Mkuu kiupload humunami siachi kitu , na nimeanza kusoma kitabu kimoja naked forex
Mkuu soma kwanza achana na demo account kwa sasa! Yani ni sawa na mwanafunzi wa engineering kamaliza semester moja darasani anataka kwenda kujenga ghorofa!Aisee nimefungua demo acc forex.com,naona maruweruwe tu,ila kutoka chapter one ya currency trading nimejifunza kufatilia news,ila hii ishu ni very complicated,ila ntaijua tu.
Mkuu naomba uwe mentor wangu ! Nimeku- PM ikagomaKuna page vimewekwa. Hadi nipekue tena...
Hicho hakija kamilika, nenda post namba 441 na 663 vipo vilivyokamili!Mkuu [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG] hiki ndicho kitabu unackokisemea kina page 52... I just want to be sure
Nenda kwa Ontario kwanza. Atakupa kitu roho inapenda.Mkuu naomba uwe mentor wangu ! Nimeku- PM ikagoma
Hiyo sio demo. Demo inahitaji basic info tu.Nimejaribu kufungua account kwenye platform ya XM design km imekuwa succesful ila naambiwa ili account iwe active natakiwa ku upload passport na residence proof,residence proof ni kam nn?
cjaplan kuanza leo au kesho ni mpaka niwe na uelewa wa kutosha ila nataka nianze na usdla 200 so nikwamba naweka hiyo hela kwenye acc then inakuwaje?
Kama unamuongelea Sandile Shezi umekosea. Sio huyo. Majina yanafanana.kuna yule dogo aliemuua mpenzi wake juzi juzi South Africa....nae alikuwa anafanya hii biashara alikuwa na mpunga wa maana....FOREX ukiielewa vizuri jihesabu milionea
So nisi upload for now ?or wat should I doHiyo sio demo. Demo inahitaji basic info tu.
Ukifungua live ndo watataka vyote hivyo.
Kweli mkuuMkuu soma kwanza achana na demo account kwa sasa! Yani ni sawa na mwanafunzi wa engineering kamaliza semester moja darasani anataka kwenda kujenga ghorofa!