Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu nataka niwekeze huku maana kuna watu wanasema wanapata $1000 kwa siku! Hizo ni $365,000 kwa mwaka. Nasubiri ushuhuda nijitose.
Sounds too good to be true!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nataka niwekeze huku maana kuna watu wanasema wanapata $1000 kwa siku! Hizo ni $365,000 kwa mwaka. Nasubiri ushuhuda nijitose.
Mie pia Mkuu ,naufatilia sana huu Uzi maana ,naona wahusika wanavyotiririka ,nami niweke tu $ vyangu vya ngamaMkuu nataka niwekeze huku maana kuna watu wanasema wanapata $1000 kwa siku! Hizo ni $365,000 kwa mwaka. Nasubiri ushuhuda nijitose.
I wanna hear from horse's mouth.Sounds too good to be true!
Watu huwa wanarusha sana screenshots, sasa watusaidie hesabu ya mwaka mzima. Isije kuwa mtu analiwa mwezi mzima akipata $200 ndio anarusha screenshot.Mie pia Mkuu ,naufatilia sana huu Uzi maana ,naona wahusika wanavyotiririka ,nami niweke tu $ vyangu vya ngama
Hahahaha MkuuAnza fasta u-download pesa.
Watoto kama Shunie unawapeleka Malibu kula bata
Watu huwa wanarusha sana screenshots, sasa watusaidie hesabu ya mwaka mzima. Isije kuwa mtu analiwa mwezi mzima akipata $200 ndio anarusha screenshot.
Ha ha ha hela ya udongo sio...Hahahaha Mkuu
Hii ya Ku download inabidi kutulia
Mie acha tu nisubiri udongo huku porini ,huko Malibu naenda kwa hela ya udongo Mkuu
Naelewa mkuu....si vibaya kujaribu angle nyingine. Kukaa na laptop au simu huku unapiga $$$$ na kahawa pembeni ni burudani sana.Hahahaha
Yes Mkuu ,najua we unajua
Naelewa mkuu....si vibaya kujaribu angle nyingine. Kukaa na laptop au simu huku unapiga $$$$ na kahawa pembeni ni burudani sana.
Nakumbuka siku moja ulishangaa sana nilipokwambia sijui chochote kuhusu hii kitu. Ila kuna kitu ulisema kuna jamaa ya accountant pande hizo hizo zenu aliniambia kile kile ulichosema.Sounds too good to be true!
Nakumbuka siku moja ulishangaa sana nilipokwambia sijui chochote kuhusu hii kitu. Ila kuna kitu ulisema kuna jamaa ya accountant pande hizo hizo zenu aliniambia kile kile ulichosema.
Nakumbuka siku moja ulishangaa sana nilipokwambia sijui chochote kuhusu hii kitu. Ila kuna kitu ulisema kuna jamaa ya accountant pande hizo hizo zenu aliniambia kile kile ulichosema.
TMT bado ipo ?
Raha ya ngoma ingie ucheze.Hata mimi natamani hizo bata ila ushuhuda utanishawishi.