Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Haipo hivyo mkuu, umekosea kidogo sana..

Tuchukulie mfano wa hiyo EURUSD.

Going short manake ni kwamba una anticipate hiyo pair ipo bearish.

Unapo-short hiyo pair manake unauza Euro and kununua USD at the same time.

Unaopen position ikiwa juu na kuifunga ikiwa chini..

Unakusanya pips zako za kutosha..
 
Nashukuru sana ! Ni kweli nilikosea, pitia post namba 1246 utaona nlirekebisha!!

Taratibu tu tutaelewa, thank you!!
 
Afu nyinyi mnaosema kwamba hii ni gambling mnatukatisha tamaa mjue....gambling kivipi hebu fafanua basi mbona mnazingua tena?
 
wengine walidhani hii misamiati ni myepesi sana..hapo nilijua long na short zingekanganya wenzetu ndio maana nikauliza tufafanuliwe...ila nashukuru kwamba tunazidi kusoma na kusonga..
 
Kifupi ipo hivi.

Chukua 1.2345 toa 1.2335 unapata 10 pips.

Chukua hizo 10 pips zidisha kwa lot size yako.

Kama ni micro lot utakuwa unapata 0.01*10=0.1 USD

Kama ni mini lot utakuwa umepata 0.1*10=1 USD

Kama ni standard lot utakuwa umepata 1*10 = 10USD.

Kwa kila pip unatengeneza hizo USD hapo pembeni..

Hiyo ni shortcut huwa naitumia, ukiweka pembeni spread na leverage. Ukiweka hivyo viwili, mahesabu yanakuwa marefu zaidi..
 
Am motivated kwa kweli...count me in.. na hivi mtaani hamna ajira vyeti vitaliwa na panya ss
 
wengine walidhani hii misamiati ni myepesi sana..hapo nilijua long na short zingekanganya wenzetu ndio maana nikauliza tufafanuliwe...ila nashukuru kwamba tunazidi kusoma na kusonga..

Siku ukienda kwenye training ya Ontario utakuwa better off.

Yani utakuwa umeshaanza kuzoeazoea, kuliko mtu anapoenda kusikia neno forex kwa mara ya kwanza..

We, jifunze ukikwama uliza humu. Utasaidiwa..
 
Je ukisikia maneno kama Buck, Aussie, Loonie, Fiber, Cable, Swissy, Kiwi?

😡
 
Mkuu weka mawasiliano basi tuanze safari!!
 
Mkuu Usione Niko Katika Siasa Ukafikiri Vitu Vingine sivijui Huwa Kuna Slight Change ndogo sana tunavyofanya Swaping ya Currency

Mkuu Niko Vizuri katika hayo Mambo ya Money Markets

Ma Forward Contracts
Hii kitu ipo nimeifuatilia inaonekana ni ngumu mpaka tu upate mtu wa kukufundisha
Watu wanashadadia wanadhani ni sawa na kubeti. Angalau basi mtu apate basic knowledge ya mwenendo wa masoko ya fedha inahitajika.
 
We mnyama mkuu na copy style yako hiyo hiyo
 
Mkuu bavaria hebu naomba ufafanue yafuatayo taratibu wengine vichwa vyetu vizito 1.hapo kwenye going long and going short kwa mifano 2.kuhusu margin/laverage
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…