Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
H Huu ndio uzalendo tunataka watu wana onyesha fursa kwa wengine bila kificho safi sana ubarikiwe!
 
Thanks mtoa mada, nimepata kitu leo, watu wanatamani sana fanya hii kitu ila tukumbuke

Good entrepreneur must be neutral to win and lose

Hii kitu sio risk free kiasi hicho inahitaji kutuliza akili tusiwe tuna focus zaidi faida.

"Potential return rises with an increase in risk"

Nipende washirikisha hii game hapa Forex-hero – Applications Android sur Google Play

Itawasaidia pata mwanga kama mimi nilivopata kiasi.

Nimepata wazo lakutengeneza game kwakiswahili ila nimpaka nitakapo kuwa expert wakutosha kwenye hii bsness ya forex.

All the best kizuri kula na mwenzio. Hongera mtoa mada.
 
Tru dat brah tel'em!!!!!aint nuttin come in dat eazy way,ulipotoa idea tu kwa true hustla ilikua binge la reward yan watu washaanza kujitaftia added knowledge huko google mpaka bas,God bless u bro million time
 
Pamoja na makala nzuri ya boss hapo, ila guys huu ni ushauri wa tajiri namba 3 duniani..


Vijana wengi tunajaribu kila kitu kwa tamaa tu ya kupata utajiri wa haraka.. Haya mambo ya Forex mimi binafsi nayafanya tangia 2012 na wala siwezi kumshauri mtu ambaye hana uelewa kiduchu wa Finance afanye. It's very complicated unless uache kila kitu unachofanya na udedicate muda wako kwenye hizi Forex pekee.. Ni biashara nzuri sana lakini it has higher risk.. Wengi sana wanaibiwa na Brokers kwenye hizi biashara..
 
Mheshimiwa Ontario, nami naomba niwemo katika watu Wa mwanzo.

Eeh Mungu nijaalie muda Wa kuanza hii kitu utakapofika, niwe na angalau $ 3000 za kuanzia.
Ontario asante sana kwa hii elimu adimu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binadamu bhana Kwa hiyo ka like kamekuuma sana mpaka umekaulizia?

Je ungekuwa na huu mchongo wa ONTORIO ungewapa wenzako kweli?
Unajua ina udhi sana unakosa uvumilivu hadi unatoa tusi kubwa namna hiyo, ulitaka tukisifie?
 
Unatrade tangu 2012?! Basi kuna possibility kubwa unafanya kitu usichokifahamu. Huelewi kbs why you enter and exit a trade, yani miaka mi5 ilibidi uwe mbali mno.

By the way unatumia broker gani mpk unaweza kuibiwa?! Au huyo aliyeibiwa anatumia broker gani?!

Which trading strategy do you use?!

Mkuu niseme wazi, najua unanichukia uliwahi kunikuta kwenyw thread yangu gani sijui, ukanirushia maneno mengi sana (sijui kama ni wewe au nachanganya), lkn niseme hivi, yani kama mpaka leo unapoteza pesa zote kwenye forex na una miaka mi5 wewe bado ni infant trader. Kuna kila kitu, investing.com inakupa updates zoooote unazohitaji kufanya fundamental, kuna tools zaidi ya 100 zinazokuguide, sasa hivi knowledge imekua pana sana, kuna SL hadi na pending orders bado unapoteza pesa. Kaka come to my class and learn naked forex.

Na ukiona biashara haina risk hp duniani basi jua hakuna unachokifanya boss.
 
Samahani mkuu, samahani Kwa mshikaji na wana jamvi Kwa ujumla

Nilishindwa kabisa kuzitawala hisia zangu kwani kifaa ninachotumia ni kidogo mno so u can imagine unajisikiaje mtu anapo nukuu uzi mrefu kama huu

Yote Kwa yote nakiri sikutumia lugha ya kistaarabu Mimi mwenyewe imeniumiza
 
Tru dat brah tel'em!!!!!aint nuttin come in dat eazy way,ulipotoa idea tu kwa true hustla ilikua binge la reward yan watu washaanza kujitaftia added knowledge huko google mpaka bas,God bless u bro million time
mim toka saa 10 mpk saiv,nimeshaanza kuielewa sasa forex,ngoja nichimbe zaidi.
 
Reactions: MC7
Mkuu ONTARIO kama nataka kuanza, ni vitu gani nahitaji??

1. Akaunti nitatumia ya benki gani??

2. Hao broker unapendekeza yupi ambaye yuko friendly kwa mazingira yetu ya bongo??

Nilikua nimeanza kupitia videos za youtube kidogo nna ka basic knowledge!! Bado najifunza!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…