I wish tuanze mapema maana sisi wa mikoani tupo dar gharama pia,Mungu asaidie mkuu Ontario mambo yawe poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unayetumia binary, na vle binary ni ngumu kuliko forex (but with the same general idea), why usinipe kampani mdogo ako?Per earlier prediction.
It's a wrap.
$1850 fresh profit today in the portfolio. Courtesy of futures binary options for Wall St 30 (Dow Jones 30) > 21920 @ 4:15 US ET September 1 2017.
Let the long weekend begin.
Chukulia mfano mtu mwenye capital ya 5000usd na mtu mwenye 500 usd, wote wakifungua position yenye size ya 0.5 ambayo 1pip equates to 5usd, alafu waka loose 10 pips ambayo ni -50usd hivyo mtu mwenye capital ya 5000 usd atakuwa kaloose 1% ya capital yake wakati huo mtu mwenye 500usd atakuwa kaloose 10% ya capital yake.
Hivyo basi ukiwa na capital kubwa ni rahc kumanage risk haimaanishi uta loose zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniuliza mie mkuu?
Nieleweshe hapa. Ina maana umetia kibindoni hiyo amount? Na umeenda kuichukulia benki>Per earlier prediction.
It's a wrap.
$1850 fresh profit today in the portfolio. Courtesy of futures binary options for Wall St 30 (Dow Jones 30) > 21920 @ 4:15 US ET September 1 2017.
Let the long weekend begin.
Mbona update imeshatolewa mkuu!Leo ni siku ya darasa na hamna update yoyote?
Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
Tembelea Post ya Ontario [HASHTAG]#7793[/HASHTAG]Leo ni siku ya darasa na hamna update yoyote?
Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
Ukishapata hiyo training uje utupe shule na sisi wenzako wa rock cityNipo nangoja sitoki Dar mpaka nipate hii semina ndo ntaondoka kurudi Rock City
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umepitia post za Jana?Taarifa ilishatolewa.somaLeo ni siku ya darasa na hamna update yoyote?
Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx