Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,488
- 3,338
kaka mi nakukubali sana, unamisimamo ya kiume, ulicho ongea ni kweli, hata yeye maelezo yake alikomaa sana, kabadilisha broker 3, kaacha kutumie indicator baada ya kuona zinampoteza hayo yote maana yake alitumia real account baada ya kuona analoose ndo akajifunza, mimi naona kama mtu hayuko radhi kupoteza hata $200 hawezi kuijua hii biashara na kufanikiwa baadae, yeye kasema alichoma accountHuyo alijitoa muhanga sana naye [emoji23]. Ila wewe, nina uhakika mkianza real trade hamto choma account ni vile tu unaogopa risk na unasubiri upewe confidence na Ontario. Mwisho wa siku you will have to overcome that fear. Kama vp anza hata na $50 sababu the only way to get going is to start, hizi demo zisitufariji sana