xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
Keeping the hustle real
Mimi binafsi nashkuru kwa jitihada zako nyingi na za dhati kijana ONTARIO kwa juhudi ulizoonyesha katika kukomboa vijana wenzako toka kwenye janga la umaskini.
Safari yetu inakaribia kuanza sasa. Kama sio patience nahis watu wangeshaanza kuhisi huyu ONTARIO ni tapeli or something, ila watu wamekua wapole na wavumilivu - One among the forex basic keys.
Your last post umesema unataka training ikianza watu waingia kwenye real market. This will be very good coz we will grasp the real market experience na sio kucheza na demo accounts tena.
Anyway, nilichotaka kusema ni kukuomba ONTARIO na wewe utoe muongozo wa vitu vifuatavyo:
1. Broker ambaye ni reasonable kwa retail traders esp wenye capital ndogo kama sisi.
2. Bank ambayo haina bureacracy kwenye forex
NB: Watu wameshaongelea sana hayo mambo ila si vibaya na wewe Ontario ukashauri kitu hapo kwenye muda huu ambayo safari yetu inaelekea kuanza yani kama ni gari ndio dereva anacheki matairi.
Wishing you a good week ahead bosses
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app