Black Idea
Senior Member
- Feb 2, 2015
- 124
- 148
Nacheka sana. Ni furaha kabisa nikipita humu naona discussions zinaendelea. Msione nimekaa kimya, hua nasoma kila post tangia post ya 1 hadi hii ya 3213. Nikiangalia comment kama hii naona mwanga, nilivyokuwa infant trader nilikua nina akili kama zako boss. Yani ulikua ukifungua charts zng unakuta kuna indicators kama 10 hivi, nilikua naziamini sana hizi makitu.
With time zikawa zinapungua. Leo hii ukiona analysis yangu hukuti indicator hata 1. That's being professional, hkn Pro anayetumia indicator, utakachokiona kwenye charts zake ni horizontal na inverted lines. Tena saa zingine mtu anaangalia tu hivi charts anajua nini kinaendelea bila ya mstari wwt. Hiyo ndio maana halisi ya Naked forex, yani charts ziwe uchi, zisizibwe zibwe na indicators. Patterns hazijawahi kumpoteza mtu, floor and ceiling ndio mchawi wa price action.
Na hii ndio strategy nataka team nzima itumie... The winning major keys!!
Kuhusu kitabu
Imenichukua muda mwingi kujibu kuhusu kitabu nilichokizungumza awali, sikutaka kujibu kitu ambacho sina uhakika nacho. Siku zote nipo Dar hapa kushughulikia mambo ya hii forex, kitabu nilikua sina access nacho, nilikiacha Bagamoyo.
Kile kitabu bana hata mimi sikukinunua bookshop, nilikichukua kwa mwanangu mmoja SA. Yeye alipewa alipokua ameenda forex course England kwenye darasa la AstroFX, so ukilipa $5000 kama fees unapewa na hicho kitabu as learning guideline.
Kitabu kimeandikwa na Aman Natt na Shaun Lee, kinaitwa learning guideline by AstroFX - mastering technical analysis. Kimetoka mwaka jana July kama sikosei. Kitabu kitamu sana hiki kwa level yenu - bado sijapata mawazo mazuri kutoka kwenu ili kila mtu ambae yupo interested akipate. Mimi mkiniambia nifanye chochote, I'll just do that kwa roho nyeupe, msiposema kitu pia nami nakausha, sina cha kupoteza, mimi nimeshakisoma mara 4.Hapa screen shot ya cover page![]()
Hapa table of contents.![]()
Zaidi ya yote - mambo yanaenda vizuri, mnaeza kudhani Ontario amelala tu kitandani anatrade account yake, but kiukweli nafight sana ili office iwe up and running ASAP. Msione nachukua muda mwingi, I am preparing the best thing for us all. Mambo yataanza soon. Let's keep the faith.
Mimi Ni ushauri Labda
KITABU ITAKUA MALI YA KILA MTU, KAMA NILIELEWA VIZURI WE ULISEMA UMEKINUNUA KWA MWANAOO MMOJA SA KAMA 100,000TSH.
ME naona INAWEZA KUWA RAHISI ZAIDI TUKAWEKA 500/= au 1000 kwa mtu ambae angependa. KWA WATU 150 NI KAMA 150,000 then KITABU KITOLEWE COPPY STATIONARY KILA MTU AKALIPIE COPY YAKE PALE.
HII ITAONGEZA PIA OWNERSHIP ESSENCE KWA MTU ALIEKO TAYARI KUSOMA- MAANA KAMA kitawekwa katika stationary za wanavyuo copy inaweza kuwa shilingi 50-100 kwa page mbili (Both side printing) najua mahali inawezekana. kwa maana hyo kwa page 300 inaweza kuwa 15,000-30,000 TSH ambayo ni pesa accessible kwa kila mtu kwa ajili ya sensitive material kwa ajili ya BIASHARA YAKE.
LAbda kama kuna mwenye wazo tofauti
MAWAZO MENGINE TUPATE SOLUTION