Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
taadhari ni muhimu maana humu muhusika Otario hakusema kuundwe group la watsup au kuwe na group mambo yote yatakuwa exposed hapahapa jukwaani sasa mkitapeliwa huko msije kuchafua watu humu. tusiwe na papala 1 step at a time..
Bora ww umeligundua hilo mkuu kuna watu huko washajiundia group sasa mkija pigwa msilaumu.
 
Pia nawashauri mnaoanza kuweni makini, kuna utapeli mwingi sana kwenye FX trading. Kabla hujaanza fanya utafiti. Narudia. FANYA UTAFITI.
utapeli upo popote hata hapo unapofanya kazi/unapoishi wewe ulipoanza kimyakimya huko ulitapeliwa? kama wewe umeweza na sisi tutaweza kwa msaada wa Ontario ndiye mwenye nia ya dhati kwa vijana wa tanzania nyie mliamua kunyamaza endeleeni kukaa kimyaaaa!
 
Katika ku trade.. Click and deal nimeimaster (in both theory na katika demo) vzr tu na nagain vifaida japo loss za hapa na pale napata, natumia scalping(short term)...
Hii ya orders theory yake nimeielewa.... Tatizo ni kwenye kupractice kwenye demo.. Nashindwa kuiset vzr... Nikiset numba of pips kabla hazijafika ile order inaclose position..
Ukizingalitia hii ya order unaweza kutrade uku unaendelea na kazi zingine za ofisiView attachment 521211
Hiyo ni app gani?
 
Am not serious? unataka nilipuke ndo utambue niko serious? yaani niko serious 100%
unazngua bro koz inaonesha hata huu uzi hujausoma vzuri umesoma tuu mwanzo then ukakurupuka
kuhusu suala ya idadi ya watu ilishapunguzwa na kua 150 sasa ww nakushangaa bado unalilia 300
soma kitu kwanza elewa bac hata kdogo washkadau wengine wameongea nn kuhusiana na hii ishu co kukurupuka tuu
 
Naombeni kujua.. Nimevutiwa na Platform ya FXCM zaidi kuliko Metatrade.. Swali ni Je Kwenye hii pltform ya Fxcm nitampata huyu Broker anaitwa XM?? Ndio ninaye muamini lakin kama kuna Broker mwingine mzuri zaidi aliyeko FXCM naomba mnisadie nimjuie maana ndio niko mwishoni kufungua live account jumatatu ni lipie Bank... Nisije poteza Dollar 2000$ bure wapendwa msaada pls
 
Naombeni kujua.. Nimevutiwa na Platform ya FXCM zaidi kuliko Metatrade.. Swali ni Je Kwenye hii pltform ya Fxcm nitampata huyu Broker anaitwa XM?? Ndio ninaye muamini lakin kama kuna Broker mwingine mzuri zaidi aliyeko FXCM naomba mnisadie nimjuie maana ndio niko mwishoni kufungua live account jumatatu ni lipie Bank... Nisije poteza Dollar 2000$ bure wapendwa msaada pls

Haraka ya nini.? Do not invest katika kitu ambacho hukijui. kupoteza 2000 USD (kama kweli) ni pesa nyingi sana, tena kuzipoteza kizembe kama unavyotaka kufanya. Vuta subira, Muongozo wa jumla utoke. Uinvest ukiwa na amani.
 
Mimi nishajifunza kuhusu trade mwezi wa 5 sasa tangu januari.. Hakuna nilicho bakiza na nimefanya demo kwa miezi 4 nimeiva sina shaka mpaka natoa hela kwenye account yangu nimejiridhisha sasa. Muongozo nisubirie wa Ontario baada ya hawa beginner wanao anza sasa nikujiongezea muda usio na faida kwangu.. Kitu kidogo tu kina nichanganya ndio nakitakia jibu kwa experts walioko hapa just the best Broker.. Maana nahisi kila mtu anatumia Metatrader4 ata mm nimejifunza kwa miezi m3 kwa hiyo platform ila nimemalizia kujifunza na hii ya FXcm nimeona inaobtions nzuri na rahisi kwangu.. Tatizo nataka kujua kama naweza mpata broker mzuri zaidi ukiacha XM ambaye naona yuko tu at MT4/5 je kwa hii ptfm ya Fxcm broker yupi nzuri?? Only that..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Naombeni kujua.. Nimevutiwa na Platform ya FXCM zaidi kuliko Metatrade.. Swali ni Je Kwenye hii pltform ya Fxcm nitampata huyu Broker anaitwa XM?? Ndio ninaye muamini lakin kama kuna Broker mwingine mzuri zaidi aliyeko FXCM naomba mnisadie nimjuie maana ndio niko mwishoni kufungua live account jumatatu ni lipie Bank... Nisije poteza Dollar 2000$ bure wapendwa msaada pls
Kwanini usimsubirie mentor?

Mentorship means guidance
Mentorship means more experienced guiding less experienced

I believe all the issues will be covered

Relax
 
utapeli upo popote hata hapo unapofanya kazi/unapoishi wewe ulipoanza kimyakimya huko ulitapeliwa? kama wewe umeweza na sisi tutaweza kwa msaada wa Ontario ndiye mwenye nia ya dhati kwa vijana wa tanzania nyie mliamua kunyamaza endeleeni kukaa kimyaaaa!


I second you Mkuu....kusema ukweli hii kitu mm nilikuwa siijui Kabisa mm nilikuwa najua mambo ya kuuza na kununu pesa kwenye maduka ya kubadilisha hela tu..ingawaje sijaanza kujisomea vtabu vilivoelekezwa kutokana na kubanwa na muda ila hii kitu naona ni legit bizz Kabisa.

Hakuna Biashara isiyokuwa na changamoto duniani...kinachonisikitisha ni watu wanakuja na mbwembwe kibao za kutoa tahadhari na wengine kudiscourage watu kwa kweli nashindwa kuelewa Kabisa. Mleta Uzi tayari alishatoa maangalizo kibao Kuhusu hii Biashara kwa hyo huku kutishiana Sijui hii Biashara ni ngumu...Sijui unaweza poteza hela hayo hayatutishi..Biashara yoyote unaweza kupoteza hela sio hii tu.

Kama walikuwa wanajua hii ishu wakaamua kukaa kimya eti ili wapige hela kimya kimya halafu leo Mkuu @ Ontario kaamua kuishirikisha familia ya Jf Kuhusu hii Biashara halafu watu wanakuja na bla bla zao eti Sijui mm ni mzoefu wa hii biashara...kama ni mzoefu kwa nn hukutushirikisha???unakuja kudandia nyuzi za watu hapa na taadhari zako kibao.

Kama unaijua hii Biashara hatujakaa kutoa maoni...muongozo au Ushauri ila yasiwe maoni/Ushauri wa kukatisha watu jamaa..narudia.hakuna Biashara isiyo na lose duniani na kama ni kupoteza hela ktk Biashara mm nilishapoteza sana ila sikukata tamaa niliendelea kukomaa na kujifunza kutokana na makosa niliyofanya.

Hii Biashara lazima nitafanya...nitasoma nitasoma nitasoma mpaka niielewe na kama ni kutafuta mtu wa kunitrain nitamtafuta. Jamani eh hii sio Biashara ya nyanya kuwa watu wengi wakijihusisha nayo basi nyanya zitajaa sokoni na kukosa bei hapana..hii ni Biashara ambayo jinsi watu wengi wanavyoijua ndo inavyozidi kuwa tamu.

Kwa wale mliokuwa mnaijua hii.kitu na mmekuja kwenye juu Uzi ili kuturlimisha tunawashukuru sana ila kwa wale waliokuwa wanaijua na wanakuja kwa kutuvunja moyo mshindwe kwa jina la Yesu. Kwa sasa sisi tupo na Kijana @ Ontario amejifunza hii kitu kwa gharama Kubwa sana ila.ameamua kukitoa kwa watanzania bure Kabisa kwa kuanza na hata kama kutakuwa na kuchangia ili.kupata mafunzo hapo baadae sio kitu cha ajabu....ukitaka kula kubali kuliwa (JK).

Tunamuombea Ontario kwa Mungu ili kila alichokipanga Kuhusu hili jambo kifanikiwe na tunawaombea wale watakaopata zile nafasi za bure za kijifunza wakishamaliza warudishe ujuzi watakaoupata kwa watanzania wengine.

Kwa wale mliokuwa mnaijua hii Biashara mkaamua kukaa kimya endeleeni kukaa kimya na sio kuja hapa kututisha na mambo ya Sijui kupoteza na bla bla kibao...kama ni kupoteza tulishapoteza sana na hatukukata tamaa bado tunaendelea kupambana mpaka kieleweke hata kama kitaeleweka jioni.

Kwa walenaokuja kwa minajili kutuelimisha..tunawashukutu.sana.sana sana na mwenyenzi Mungu awabariki kwa kweli Mkuu @ Bavaria nitakutafuta Mkuu naona mchanga wako.kwenye Uzi huu ni adimu Kabisa.

Kwa kumalizia naomba kusema I salute you Mdogo wangu @ Ontario ....mwenyenzi Mungu akubariki kwa kila Jema unalotenda.
 
Wazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?

Good day traders!!

Nimefikiria kitu kimoja cha faida sana... cha faida kwetu sote, mimi na wewe - ili lengo letu liwe more than positive.

Kwajili ya kuhakikisha kuna 99% interaction kati ya mentors/coaches na wanafunzi, nimefikiria kuanzisha App. Hii App itatusaidia ktk:-

●Kubadilishana mawazo among ourselves, kuweza kuchat na kudiscuss kuhusu global financial economy. Forex, stocks, metals, commodities nk.

●Kuweza kupost picha hasa za charts za analysis, pamoja na video kama kutakuwa na umuhimu. Both technical na fundamental analysis!!

●Kufanya live webinars hasa siku za Jumapili, mentors watakua wanafanya analysis ya currencies ili kutoa mwanga wa wiki nzima.

●Students wataweza kushare experience zao, results zao kama wakipenda, inform of pictures nk.

●Tutakua tunakumbushana kuhusu upcoming economic and political news ambazo zinaweza kua na effect sokoni...

Kiufupi hii App itakua kwaajili ya kudumisha ukaribu baina yetu sote...

Wewe unanishauri nini?! Developer, Programmers, Coders... karibuni wazee!!
Million dollar value Idea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom