Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu hii kitu imekaa vizuri ila sasa sijajua kujiunga nakusubiri useme ama?Nimewahi taka fanya hii kitu sena sasa niliikuta online nika nahofia kutoa bank details wasije wakakomba kila kitu maana hizi teknolojoa nazo ni shida.Ila kama mwenzetu ushaielewa nitafurahinkujumuika nawe.
 
Mkuu umeandika mambo mazuri na ya muhimu sana, ila jaribu kuwajenga wasomaji juu ya realistic expectation ya hii biashara kwasababu kwa experiance yangu, the risk is very high na hui tajiri overnight kwasababu it takes a period of 2 to 5 years to master forex trading. Waoneshe reality ya hii biashara kuepusha conflict of interest baina ya broker, educators na traders.
 
Aisee nimefungua demo acc forex.com,naona maruweruwe tu,ila kutoka chapter one ya currency trading nimejifunza kufatilia news,ila hii ishu ni very complicated,ila ntaijua tu.
Mkuu soma kwanza achana na demo account kwa sasa! Yani ni sawa na mwanafunzi wa engineering kamaliza semester moja darasani anataka kwenda kujenga ghorofa!
 
Nimejaribu kufungua account kwenye platform ya XM design km imekuwa succesful ila naambiwa ili account iwe active natakiwa ku upload passport na residence proof,residence proof ni kam nn?
cjaplan kuanza leo au kesho ni mpaka niwe na uelewa wa kutosha ila nataka nianze na usdla 200 so nikwamba naweka hiyo hela kwenye acc then inakuwaje?
 
Hiyo sio demo. Demo inahitaji basic info tu.
Ukifungua live ndo watataka vyote hivyo.
 
kuna yule dogo aliemuua mpenzi wake juzi juzi South Africa....nae alikuwa anafanya hii biashara alikuwa na mpunga wa maana....FOREX ukiielewa vizuri jihesabu milionea
Kama unamuongelea Sandile Shezi umekosea. Sio huyo. Majina yanafanana.
 
Kwa hiyo hakuna mtu anaeweza kuielewa hii Forex na kuimudu vizuri kabisaa bila msaada wa MENTOR?
 
Mkuu [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG] hiki ndicho kitabu unackokisemea kina page 52... I just want to be sure
- Kilicho kamili kina kurasa zaidi ya 300 - Download attachment
- Credit to: ONTARIO , Bavaria
 
Attachments

Sijawahi kusoma thread fupi hivi chap chap imeisha
Nasubiru darasa lako,maana hapa nilipo mapigo ya moyo yanaenda mbio
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom