CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
sijalalamika sehemu. ila ni aina ya post zangu shida ni hapo tu ila shida si FOREX,Mkuu usingeanza kulalamika kwanza huku ukijua huwezi kujiunga na FOREX kwa sasa jambo ambalo linaonesha dhahiri jinsi gani ulivyokuwa against na wenye muitikio wa FOREX.
Sasa umejianika kabisa kwa rangi yako kuhusu hili jambo
Kwenye fursa ni vizuri tushauriane na kupeana tahadhari lakini si kukatishana tamaa kwa udi na uvumba.
Watu wanachokushangaa ni kwamba katika post zako unasisitiza watu wajiajiri ili kujiondolea umasikin lakin alipojitokeza kijana mwenzako ONTARIO mwenye wazo kama lako la kuwahasa vijana wajiajiri wenyewe kupitia FOREX wewe ukawa unampinga na kumuanzishia post za kumfanya aonekane tapeli..nakusihi umuombe msamaha bado haujachelewasijalalamika sehemu. ila ni aina ya post zangu shida ni hapo tu ila shida si FOREX,
hakuna sehemu nimesema FOREX ni wizi ila ukiangalia post za watu humu ziko kwamba napinga kwa sababu tu ya Post
Pole sana, na mm nilijua kwa nature ya roho yako lazima kama ningejibiwa hii post ingekusumbuaSasa haya ndo sipendi humu Post inahusu kitu kingine mkuu
Ujue tunashida ya uelewa. Mkuu hivi wewe ulicho post kina uhusiano na ninayo eleza? yes inaweza kuwa ila sio kwa kiwango hicho.Pole sana, na mm nilijua kwa nature ya roho yako lazima kama ningejibiwa hii post ingekusumbua
asa kama unajua unajibu huku mbona post yako imeanza kwa biti kwamba wataka pandisha sijui mashetani sijui nn?Nitapandisha vipi ilihali najibu huku. sio lazima nipandishe sasa hivi.
Wewe Dogo tangu juzi wewe na mimi wewe na mimi yaani kila post unazungumzia mimi nikikupa ufafanuzi huelewi.Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.
Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
Hakuna Biti mkuuu hakuna mtoto humuasa kama unajua unajibu huku mbona post yako imeanza kwa biti kwamba wataka pandisha sijui mashetani sijui nn?
now unageuka kwamba unajibu huku,huku ndo kuna izo post za zamani. pandisha tusome ndo tujue ukweli wako.
sawanimeamini kuna avatar nyingine zinasadifu akili ya mtumiaji
Wewe una ugonvi binafisi na mimi niseme kweli na shida sio kingine nazani kuna ugonvi mwingine kabisa make unanisakama vibaya mnoShida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.
Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
Watu wa namna hii dawa yao ni kuwapuuza tu.Watu wanachokushangaa ni kwamba katika post zako unasisitiza watu wajiajiri ili kujiondolea umasikin lakin alipojitokeza kijana mwenzako ONTARIO mwenye wazo kama lako la kuwahasa vijana wajiajiri wenyewe kupitia FOREX wewe ukawa unampinga na kumuanzishia post za kumfanya aonekane tapeli..nakusihi umuombe msamaha bado haujachelewa
relax mkuu, huyu huyu bwana dishi lishayumba, yeye mwenyewe hajui anahitaji nini katika maisha haya.Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.
Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
Hapa point ya kushikiwa akili napo ina mshiko. nazani ndo mwisho wa point zakorelax mkuu, huyu huyu bwana dishi lishayumba, yeye mwenyewe hajui anahitaji nini katika maisha haya.
anasema ni utapeli, ukimwambia toa ushahidi hana. anakuja sema nae anasoma vitabu sasa (it means hana uelewa wowote ama ana uelewa hafifu wa hii makitu)
mlio karibu na huyu bwana msaidieni, msimwache aadhirike hivi muda si mrefu ataanza mwaga radhi huyu.
Wewe Dogo tangu juzi wewe na mimi wewe na mimi yaani kila post unazungumzia mimi nikikupa ufafanuzi huelewi.
Unataka nini hasa?
Alibadili gani?Uzuri ni kwamba mimi sijifichi nyuma ya mapazia.na nafanya nacho amini.Naona Albadili imeanza kufanya kazi
Basi njoo na jina kamili.na umuri ili nikusalimie kama unanizidi miaka. vinginevyo wewe ni dogo tu.
Mimi siyo Dogo kwako tafadhali, na huna unachonielewesha zaidi uniombe radhi kwa matusi yako uliyonitumia PM, nimekuvumilia sana tena sana sihitaji kutukanwa! Kama maisha yao ni ya kutukana usiowaelewa basi endelea