Vitabu hapa ndio kwenyewe, ME ni moja ya bookworms hatari sana. sema nilikua nasoma post mojamoja taratiibu toka nilipoishia ndio manakaka mkubwa kitabu tayar mda sana. na pia kama kusoma post tu ni shida kaka utaweza kusoma kitabu mkuu wangu. pitia pitia utakipat.
asante na karibu tena
nimejaribu ila nataka pia maelezo toka kweny wakuu hapa in plain languageIngia youtube
Nakaribia chapter 8 nitailuta sema nimeanza iona muda kwenye pages nyingiIngia youtube
WE kanyaga twende..... hiyo ni bunduki hata kama ina kutu we fyatua... as long as u got a genuine book recommended by Mr Ontario why do fear again, we ain't got time to linger.Kitabu nimepakua lakini hakionyeshi image zozote kina maandish tu
Mkuu zile charts ndo hazionekani pia.WE kanyaga twende..... hiyo ni bunduki hata kama ina kutu we fyatua... as long as u got a genuine book recommended by Mr Ontario why do fear again, we ain't got time to linger.
Shukrani kwa mdau alietuwekea hapa hiki kitabu.
Shukrani kwa ontario
- Nimeondoa password iliyokuwepo
- Download attachment au tumia G.DRIVE link:Click Hapa
please Sir Ontario add me 0787250090
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wacha nikucheke kidogo...hiyo impresses yako imenifurahisha sana...nahisi ulitaka kuandika impressed..najua huenda ikawa typing error but jina limetokea dizaini moja ya kuchekesha..anyway hujachelewa kaka..hapa utashiba maujuzi teleNilishaisikia hii kitu ila sijawah kujua ni nini. Am so imperesses na ningependa kuijua zaidi...
Kuna makosa mengine ukiambiwa haiingii akilini mpaka upate maumivu Kidogo.....usijali sana.....na wewe hutakuwa wa mwisho kwa hii shuhuda.....wait n seeDuuuh haya mkuu!!
Mi naomba tuendelee kujifunza na zaidi ya yote tujifunze kutokana na makosa hasa ya wengine!!
Mkuu zile charts ndo hazionekani pia.
Lkn kwa nn upoteze muda kufanya kitu ambacho tayari zipo ready made, hizi trend lines nk nk zipo millions ambazo zimefanywa kwa uhakika na kwa technologia ya kisasa so kukaa chini kuanza kufikiria haya yote ni sawa kuoiga hatua nyuma wakati wenzako wanaenda mbele, hatutaendelea.Wakuu nina maswali machache yanayonisumbua hapa baada ya kupitia pitia vitabu
1. Kwanin unapochora Trend lines haishauriwi line ikatize kwenye doji candles
2. Hesabu gani inatumika kuchora resistance na support lines?..hapa namaanisha kunakuwa na tofauti ya pips ngapi ?
Unatumia broker gani mkuu, maana market maker ndio wanaruhusu hiyo dollar 50KWA USHAURI BORA MTU KUTRADE HELA HALISI AMBAYO HATA BAADAE ANAWEZA KUIWEKEZA KWENYE UHALISIA,MIMI NACHEZA NA DOLLAR 50
Sasa kama kwenye simu hazionekani uandhani ukiprint ndio picha zitaonekanaunatumia device gani? kama unatumia sim jaribu kutumia computer utaweza kuona hizo chart vizuri....kama bado tatizo litaendelea the best option is to print it and have your own HARD COPY.
Je ni kifaa gani unatumia.Aisee naomben msaada hiki kitabu kina download ila ukifungua kinasema ni invalid format cant open
Pole sana mkuu.Please friends, mtu yoyote akikutumia PM about Ontario, please nicheki kwa PM yangu. Hii sio sawa kbs!! Sikatai kuwa challenged, sikatai kuitwa mwizi, sikatai kuitwa majina yote - fanya hivyo lkn nitengenezee space ya mimi kujiteteta.
Otherwise I wish all you a nice weekend bosses.