Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sinza wana branch pia..
Shukrani mkuu!! Je base currency ya account unashauri ipi?? Na lot size ni ipi nzuri kwa kuanza??

Na ukiwa una trade ni lazima moja iishe ndio uanze ingine?? Haifai kuweka multiple trades?? Mfano na buy...then naanza ingine ya ku buy au kusell!?
 
App gani hiyo??
 
Binafsi natumia FNB toka 2015. Wapo vizuri. Hela yako unaipata kwa wakati..
Nataka niwajaribu na Standard Chartered nione huduma zao zipoje..
Diversifying my portifolio..
Habari mkuu. Naomba kufahamua haya.
  • Je card inatakiwa iwe kwenye TZS au USD?

  • FNB wana kadi tofauti tofauti, kati ya hizi ipi unashauri?
    - Smart Gold
    - Gold
    - Platinum
Ahsante
 
Habari mkuu. Naomba kufahamua haya.
  • Je card inatakiwa iwe kwenye TZS au USD?

  • FNB wana kadi tofauti tofauti, kati ya hizi ipi unashauri?
    - Smart Gold
    - Gold
    - Platinum
Ahsante

Card yeyote inayosupport online purchasing hata ile yako ya Bank ABC unayoweka cash. Kwa FNB hata ukiwa na Smart Gold nayo inafaa tu bila shida. Kwasababu hata ukiwa unaweka hela kwenye account yako ya kutrade unaweza tumia Skrill, Netteler au Paypal, huwa natumia hizo kwa usalama wa card yangu.
Account ikiwa ya Tsh sio mbaya.
Generally, ni kama unafanya online transactions. Wanakata hela yao ambayo wanai convert kwenda USD inapoingia kwenye account yako.
 
Shukrani mkuu!! Je base currency ya account unashauri ipi?? Na lot size ni ipi nzuri kwa kuanza??

Na ukiwa una trade ni lazima moja iishe ndio uanze ingine?? Haifai kuweka multiple trades?? Mfano na buy...then naanza ingine ya ku buy au kusell!?
Base ya currency sijakuelewa unamaanisha nini hapo..
Unaweza kuweka multiple trades kukiwa na lot size tofauti pia.
Ila kwa kuanzia anza na lot ya 0.01.. Ukiwa na trades nyingi zitakuchanganya, utashindwa kuzimanage. Ukishakuwa pro ndo uanze kuwa na trades nyingi at the same time..
Go slow bro.
 
Mkuu tafadhali ndugu yangu ONTARIO niwepo na mimi 0624 012 321

Mkuu mwingine 0762 860 416

Shukrani mkuu
 
Kama umepiga approximation kwamba 11USD/TSH.25,000 X SIKU 30= Tsh.750,000 profit kiuhalisia nadhani hesabu haitokuwa sahihi maana weekend FOREX market inakuwa closed so siku almost 8(2daysx4weeks of a month) hauto trade.Atleast kwa uelewa nilionao kwa sasa
 
Kama umepiga approximation kwamba 11USD/TSH.25,000 X SIKU 30= Tsh.750,000 profit kiuhalisia nadhani hesabu haitokuwa sahihi maana weekend FOREX market inakuwa closed so siku almost 8(2daysx4weeks of a month).Atleat kwa uelewa nilionao kwa sasa
Nice observation!!! Thanks kwa kunikumbisha!!
 
Demo bana kuna siku unapata faida siku unapata loss ya maana
Jana yangu ilienda mpaka negative...nikasema si mbaya acha niache!! Leo asubuhi nikakuta zimepanda zote zilizokua kwenye red!! Nikauza hapo hapo!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…