Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
7717de74ed956fdc1025e7a8a3f18694.jpg

whatch out???!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha nini? Hatukuelewi
 
naomba kuwa miongoni kati ya wale watakaopewa hii elimu au km nikikosa kama mtalipisha mniambie sh ngapi npo tayari kulipa ata kiingilio ili nipate kuijua hii kitu shukrani.
 
Nami naomba niwe kati ya watu 300. Japo sijui criteria itakayotumika kuselect hao participants
 
plz nataka kuji
Mkuu inaelekea una hitaji msaada.
Hapo ulipofungua ni mahali pa kuset stop loss, take profit, au buy/sell limit ndipo u buy/sell kwa kutegemea na analysis zako zinavyokutaka kufanya.
Kama dijakuelewa nijuze ( walipo andika price..unatakiwa kujaza sell/buy limit)
plz nataka kujiunga na hiki kitu naombeni msaada wenu au elimu tafadhali
 
Nami naomba niwe kati ya watu 300. Japo sijui criteria itakayotumika kuselect hao participants


Huu uzi una kurasa 357 mpaka muda huu tafadhali anza kusoma kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho usikurupuke na usiruke hata ukurasa mmoja kila swali lako utakalouliza tayari kuna majibu
 
Ya mwisho kwa leo,

NZDUSD Analysis

Hii nimetumia top down analysis. Here is it.

1. Daily chart.

View attachment 571057

Katika daily chart nimeonadouble bottom, Na si tuu double bottom ya hivihivi, bali ni warmie iliyokamilika kabisa kwani baada ya second touch kuna strong bull candle, hivyo traders wanapaswa kuangalia buying opportunities.



H4 Chart

Baada ya hapo katika same chart nikashuka chini katika H4 timeframe ili kupata clear picture. Hapa nikakutana na hiki kitu kinachoonekana katika chart.

View attachment 571058

Hapo katika hiyo chart nimekutana na double top pattern (angalia kulia kabisa utaiona), Ni kweli imebehave kama double top, kwani baada ya second touch, iliprint bearish candle ambayo. Nikataka kujua zaidi nature ya trade, nikaingiza fibonacci tool, lines zake zipo noted na lines za bluu (itaonekana vyema katika picha ya chini ambayo ni H1). Ila kutokana na fibonacci hii double top inaonekana ilianza kuretrace katika 50% level, ikapanda mpaka 0 level, ikaja tena kugusa katika 23.6% na i hope itabounce pia na kuendelea na safari yake ya kwenda juu.


H1 chart


View attachment 571062

Hapa fibonacci levels ndo zinaonekana vyema.

so kulingana na hizo clues, Traders waingie katika biashara wakiangalia buying opportunities huku stop loss wakiweka katika 61.3% fibonacci level. Kwani katika picha ya pili tumeona warmie ambayo ni strong indicator ya price reversal. Na hii pair it seems ni ranging trade na huu ni mwanzo wake.


NB:
kwa analysis niliyoleta mwanzo ya GBPUSD, ilionesha buying indications, Na hata hii ya NZDUSD inaonesha pia buying indications Kitu ambacho kinatupa confidence kwa kiwango kikubwa.



This dude is going blue right now
 
GBPUSD Analysis.

Hii chati nimeichukua katika time frame ya siku (Daily timeframe) Kuna trendlines nimezinotice na nimeziainisha katika picha niliyoambatanisha chini. Ni analysis inayotupa picha ya wiki ijayo



View attachment 570832

Kuna hizo red lines ambazo zinaonesha support levels za hii pair. Na kwa bahati nzuri zote mbili zinaqualify sifa ya kutengeneza double bottom. Support level ya pili (hiyo red line fupi) imekuwa katika hii pair, Kwani wiki iliyopita ilifungwa kwa hii pair kuigusa hii line kwa mara ya tatu kitu kinachopelekea hii level kuzidi kuwa strong support level.

Pia tukirudi katika hizo blue line mbili, Zinatuonesha kuwa hiyo pair ilikuwa katika uptrend, na more interesting ni kuwa baada ya muda hizo line mbili za bluu zimefanikiwa kutengeneza pattern ya rising wedge. Na kwa mujibu wa principles za rising wedge patterns, hiyo down trend ilitarajiwa (mshale mwekundu), Na tayari inaonesha down trend inaelekea ukinngoni kama si ukingoni kabisa kwani tukiangalia hiyo downfall ni sawa kabisa na base height ya rising wedge.

Lakini interesting zaidi, ni kuwa hiyo down trend imeenda mpaka katika support ya pili na biashara kufungiwa hapo kwa siku ya ijumaa. Na kukamilisha double bottom pattern, ambapo kwa kanunu pindi inavyotokea hivi basi traders wanaangalia possible buy entry points.

Ukiangalia chini kuna stochastic indicator nimeiweka, level ya price ipo chini ya 20% kitu ambacho kinaashiria ipo katika oversold region, hivyo watu waangalie possible buy entries.

Kwa kuangalia vigezo hivyo, fellow traders muwe tayari kuona uptrend ya hii pair na muangalie possoble entry points za kununua hii pair.


Huyu pia anapepea kwa rangi ya ubluu kabisa.

Wale mlioingia katika hii pair naona mnaangalia namna ya kutka saa hizi.
 
Kwanza nimejaribu kuangalia graph ya EURZAR naona kama zinatofautiana sana na hii yako!!

Pili I can say this is not a wammie set-up simply because hamna indication ambayo itakwambia now you can buy!! Look at the last candlestick, is a bullish candlestick? no it is not!!

Hapo sijaongelea kuhusu support level....

Nikiangalia kwa haraka hapo naona kuna strong bearish movement na hapo ni kama ime-pause, so at any time t, inaweza endelea kwenda south tena kwa speed kubwa tu, na kama uaingia kwa ku-buy sizani kama itakua good decision!!

My take: wait for futher cue, may be it might be treanding kangaroo tail, or something else!!

Look at this....

Huu ndio muonekano wa EURZAR katika H1 timeline...

euro.PNG


Hizo R3 na S3 ni strong resistance and support line respectively!

Nadhani ukiangalia hapo utaona S3 imeguswa na tail ya candle stick alafu mbele yake ika tokea strong bullish candlestick. Ukiangalia candlesticks za mwisho ni kama inaonyesha bearish movement ime-pause na kuna uwezekano ikaendelea kushuka kuelekea south kwenye S3!!

Pia nikiangalia kwenye Daily chart na H4 chart zote zinaonyesha hii pair still ni bearish na bado ina move kuelekea south!!

Tungoje tuone kwa uhakika zaidi mkuu!!



Aisee, Nimeona kitu cha ajabu hapa. Wewe hiyo ni graph toka platform gani ya MT4.? Maana mimi nina platform tofautitofauti katika PC, Ile analysis nilikuwa nafanya katika MT4 app niliyoidownload toka katika website ya tickmill ambayo nii hii hapa chini inasubiri last confirmation ya warmie. Na hii ndo niliyoipost ile asubuhi. Kama ukiangalia last candle ina long pin.

BY the way haikuwa imekamilisha Warmie condition, What i said ni watu waifanyie close monitoring kwani kwa kama image hii inavyoonesha ishakamilisha stages 4 za kutengeneza warmie, na ilikuwa imebakia stage moja ya kuprint bull candle ambayo closing price inakaribiana katika edge ya wick. Haikuwa yet warmie, ila ilikuwa ni watchout thing.


View attachment 570224


Baada ya wewe kupost hiyo, Imenibidi nifungue app ya MT4 ambayo nilidownload toka Instaforex, Cha ajabu last candle ipo tofauti na last candle ya katika hiyo graph hapo juu ambayo nimeitoa katika graph charts za tickmill. Na tukisema tubase katika hii graph ya pili, ni kweli hakuna dalili ya warmie pattern kutengenezwa.

View attachment 570230


How is this possible chart zote za MT4 ziprint candles tofauti katika same timeframe.? Na siyo hiyo tuu, Nimezichnguza candles harakaharaka with visual inspection kuna baadhi naona zinatofautiana. Ushawahi notice hili .?

Kaka hii mambo ya EUR/ZAR imekuwa mazuri kama hivyo inavyoonekana, Kama ulisell sasa hivi meno nje Na ile exit level yetu inakaribiwa kufika. Kuna pips za kutosha zimepatikana kama inavyoonekana hapo chini.

euro.PNG
 
thanks,vip exchange rate zao, mana najua utakua unatumiwa dola na umefungua account ya shilingi inakuaje au broker wako anachange kabisa anakutumia in TSH, pili ningependa kujua ilikuchukua wewe muda gani kuwidraw fund baada ya kuwa credited na broker wako .Aksante kwa maelezo mazur
Kaka ninachojua niliwithdraw dola 92 wakanikata Tzs.8000/= tu

This dude is going blue right now


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi upo vizuri sana nimekitahidi kuufatilia toka mwanzo mpaka hapa sasa
Nadhani kwa taarifa za ONTARIO muda si mrefu ile training itaweza kuanza mie na yangu machache kwake;
Vifaa vya kutumia mfano lap top internet signals lipoje.
Training itahusisha live kwa wakati mwengine je suala la capital litakuaje??
Tumeatakiwa kusoma vitabu ambavyo kwa haraka haraka ni kama vinafika tisa au zaidi hili nawapa pongezi kubwa wadau wote mliosoma na tunaoendelea kusoma hii itampa wepesi mentor kwa wale watakao bahatika kuanza batch 1 je itachukua muda gani kwa waliosoma vitabu ku be trained??
Na vipi kwa wale ambao bado wanaendele akusoma ??
Nimeuliza kwa kutaka kujua wakuu
 
c2d418b2d239defa740ff564a4f235d9.jpg

I wish nijue hii kitu aisee nitadie trying kwa kweli.

Sent From Heaven
mkuu!!!!unachezea shilling kweny tundu la choo!!!rudi ukasome vitabu...dah!!!kaka atakama ni demo lakin cyo kwa lots size hyo..fungua;;page 271 post no.5406 kama unatumia pc!!utajifunza ki2 kama kitbu unaona shida...na hamna namna itabid uvisome tyu!!!maana Mkuu Ontario vitabu kwake Maji ya kunywa!!!
 
da! huu uzi niliuona wakati nafanya UE nkasema ntafuatilia nkimaliza, da! naona wenzangu wameshanipiga gape..... watu washajua hadi kufanya analysis ya graph.... hope i will make it
 
Huu uzi una kurasa 357 mpaka muda huu tafadhali anza kusoma kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho usikurupuke na usiruke hata ukurasa mmoja kila swali lako utakalouliza tayari kuna majibu
hili nalielewa, na uzi niliuona tangu day one, ni vile tu UE zilinikaba sasa nimekuja kurudi page zimefika huku.... hata kitabu cha currency trading for dummies nimeshaanza kukisoma.

kama unakumbuka ukurasa wenye hizo criteria ntakushukuru ukinidirect.
 
mkuu!!!!unachezea shilling kweny tundu la choo!!!rudi ukasome vitabu...dah!!!kaka atakama ni demo lakin cyo kwa lots size hyo..fungua;;page 271 post no.5406 kama unatumia pc!!utajifunza ki2 kama kitbu unaona shida...na hamna namna itabid uvisome tyu!!!maana Mkuu Ontario vitabu kwake Maji ya kunywa!!!
Poa mkuu ngoja nirudi darasani.

Sent From Heaven
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom