usernameyangu
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 249
- 358
Msaada jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu!! Je base currency ya account unashauri ipi?? Na lot size ni ipi nzuri kwa kuanza??Sinza wana branch pia..
Cc PROFfESORJaman nimesoma kitabu ingawaje sijamaliza Ila nmejaribu kupractice dooh nimekula loss mpaka basi,mwenye uelewe kidogo anisaidie au Kama kuna group la WhatsApp Naomba mni add
Sijakuelewa mkuu nn umemaanisha
Jaman nimesoma kitabu ingawaje sijamaliza Ila nmejaribu kupractice dooh nimekula loss mpaka basi,mwenye uelewe kidogo anisaidie au Kama kuna group la WhatsApp Naomba mni add
Hao ndio watu wenye link ya whatsappMsaada jaman
App gani hiyo??Habari wana jamvi!
Sitaki kutia maneno mengi maana kila kitu kinaonekana kwa picha!! KWA KIFUPI NI DEMO ACCOUNT NOT REAL!
Nilichojifunza lazima uwe msomaji mzuri wa graphs na uwe mtulivu na ujue kuhimili mihemko yako!!
Kingine ni kwamba....EUR/USA nimeikubali sanaaaa!!
Kitu nnajiuliza kama ndani ya siku moja nimeingiza huo mshiko je ndani ya mwaka au mwezi ntakua wapi???
Initial deposity ilikua 1m dola. Assume ningekua na dola 1000 cash kwenye real account, maana hapo faida ingekua dola 111.5 ndani ya siku moja!!
Haya 111.5 tukiipeleka kwenye Tsh inakua kama laki mbili unusu hivi!! Hii ni ndani ya SIKU MOJA TU!! Sijatoka jasho ila presha ya kupanda na kushuka ilinihusu hahahaaa!!
Kwa mwezi almost itachezea wastani wa 7mil !!! Duuh nimekumbuka magu alisema analipwa 9mil japo mpaka leo hajatoa salary slip yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
Sasa nna maswala machache hapa!!
Je ni benki gani wanaweza nifaaa kwenye hii forex??? BENKI GANI HAWANA USUMBUFU??
This thing is real wakuu!!
KARIBUNI TUENDELEE KUJIFUNZA!!
![]()
![]()
![]()
Habari mkuu. Naomba kufahamua haya.Binafsi natumia FNB toka 2015. Wapo vizuri. Hela yako unaipata kwa wakati..
Nataka niwajaribu na Standard Chartered nione huduma zao zipoje..
Diversifying my portifolio..
Habari mkuu. Naomba kufahamua haya.
Ahsante
- Je card inatakiwa iwe kwenye TZS au USD?
- FNB wana kadi tofauti tofauti, kati ya hizi ipi unashauri?
- Smart Gold
- Gold
- Platinum
Base ya currency sijakuelewa unamaanisha nini hapo..Shukrani mkuu!! Je base currency ya account unashauri ipi?? Na lot size ni ipi nzuri kwa kuanza??
Na ukiwa una trade ni lazima moja iishe ndio uanze ingine?? Haifai kuweka multiple trades?? Mfano na buy...then naanza ingine ya ku buy au kusell!?
Meta trader 5 (MT 5)!App gani hiyo??
Broker gani anatumia MT5?Meta trader 5 (MT 5)!
MT 5 wenyewe wana demo account! Hiyo ndio nnatumia!Broker gani anatumia MT5?
Kama umepiga approximation kwamba 11USD/TSH.25,000 X SIKU 30= Tsh.750,000 profit kiuhalisia nadhani hesabu haitokuwa sahihi maana weekend FOREX market inakuwa closed so siku almost 8(2daysx4weeks of a month) hauto trade.Atleast kwa uelewa nilionao kwa sasaMkuu uko sahihi! Lakin kwa huo mkwanja ningekua na akaunt yenye dola 100 maana kwa jana ningepata 11 USD! JE NI NDOGO??
Kwa wastan wa dola 11 kwa siku maana ni 25000 tsh...kwa mwezi ni almost 750,000/=! JE KWA MTU WA KAWAIDA NI NDOGO???
Hapo ukiwa na hiyo usd 200 ina maana una 1mil +++ per month!! Bado si mbaya mkuu!
Te rule of thumb is...ukiwa na lot size kubwa unakuwa na possibility ya ku earn more!! Lakin hata kama una hiyo dola 200 uki apply leverage bado u gonna make it!!
Karibu!
Nice observation!!! Thanks kwa kunikumbisha!!Kama umepiga approximation kwamba 11USD/TSH.25,000 X SIKU 30= Tsh.750,000 profit kiuhalisia nadhani hesabu haitokuwa sahihi maana weekend FOREX market inakuwa closed so siku almost 8(2daysx4weeks of a month).Atleat kwa uelewa nilionao kwa sasa
Jana yangu ilienda mpaka negative...nikasema si mbaya acha niache!! Leo asubuhi nikakuta zimepanda zote zilizokua kwenye red!! Nikauza hapo hapo!!Demo bana kuna siku unapata faida siku unapata loss ya maana
MT5 sidhani kama imekua stable. Tumilia MT4 ndo ipo vizuri..MT 5 wenyewe wana demo account! Hiyo ndio nnatumia!
Wako brokers kama xm brokers na wengine wengi! Wacheki hapa...
![]()
![]()