Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
naomba kuwa miongoni kati ya wale watakaopewa hii elimu au km nikikosa kama mtalipisha mniambie sh ngapi npo tayari kulipa ata kiingilio ili nipate kuijua hii kitu shukrani.
 
Nami naomba niwe kati ya watu 300. Japo sijui criteria itakayotumika kuselect hao participants
 
plz nataka kuji
plz nataka kujiunga na hiki kitu naombeni msaada wenu au elimu tafadhali
 
Nami naomba niwe kati ya watu 300. Japo sijui criteria itakayotumika kuselect hao participants


Huu uzi una kurasa 357 mpaka muda huu tafadhali anza kusoma kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho usikurupuke na usiruke hata ukurasa mmoja kila swali lako utakalouliza tayari kuna majibu
 



This dude is going blue right now
 


Huyu pia anapepea kwa rangi ya ubluu kabisa.

Wale mlioingia katika hii pair naona mnaangalia namna ya kutka saa hizi.
 




Kaka hii mambo ya EUR/ZAR imekuwa mazuri kama hivyo inavyoonekana, Kama ulisell sasa hivi meno nje Na ile exit level yetu inakaribiwa kufika. Kuna pips za kutosha zimepatikana kama inavyoonekana hapo chini.

 
Kaka ninachojua niliwithdraw dola 92 wakanikata Tzs.8000/= tu

This dude is going blue right now


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi upo vizuri sana nimekitahidi kuufatilia toka mwanzo mpaka hapa sasa
Nadhani kwa taarifa za ONTARIO muda si mrefu ile training itaweza kuanza mie na yangu machache kwake;
Vifaa vya kutumia mfano lap top internet signals lipoje.
Training itahusisha live kwa wakati mwengine je suala la capital litakuaje??
Tumeatakiwa kusoma vitabu ambavyo kwa haraka haraka ni kama vinafika tisa au zaidi hili nawapa pongezi kubwa wadau wote mliosoma na tunaoendelea kusoma hii itampa wepesi mentor kwa wale watakao bahatika kuanza batch 1 je itachukua muda gani kwa waliosoma vitabu ku be trained??
Na vipi kwa wale ambao bado wanaendele akusoma ??
Nimeuliza kwa kutaka kujua wakuu
 

I wish nijue hii kitu aisee nitadie trying kwa kweli.

Sent From Heaven
mkuu!!!!unachezea shilling kweny tundu la choo!!!rudi ukasome vitabu...dah!!!kaka atakama ni demo lakin cyo kwa lots size hyo..fungua;;page 271 post no.5406 kama unatumia pc!!utajifunza ki2 kama kitbu unaona shida...na hamna namna itabid uvisome tyu!!!maana Mkuu Ontario vitabu kwake Maji ya kunywa!!!
 
da! huu uzi niliuona wakati nafanya UE nkasema ntafuatilia nkimaliza, da! naona wenzangu wameshanipiga gape..... watu washajua hadi kufanya analysis ya graph.... hope i will make it
 
Huu uzi una kurasa 357 mpaka muda huu tafadhali anza kusoma kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho usikurupuke na usiruke hata ukurasa mmoja kila swali lako utakalouliza tayari kuna majibu
hili nalielewa, na uzi niliuona tangu day one, ni vile tu UE zilinikaba sasa nimekuja kurudi page zimefika huku.... hata kitabu cha currency trading for dummies nimeshaanza kukisoma.

kama unakumbuka ukurasa wenye hizo criteria ntakushukuru ukinidirect.
 
Poa mkuu ngoja nirudi darasani.

Sent From Heaven
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…