Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba usinisahau kati ya hao 300 mkuu, tupo wawil mimi na baba watotoWazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Nimeisoma tayari....
Hahahah mimi nishachoma sana account
Yaani kuhusu stress mie zishaniishaga zamani labda
please
I AM IN. JUST LET ME BE AMONG THOSE 300 STUDENTS.
Hivi wakuu mbona mnakosa ustaarabu? jamaa kashasema msi quote huu uzi na hata kama angekua hajasema ni swala tu la kujiongeza kwasabu hata msinge quote uzi mzima bado tungesoma comments zenu kama kawaida, kama nyie mnatumia computer mjue wengine tunatumia simu.Japo bado nipo gizani lakini kwa hiki kipande kifupi naona dalili za kufunguka,,,,,thanks ,,,we need your mentorship
Yanini uwe mchoyo kwa kiti ambacho hakikupunguzii chochote bali kinakuongezea ndugu na marafiki. Leo nikikusaidia wewe na yule najua kesho hata nisipokuepo mwanangu atabaki mikononi mwa watu salama. That's life!!Wewe jamaa nimekufuatilia uzi zako nyingi sana, kikubwa nilichogundua kutoka kwako una moyo wa msaada sana. MUNGU wangu akuongeze.
Maswali mengi yanayoilizwa tayari nimejibu mapema sana kwenye hizo post za kwanza kwanza, ni vile kile mtu ana pupa akisikia pesa. But maswali yote ni basic.Mkuu ONTARIO wadau wanauliza maswali mengi njoo uwape mwanga japo kwa kifupi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sema mkuu acha tu ipite si unajua English ilivyo janga may be dat yHivi wakuu mbona mnakosa ustaarabu? jamaa kashasema msi quote huu uzi na hata kama angekua hajasema ni swala tu la kujiongeza kwasabu hata msinge quote uzi mzima bado tungesoma comments zenu kama kawaida, kama nyie mnatumia computer mjue wengine tunatumia simu.
Nimeisoma tayari....
Ni nzuri sana hii aisee....
CC; Deception , Mkuu wa chuo Nkwesa Makambo , Samaritan
You are good boss. At least unafahamu major pair hata kwa kuziandiaka (GBP/USD) basi uko vzr. Meet you at class boss. Unafahamu hata fundamental analysis nk, naomba usikose kuja class nikimake a call kua tupo try.Mkuu nimsaidie ONTARIO kukujibu, Forex hawatrade TSHS VS USD/EUR/JPY bali wanatrade major currencies. i.e EUR/USD , GBP/USD, USD/JPY ETC. Kwahiyo uchumi wetu wa madafu TSHS hauusiki hapo. Fundamental analysis itaangalia uchumi wa USA/UK/JAPAN/USWIS/CANADA/AUSTRALIA/NEWZEALAND na sio TZ.
Very soryHivi wakuu mbona mnakosa ustaarabu? jamaa kashasema msi quote huu uzi na hata kama angekua hajasema ni swala tu la kujiongeza kwasabu hata msinge quote uzi mzima bado tungesoma comments zenu kama kawaida, kama nyie mnatumia computer mjue wengine tunatumia simu.
Mm niko mwanza nawezaje kuielewa je kwani mbali ya kuisoma kuna v2 cha kueleweshana vzuri ana kwa ana inakuwaje ?Lkn je sisi ambao hatukudoma vzuri inakuwaje?Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.