Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hii kitu ni ngumu bosses, ngumu sana yani - note that. Hakuna hela rahisi. Feed yurself na mavitabu yani usichoke kusoma kama kweli unataka kutoboa bila hivo una waste time na bundle tu. Wahenga wanasema penye nia pana njia na pia penye ugumu pana mafanikio. Said only 5% of Forx traders ndo wanafanikiwa...So komaa uwe among hao 5%.... Mr Onta anavosema somaaaa yani somaaaa kweli. Ingekua easY raia wengi sana wangekua matajiri.

Kwa wale Wageni wa internet na smartphne ndo kabisaaa wana a lot to learn. Wale wazoefu pia wako moto wanajiona wame masta within weeks - ahaha watch out bruh. Most of newbies wanaishiaga kwenye demo tu na mbwembwe zote za ichimoku.

Goodluck.
 
ukweli ni kitu kizuri hakuna kitu rahisi kama hujui kinavo patikana.ni meonesha jinsi gani kuna faida na hasara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

0.01 ndogo sana. Mi naona kama ume calculate risk fresh and it favours u kwa +% za kutosha unaingia tu mzima mzima whatever happens ni itakua ni win win or a lesson. ikizingua tutaiita bad day tu, tena kwa traders wa small amount lot kubwa zinawahusu. Ndogo kwa wadau wanaoingia na millions of capital. Hii pia itakutengenezea discpline ya hali ya juu na kupata strategy matata.

Mfano kuna broker anaweza kukusetia automatic SL ikifika -100% of your total invesment but ana offer TP upto 1,000% (x1,000/ 10.00 / 1:1000). Hiyo -100% inakua kama 100 pips hivi away. So mfano ume open position kwa 100$ inakua every 1% = 1$. Sasa kama umeingia hafu ikakubali aiseee utazipigaaa.

I recommend x300 kwa pesa ndogo, x100 pesa mingi.

NB: Don't afraid risk on a risky business but don't gamble.

Sema [HASHTAG]#Forex[/HASHTAG] dah[emoji17] ngumu.
 
hyo conclusion yako bhana..
 
Walishawai kamata yangu kama fraud dahhhh, kuja kiachia ilibidia niandike barua, ya kwamba what will happend will be at my own risk , ilipofika kwa manager wa branch wakaifungua_ fresh
 
Namimi nina akaunti na tickmill ila sasa naogopa trade na real account
 
Today major economic events/Fundamental analysis!

Haya ni matukio yaliyo katika category ya "High importance". Matukio yaliyo katika category hii yakitokea yanapelekea rapid flactuations of currency! Leo kuna news release zifuatazo...

1. EUR European Central Bank Rate Decision (JUL 20) (Muda saa 14:45)

2. EUR ECB Marginal Lending Facility (JUL 20) (Muda: saa 14:45)

3. EUR ECB Asset Purchase Target (JUL) (Muda 14:45)

4. EUR ECB President Mario Draghi Holds Press Conference (Muda 15:30). Infact, huyu jamaa kama ukiwa na kumbukumbu wiki kama tatu au nne zilizopita akiwa kwenye meeting huko ureno alitoa speech iliyopelekea Euro kupanda dhidi ya dola, kutoka 1.12 mpaka 1.14! ni kiwango ambacho hakikufikiwa karibu mwaka mzima!!

Ni vyema pia tukajua, economic event inaweza isiwe na impact ila reaction ya soko katika hizi events ndio inaleta impact (hasi au chanya) katika shilingi fulani!!

NB: Kwa wale wanaotumia pairs zenye Euro kama EURUSD, EURAUD, EURGBP and the alike, pamoja na technical analysis ila ni muhimu kuweka maanani haya matukio kwa usalama wa akaunti yako na afya ya moyo wako!!

Lodrick Thomas(Eng.)

Source: https://www.dailyfx.com/calendar
 
Chizi hujanielewa labda,nimekuuliza pesa umedeposit Kwa broker yupo ambaye initial take ni $10,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Brokers wako wengi wenye initial deposit ya 10usd or less!!

Angalia/google hawa...

XM broker (5usd initial deposit) kuwa makini maana ni market marker!

Tickmill (sikumbuki vizuri ila nadhani itakua 10usd)

HotForex (5usd)

Plus wengine wengi...
 
Brokers wako wengi wenye initial deposit ya 10usd or less!!

Angalia/google hawa...

XM broker (5usd initial deposit) kuwa makini maana ni market marker!

Tickmill (sikumbuki vizuri ila nadhani itakua 10usd)

HotForex (5usd)

Plus wengine wengi...
Broker ambae ni ECN mfano ni yupi

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Broker ambae ni ECN mfano ni yupi

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Hao wote niliowataja ni ECN na wengine(hotforex) ni straight trhough processors (STP) except XM!! infact do reseach utaona wengi tu!!
 
Hao wote niliowataja ni ECN na wengine(hotforex) ni straight trhough processors (STP) except XM!! Unaweza uka plus na hawa wanaoitwa JPMarkets wa SA!! infact do reseach utaona wengi tu!!
Ndio nimetoka site ya Jpmarkets kuichek.. Ngoja nichek na wengine

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…