Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Keeping the hustle real

Mimi binafsi nashkuru kwa jitihada zako nyingi na za dhati kijana ONTARIO kwa juhudi ulizoonyesha katika kukomboa vijana wenzako toka kwenye janga la umaskini.

Safari yetu inakaribia kuanza sasa. Kama sio patience nahis watu wangeshaanza kuhisi huyu ONTARIO ni tapeli or something, ila watu wamekua wapole na wavumilivu - One among the forex basic keys.

Your last post umesema unataka training ikianza watu waingia kwenye real market. This will be very good coz we will grasp the real market experience na sio kucheza na demo accounts tena.

Anyway, nilichotaka kusema ni kukuomba ONTARIO na wewe utoe muongozo wa vitu vifuatavyo:

1. Broker ambaye ni reasonable kwa retail traders esp wenye capital ndogo kama sisi.

2. Bank ambayo haina bureacracy kwenye forex

NB: Watu wameshaongelea sana hayo mambo ila si vibaya na wewe Ontario ukashauri kitu hapo kwenye muda huu ambayo safari yetu inaelekea kuanza yani kama ni gari ndio dereva anacheki matairi.

Wishing you a good week ahead bosses

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Leverage: huandikwa kwa uwiano, mf, 1:10, 1:15..... Mpaka 1:200 na kuendelea.

Leverage ni "namba ya kuzidishia" kwa mtaji wako.

Mf, ume open position na ukapata faida ya pips 2, na au kirahs $5 labda. (kutegemeana na item umenunua) faida yako itakuwa ni 5 kuzidisha kiasi cha leverage. Kama leverage uliweka 100, then faida inakuwa 5mara100=$500.

Sasa tabu inakuja unapo loose. Leverage ina amplify faida na hasara pia. Mfano, una mtaji wa $200, ukapata hasara ya $5, kama leverage umetumia 100 (yani 1:100), hasara yako itakuwa $5mara 100= $500.

Ndomana wanashaur kuwa makini unapotumia leverage. Na pia unaponunua uctumie zaidi ya 20% ya mtaji.

Na zaidi sana, hapa ndo utakapoona FAIDA ya kitu chaitwa STOP LOSS.

kama nimekosea kidogo, wadau wataongezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Be blessed AMLIGHT nimeongeza kitu hapo, maana hii kitu inahitaji msaada wa ufafanuzi bila hiyo kichwa kina burst

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitafanya mambo ya kushtukiza coz najua kuna baadhi yetu watakua wanatoka mbali so watahitaji preparation kuja Dar. Tuombeane afya na uzima, nitanyanyua uzi mpya kwa ajili ya kutoa maelezo na taratibu. But for now tuendelee kukaza vyuma kichwani kwa kuongeza vitu viwili vitatu kwenye ubongo huku tukiandaa mitaji.
.

Asante aisee for this consideration.
 
Blessings OntariO.
Guys tupigen kitabu, to my surprise yaan leo ndio naanza demo,
sijui nimechelewa? Mwe! nilikomaa na vitabu na you tube videos

OtherWise, i wish Ontario all the Best of Best Wishes alifanikishe hili
Pis Hunters woote Barikiweni sana.
 
8a61baa43fb998be8ab58838975ede32.jpg

I started trading by price action in the last week but it knocked me out... Leo nimejitahidi kuwa mwangalifu kdg.... Nmejifunza pair mojamoja nikiona siielewi naiweka pembeni... Nikadondokea hapa kwenye AUDCHF, na ndo kwaanza niliikuta ipo kwenye resistance. Nikadraw trend lines, support and resistances. Nikaset sell stop kwamba kama itabreak trend line basi itakuwa bearish... Now I can see, things are going in my side

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8a61baa43fb998be8ab58838975ede32.jpg

I started trading by price action in the last week but it knocked me out... Leo nimejitahidi kuwa mwangalifu kdg.... Nmejifunza pair mojamoja nikiona siielewi naiweka pembeni... Nikadondokea hapa kwenye AUDCHF, na ndo kwaanza niliikuta ipo kwenye resistance. Nikadraw trend lines, support and resistances. Nikaset sell stop kwamba kama itabreak trend line basi itakuwa bearish... Now I can see, things are going in my side

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8a61baa43fb998be8ab58838975ede32.jpg

I started trading by price action in the last week but it knocked me out... Leo nimejitahidi kuwa mwangalifu kdg.... Nmejifunza pair mojamoja nikiona siielewi naiweka pembeni... Nikadondokea hapa kwenye AUDCHF, na ndo kwaanza niliikuta ipo kwenye resistance. Nikadraw trend lines, support and resistances. Nikaset sell stop kwamba kama itabreak trend line basi itakuwa bearish... Now I can see, things are going in my side

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keeping the hustle real

Mimi binafsi nashkuru kwa jitihada zako nyingi na za dhati kijana ONTARIO kwa juhudi ulizoonyesha katika kukomboa vijana wenzako toka kwenye janga la umaskini.

Safari yetu inakaribia kuanza sasa. Kama sio patience nahis watu wangeshaanza kuhisi huyu ONTARIO ni tapeli or something, ila watu wamekua wapole na wavumilivu - One among the forex basic keys.

Your last post umesema unataka training ikianza watu waingia kwenye real market. This will be very good coz we will grasp the real market experience na sio kucheza na demo accounts tena.

Anyway, nilichotaka kusema ni kukuomba ONTARIO na wewe utoe muongozo wa vitu vifuatavyo:

1. Broker ambaye ni reasonable kwa retail traders esp wenye capital ndogo kama sisi.

2. Bank ambayo haina bureacracy kwenye forex

NB: Watu wameshaongelea sana hayo mambo ila si vibaya na wewe Ontario ukashauri kitu hapo kwenye muda huu ambayo safari yetu inaelekea kuanza yani kama ni gari ndio dereva anacheki matairi.

Wishing you a good week ahead bosses

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Ontario the man has said it all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hatimae am back wadau, i was out kwa more tha two weeks, wasiwas wangu darasa lingeweza anza nkapitwa, thanks God nimerud wakat muafaka.
wakuu naona bado mnatoana jasho, huku wahuni wachache wakijitahidi kivyao vyao pia.

Asante mhenga wetu kwa updates nzuri, tunakusubir sana maana tushameza kiasi chake na bado nakomaa.
kwa hizi mbio tunabid tuzid kukaza buti sanaaaa. kama ifuatavyo

pa1 sana
 
8a61baa43fb998be8ab58838975ede32.jpg

I started trading by price action in the last week but it knocked me out... Leo nimejitahidi kuwa mwangalifu kdg.... Nmejifunza pair mojamoja nikiona siielewi naiweka pembeni... Nikadondokea hapa kwenye AUDCHF, na ndo kwaanza niliikuta ipo kwenye resistance. Nikadraw trend lines, support and resistances. Nikaset sell stop kwamba kama itabreak trend line basi itakuwa bearish... Now I can see, things are going in my side

Sent using Jamii Forums mobile app
In my opinion, price action ni rahisi. Unachotakiwa kukijua ni support and resistances, chart partens ,channels na concepts za candlesticks...and then you just follow the rules

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana...mzee hizo nafasi za training tunazipataje? Post ni nying sana na leo ndo nimeona hii kitu..ila nisha isikia sehemu.
 
Traders, Naona setup rahisi sana hii ya kuamka nayo kwa wiki hii inayoanza kesho. Naona Gold imegusa resistance yake ya siku zote ambayo imekuwa ikiitii toka March. So huu ni muda wa kuuza Gold.

View attachment 564947

And hell Yeaaaaaahhhh. Gold inaelekea mahala inapostahili. Wale mlioamka leo mkauza gold, sasa hivi meno nje.
 
In my opinion, price action ni rahisi. Unachotakiwa kukijua ni support and resistances, chart partens ,channels na concepts za candlesticks...and then you just follow the rules

Sent using Jamii Forums mobile app

Na hilo uliloongea ni golden rule ya hili game. Ukijumlisha na Umakini, Uvumilivu pamoja na Nidhamu, Utakuwa best trader out there
 
Some of us haven't been regular posters in this thread but we are still aggressive readers!!! Following the "trend" both here and on the market... Waiting for the classes in deep excitement mr ONTARIO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada wandugu, nahitaji kufungua multiple entry orders mfano 10 orders of EUR/US ndani ya sekunde 15. Nifanyeje?
 
Tumia MT4 PC version kuna option hiyo. You can actually open 20 positions in 15 seconds. Kuna scripts za ku-close all orders in 1 second as well.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom