Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nina uelewa kiasi juu ya FX Market. Niliwahi fanya kazi na institute moja iliyokuwa ina deal na fx though sikuwa directly attached to this unit, ila nilinusa harufu ya hela ndefu ndani yake.
Count me in mkuu...
 
Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Naomba usinisahau kati ya hao 300 mkuu, tupo wawil mimi na baba watoto
 
Namimi ni muumini mzuri sana wa "..mambo mengi mazuri yana changamoto zake lakini, yanawezekana..." kwa hili, kama nikuzama tutazama wote, na kama kutoboa, tutatoboa wote ONTARIO hata ikibidi kupiga magoti kukushika miguu kuomba radhi usiniache...hahahahaa
 
NAOMBA NIWE KATI YA HAO 300,but mkuu ungeandika majina ya vile vitabu 6 vya MLU ili tuanze kutoa tongo tongo boss,but all in all ubarikiwe sana.
 
please

I AM IN. JUST LET ME BE AMONG THOSE 300 STUDENTS.

Japo bado nipo gizani lakini kwa hiki kipande kifupi naona dalili za kufunguka,,,,,thanks ,,,we need your mentorship
Hivi wakuu mbona mnakosa ustaarabu? jamaa kashasema msi quote huu uzi na hata kama angekua hajasema ni swala tu la kujiongeza kwasabu hata msinge quote uzi mzima bado tungesoma comments zenu kama kawaida, kama nyie mnatumia computer mjue wengine tunatumia simu.
 
Wewe jamaa nimekufuatilia uzi zako nyingi sana, kikubwa nilichogundua kutoka kwako una moyo wa msaada sana. MUNGU wangu akuongeze.
Yanini uwe mchoyo kwa kiti ambacho hakikupunguzii chochote bali kinakuongezea ndugu na marafiki. Leo nikikusaidia wewe na yule najua kesho hata nisipokuepo mwanangu atabaki mikononi mwa watu salama. That's life!!
 
Mkuu ONTARIO wadau wanauliza maswali mengi njoo uwape mwanga japo kwa kifupi
Maswali mengi yanayoilizwa tayari nimejibu mapema sana kwenye hizo post za kwanza kwanza, ni vile kile mtu ana pupa akisikia pesa. But maswali yote ni basic.

Mfano mtu ananiuliza "ontario nikiwa na $300 naanzaje forex" na tayari nimesema kua tuwe wavumilivu hadi kila kitu kitakapokuwa tayari. We have to be patient nimalize kila kitu ikiwemo vibali nk nk.
 
Hivi wakuu mbona mnakosa ustaarabu? jamaa kashasema msi quote huu uzi na hata kama angekua hajasema ni swala tu la kujiongeza kwasabu hata msinge quote uzi mzima bado tungesoma comments zenu kama kawaida, kama nyie mnatumia computer mjue wengine tunatumia simu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sema mkuu acha tu ipite si unajua English ilivyo janga may be dat y
Nimeisoma tayari....

Ni nzuri sana hii aisee....

CC; Deception , Mkuu wa chuo Nkwesa Makambo , Samaritan
 
Mkuu nimsaidie ONTARIO kukujibu, Forex hawatrade TSHS VS USD/EUR/JPY bali wanatrade major currencies. i.e EUR/USD , GBP/USD, USD/JPY ETC. Kwahiyo uchumi wetu wa madafu TSHS hauusiki hapo. Fundamental analysis itaangalia uchumi wa USA/UK/JAPAN/USWIS/CANADA/AUSTRALIA/NEWZEALAND na sio TZ.
You are good boss. At least unafahamu major pair hata kwa kuziandiaka (GBP/USD) basi uko vzr. Meet you at class boss. Unafahamu hata fundamental analysis nk, naomba usikose kuja class nikimake a call kua tupo try.
 
Shukran kwa mada nzuri mkuu,vp kwa wenye interest n hii kitu inawezekana?
 
Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Mm niko mwanza nawezaje kuielewa je kwani mbali ya kuisoma kuna v2 cha kueleweshana vzuri ana kwa ana inakuwaje ?Lkn je sisi ambao hatukudoma vzuri inakuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom