Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu nataka niwekeze huku maana kuna watu wanasema wanapata $1000 kwa siku! Hizo ni $365,000 kwa mwaka. Nasubiri ushuhuda nijitose.
Mie pia Mkuu ,naufatilia sana huu Uzi maana ,naona wahusika wanavyotiririka ,nami niweke tu $ vyangu vya ngama
 
Mie niliwahi kukutana na msenegal mmoja kipindi Fulani akawa anaongea khs hii kitu,nikajua mpigaji,

Nilipoona Uzi huu wa yule Ontario ndio nikafumbuka ,kuwa hii kitu ipo kweli
Nakumbuka siku moja ulishangaa sana nilipokwambia sijui chochote kuhusu hii kitu. Ila kuna kitu ulisema kuna jamaa ya accountant pande hizo hizo zenu aliniambia kile kile ulichosema.
 
Nakumbuka siku moja ulishangaa sana nilipokwambia sijui chochote kuhusu hii kitu. Ila kuna kitu ulisema kuna jamaa ya accountant pande hizo hizo zenu aliniambia kile kile ulichosema.

Yep

Naikumbuka Hiyo conversation!

Imagine I knew of this stuff way back in 2005/06.

Nikaijaribu mwenyewe nione itakavyokua.

Sikuwa impressed hata kidogo.

Nikaachana nayo na nikaendelea na kubeba boksi tu.

Huko ambako haya mambo yalipoanzia [nasadiki ni Marekani] watu walio wengi hawana time nayo kabisa.

Ingekuwa ni rahisi kutengeneza hizo dollar kama ilivyoainishwa humu, basi karibu kila Mmarekani angekuwa ana trade.

Lakini jaribu tu kutembea mitaani halafu uliza tu random people kama wanajua Forex ni nini uone utapata majibu ya aina gani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom