Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwa kila Jambo Kuna majira yake. Na wakati kwa kila kusudi chini ya nchi.

Naamini hatujachelewa na hatutachelewa. Kuna kitu kinafanyika ndani ya mioyo yetu iliyojaa subira.

Tuendelee kujisomea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gold bussines in another angle. Siyo USD tuu ndo inaipandisha Gold thamani, kuna hii kitu pia na facts walizozitoa zinaingia akilini.
 

Attachments

  • wp_ss_20170902_0001.png
    wp_ss_20170902_0001.png
    52.6 KB · Views: 63
Shukrani Mr ONTARIO tuko pamoja sana katika hili jambo na MUNGU akubariki na kukulinda.
 
Hatua nzuri sana mkuu Ontario na hongera kwa ku 'bypass obstacles' zote ulizo kutana nazo, tunaendelea kupata elimu ya vitabu huku tukisubiri 'batches' za mafunzo zianze ili watu wapate wasaa wa kujifunza ili kufanikisha hii safari ya kuwa free kiuchumi katika hii bahari kubwa yenye kutumia akili na uelewa mpana wa mambo kiujumla ya Dunia. Sty blessed All
 
Per earlier prediction.

It's a wrap.

$1850 fresh profit today in the portfolio. Courtesy of futures binary options for Wall St 30 (Dow Jones 30) > 21920 @ 4:15 US ET September 1 2017.

Let the long weekend begin.
Wewe unayetumia binary, na vle binary ni ngumu kuliko forex (but with the same general idea), why usinipe kampani mdogo ako?
Huoni ninavyo struggle?

<> semper fi <>
 
Chukulia mfano mtu mwenye capital ya 5000usd na mtu mwenye 500 usd, wote wakifungua position yenye size ya 0.5 ambayo 1pip equates to 5usd, alafu waka loose 10 pips ambayo ni -50usd hivyo mtu mwenye capital ya 5000 usd atakuwa kaloose 1% ya capital yake wakati huo mtu mwenye 500usd atakuwa kaloose 10% ya capital yake.
Hivyo basi ukiwa na capital kubwa ni rahc kumanage risk haimaanishi uta loose zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20170902-083057.png


Sasa nimeelewa, mana kwa ule mtaji wa $200 hapa akaunt inakuwa ishachomwa long time...

Nliacha kuweka SL kwa bitcoin, Mana trend yake ilikuwa inaenda juu tu...

<> semper fi <>
 
Asante Mkuu ONTARIO kwa updates..tunasubir kwa hamu kujua utaratibu na kuanza program
 
Leo ni siku ya darasa na hamna update yoyote?

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Per earlier prediction.

It's a wrap.

$1850 fresh profit today in the portfolio. Courtesy of futures binary options for Wall St 30 (Dow Jones 30) > 21920 @ 4:15 US ET September 1 2017.

Let the long weekend begin.
Nieleweshe hapa. Ina maana umetia kibindoni hiyo amount? Na umeenda kuichukulia benki>

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom