Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Mimi Ni ushauri Labda
KITABU ITAKUA MALI YA KILA MTU, KAMA NILIELEWA VIZURI WE ULISEMA UMEKINUNUA KWA MWANAOO MMOJA SA KAMA 100,000TSH.

ME naona INAWEZA KUWA RAHISI ZAIDI TUKAWEKA 500/= au 1000 kwa mtu ambae angependa. KWA WATU 150 NI KAMA 150,000 then KITABU KITOLEWE COPPY STATIONARY KILA MTU AKALIPIE COPY YAKE PALE.

HII ITAONGEZA PIA OWNERSHIP ESSENCE KWA MTU ALIEKO TAYARI KUSOMA- MAANA KAMA kitawekwa katika stationary za wanavyuo copy inaweza kuwa shilingi 50-100 kwa page mbili (Both side printing) najua mahali inawezekana. kwa maana hyo kwa page 300 inaweza kuwa 15,000-30,000 TSH ambayo ni pesa accessible kwa kila mtu kwa ajili ya sensitive material kwa ajili ya BIASHARA YAKE.

LAbda kama kuna mwenye wazo tofauti

MAWAZO MENGINE TUPATE SOLUTION
 
Mkuu soft copy ishapatikana kitambo na amekiapprove...endelea kusoma post zilizofatia baada ya hiyo uliyoijibu

Na watu walishapakua na ndo wako bize saivi kukisoma including me

Glory to Yhwh
 
Mkuu kitabu kimeshapatikana sofcopy na tayri wadau wamesha kiupload hapa hapa pitia nyuzi taratibu utakiona
 
testing- making sure the system works
spike reversal-change of chart/market direction
safe heaven-stable market with low risk.
Backing and filling-????
resistance and support -zone where market direction get resistance ans reverse the market direction

mkuu nimejitest knowledge so far
 
Heshima yako Mkuu Black Idea,

Mpaka sasa tayari kitabu kimeshakuwa uploaded kwenye huu uzi kwa hisani ya Mkuu MWANA WA NGURUMO..
Kutokea pale nilijua mambo ya stationary yaliishia pale....

Sasa sijajua kama umeona au laah..! kama hujaona unaeza refer post no.3295 ili uweze kupakua....

Na sidhani kama itakuwa busara kuendelea kumtwisha mzigo mkuu Ontario wa kukipeleka stationary
ukizingatia yuko busy, kitabu kipo humu na ameshatoa go ahead kitabu ndio chenyewe....

Binafsi naona kila mtu kwa nafasi yake achukue softcopy akaprint mwenyewe kama hawezi kutumia softcopy..

Ni hayo tu Mkuu, kama unaona sijaielewa post yako nikosoe kwa faida.....

Nawasilisha....!
 
Mkuu soft copy ishapatikana kitambo na amekiapprove...endelea kusoma post zilizofatia baada ya hiyo uliyoijibu

Na watu walishapakua na ndo wako bize saivi kukisoma including me

Glory to Yhwh
asante mkuu nimeshakipakua, sema huwa nasoma messwji zoote.
 
Ukianza kununua signal, manake huamini katika analysis zako na muda wote unaoenda shule ni kupoteza muda.
Kwanini ununue signal?
 
Nilishaisikia hii kitu ila sijawah kujua ni nini. Am so imperesses na ningependa kuijua zaidi...
 
KUHUSU VITABU,MIMI NAOMBA MDAU YOYOTE ALIYE DSM ANITOLEE HARDCOPY HIVYO VITABU 3 VILIVYOPENDEKEZWA,THEN ANIAMBIE TUKUTANE WAPI TUKABIDHIANE ,NITAMLIPA PESA YA PHOTOCOPIES NA USUMBUFU- CALL 0655562854
 
Nivema kumwambia kiko page namba ngapi iliasipoteze mda .
 
KUHUSU VITABU,MIMI NAOMBA MDAU YOYOTE ALIYE DSM ANITOLEE HARDCOPY HIVYO VITABU 3 VILIVYOPENDEKEZWA,THEN ANIAMBIE TUKUTANE WAPI TUKABIDHIANE ,NITAMLIPA PESA YA PHOTOCOPIES NA USUMBUFU- CALL 0655562854
ha ha ha.... Mkuu umetisha...
 
Mdau wa kitabu emjaribu page 330 then kadownload .
 
kaka mkubwa kitabu tayar mda sana. na pia kama kusoma post tu ni shida kaka utaweza kusoma kitabu mkuu wangu. pitia pitia utakipat.
asante na karibu tena
 
Mkuu Ontario nimekipata kile kitabu ulichoelekeza tukisome na tayari nimeanza kukisoma na kama Mungu akijaria mm Niko Mara huku nitakuja nikutane na wewe kwenye ofisi yako namna ya kuingia kwenye hii biashara vizuri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…