukumbu sawa, hakuna mwaka ambao chadema aliwahi kuvuna wanachama wengi toka CCM kama mwaka wa Mafuliko 2015, ambapo watu mashuhuri toka CCM walijiunga na CHADEMA huku chadema akishangilia na kujitanua juu ya anguko la CCM.
Kwa kuwa vile unavyo mtenda mwenzako ndivyo nawe utakavyo tendwa(what comes around ,goes around) Leo hii chadema amesahau kuwa wakati CCM inasikitika kupoteza wanachama wake wakongwe mwaka 2015, yeye Chadema alikuwa anashangilia, mambo yamekuwa kinyume chake chadema ameanza kulialia na kulalamika eti CCM inanunua wapinzani,hii ni hoja mfu ambayo haina nashiko na inapaswa kupuuzwa, kama ndivyo hao chadema watuambie waliwanunua kiasi gani Lowassa na Sumayi maana inaonekana wana uzoefu mkubwa wa kununua na kuuza wafuasi wa vyama.
NB: Chadema wavumilie ,huu ni ubatizo wa moto,kwani ngoma bado mbichi sana hii,kufikia Oct 2020 tutaheshimiana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili uwe ccm inatakiwa uwe either ni mnufaika au uwe mnyonge yaan a futureless person jiulize wamefata nn kwann wote uhamia cccm na si kwenda vyama vingineMnaposema wananunuliwa huwa mnalalamika au ? Mtakoma you just wait,CCM's
ambition is to eradicate chadema's existence as a political party and turn it to a group of street vendors.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mngetuonyesha kaburi la upinzani kwanza au huu sio 2020 si mlisema utakuwa umeshafutikaKama wamepoteza aliyekuwa Katibu wa Chama ambaye aliletwa na mwenyekiti kuokoa jahazi basi ni wazi Chama hiki kamwe hakiwezi kuaminiwa na watanzania.
RiP Chadema.
VIVA WASSIRA kwa kutabiri haya.
Ni uwendawazimu kuamini kuwa Chadema itaweza kupata japo jimbo moja tu la Ubunge.
Mkuu wangu hili likitokea taifa litafaidika na nini?Mnaposema wananunuliwa huwa mnalalamika au ? Mtakoma you just wait,CCM's
ambition is to eradicate chadema's existence as a political party and turn it to a group of street vendors.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tathmini yoyote,kama mpinzani anaweza kupigwa risasi 32 ili afe,na uchunguzi usifanyike,hata kumuombea ilikatazwa,mtu yuko mahututi wenzie na familia ikaona akimbizwe kenya lkn serikali ikasema apite muhimbili kwanza apate kibali,akanyimwa mshahara,akanyimwa matibabu,akavuliwa na ubunge na mengine mengi...hata mimi ningeogopa kuwa upinzani.Hii hoja ya kununuliwa inashangaza. Wanasiasa wakubwa wakubwa kabisa eti wananunuliwa kama maembe sokoni.
Yawezekana pia kukawa na matatizo ama ya kiutendaji na hata kiulaji huko wanakopakimbia. Na badala ya kukalia kusema kuwa wananunuliwa, si vibaya pia kujifanyia tathmini kama kuna sababu nyingine inayowafanya watu hawa wazima na akili zao kutimka. Kujifanyia uchunguzi wa kina wa afya mara kwa mara kwa kawaida ni jambo jema.
Sumaye , Lowasa Mashinji wamerudi kwa shinikizo yaani msalaba ni mzito kuubeba,Sumayi na Lowasa wamejisalimisha kulinda maslai yao yaani stahiki za ustaafu na kulinda mali zilizopo zisipukutishwe yaani wafanye wawe masikini ili uwatawale,mashinji kajisalimisha msalabani kukwepa kifungo kwa kesi inayosogezwasogezwa ili ibakie miezi michache hukumu ya maagizo kuwafunga wapinzani wote kuanzia kina zito hadi uchaguzi upite,kule maalimu atawekewa bandio hadi atimize miaka 2 ya kujiunga chama kipya.Wengine waliohama wamefata asali yaani shibe uwasikii tena wakipiga kelele kama walivokuwa upinzani, wengine wana mikopo mikubwa benk watailipa vipi sasa ile fear of unknown yaani kutishwa hakuna mpinzani atakaerudi bungeni ile hofu imewapelekea kujisalimisha kupigwa chapa.Swali kama sio biashara mbona viti maalumu na Zanzibar awaungi juhudi?Uliona wapi timu ya mpira ikafa kwa kuondoka kwa baadhi ya wachezaji tena sio kiungo ni timu B yaani wakaa bench hali makocha na mashabiki wapo?
Kwani mahakama, jeshi,dola na bunge kuwa mfukoni ni matakwa ya katiba au matakwa ya mwanasiasaHizi stahiki za lowasa na sumayi ziko kwa mujibu wa katiba au ziko kwa utashi wa chama cha siasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
AHakuna tathmini yoyote,kama mpinzani anaweza kupigwa risasi 32 ili afe,na uchunguzi usifanyike,hata kumuombea ilikatazwa,mtu yuko mahututi wenzie na familia ikaona akimbizwe kenya lkn serikali ikasema apite muhimbili kwanza apate kibali,akanyimwa mshahara,akanyimwa matibabu,akavuliwa na ubunge na mengine mengi...hata mimi ningeogopa kuwa upinzani.