Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwani ni lazima amfuate Ontario mkuu hata wewe waweza kumpa mwongozo
Mm mwenyewe bado newbie.

Ila kwenye huu Uzi kuna Mwl. Rct, wewe, amlike ,premij canoon wote hawa wanaweza kumfundisha.

Ila yeye Uzi mzima kamwona ontario
 
fx ni tamu ukishaijua, inakupasa kweli upige mazoezi ya kutosha, use low timeframe kujua what next if you know PA. Fahamu namna ya kuchora support and resistance na ujue when it's broken. Ni kweli vitabu % kubwa ni hadithi sio real action. Mambo ya kupanga sijui pips ngapi kwa siku ni hakuna, ukishajua you won't let profit run kwamba una-exit mapema kisha unaanza kulaumu dah ningejua nisifunge. Hela tamu wazee. Anyway hii ni demo.
terminal_2018-12-06_16-56-28.png
terminal_2018-12-06_17-03-34.png
 
Mm mwenyewe bado newbie.

Ila kwenye huu Uzi kuna Mwl. Rct, wewe, amlike ,premij canoon wote hawa wanaweza kumfundisha.

Ila yeye Uzi mzima kamwona ontario
Kwani ni lazima amfuate Ontario mkuu hata wewe waweza kumpa mwongozo
Way forward?I need good direction how to start?
1. Hakikisha unasoma kwa kuelewa neno kwa neno kwenye hii link: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
1544120817804.png

2. Kila kipengele ambacho hujaelewa pata ufafanuzi youtube/ google

3. Ukifikia hatua ya kati hakikisha unakuwa na demo account

4. Anza kujifunza ku_trade na pia jiunge na hii telegram channel yangu: DayTradersTZ , Hapo kila siku utapokea Entrie/ exit kwa pairs tofauti tofauti na pia utaweza kuona analysisi inavyofanyika.
1544120793556.png

#5. Hakikisha unasoma comment zote za kwenye hii thread, kuna vitabu/ video nyingi zimewekwa na wadau.

#6. Usiwe na haraka - Hakikisha unajifunza kwanza
 
1. Hakikisha unasoma kwa kuelewa neno kwa neno kwenye hii link: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
View attachment 958367

View attachment 958366

Mbona link inazingua au ni mm tu
 
So far kwa experience yangu ya Forex, Templerfx ndie broker ambae anamazingira bora na rahisi ya kutrade forex. Kwani yeye ana ruhusu kuweka na kutoa pesa kwenye trading account yako kirahisi sana kutumia Mpesa, Eazzymoney au card yako ya benki kwa urahisi sana na ndani ya dakika zisizozidi tano unaiona pesa yako.

Pia ana spread ndogo sana ukilinganisha na brokers wengine, na ana instruments nyingi za kutrade kuanzia forex currencies, stocks, indexes, cfd, adi commodities .
Unaweza tumia link hii kujiunga na Templerfx broker.

https://secure.templerfx.com/login/sign_up/111690
 
1. Hakikisha unasoma kwa kuelewa neno kwa neno kwenye hii link: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
View attachment 958367

2. Kila kipengele ambacho hujaelewa pata ufafanuzi youtube/ google

3. Ukifikia hatua ya kati hakikisha unakuwa na demo account

4. Anza kujifunza ku_trade na pia jiunge na hii telegram channel yangu: DayTradersTZ , Hapo kila siku utapokea Entrie/ exit kwa pairs tofauti tofauti na pia utaweza kuona analysisi inavyofanyika.
View attachment 958366

#5. Hakikisha unasoma comment zote za kwenye hii thread, kuna vitabu/ video nyingi zimewekwa na wadau.

#6. Usiwe na haraka - Hakikisha unajifunza kwanza
Ok thanks mkuu ngoja nianze mdomdo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom