Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Okey lets assume natrade na pairkama hii...EUR/USD
Going long: nitanunua euro ikiwa chini na kuiuza soon ikipanda bei!! Hapa nakua naamini kwamba base currency yangu in this case euro itapanda thamani!! Kwa lugha ingine tunasema euro is bullish!!
Like wise, going short ni kwamba
Nakua naamini at some point euro kama base currency yangu itashuka thaman...sasa mimi kama bearish trader nitauza euro ikiwa thaman ya juu na kuinunua tena ikishuka thamani!!
Sijui kama nimeingia chaka ila thats what i understood!!
ONTARIO Bavaria mwongozo tafadhali!!
Haipo hivyo mkuu, umekosea kidogo sana..
Tuchukulie mfano wa hiyo EURUSD.
Going short manake ni kwamba una anticipate hiyo pair ipo bearish.
Unapo-short hiyo pair manake unauza Euro and kununua USD at the same time.
Unaopen position ikiwa juu na kuifunga ikiwa chini..
Unakusanya pips zako za kutosha..