huitaji kuchora chochote bali
Unawaza kama mimi,mimi naxhani market haifuati michoro ama analysis bali analysis ndio itafuata market.
So kama market haifuati michoro ya analysis why tunachora ? hatujaimaster market ipasavyo.
Mimi nadhani mbali na analysis kuna kitu ama vitu vya siri ambavyo ukivijus ndio utaanza kupiga pesa.
Maana kaa inshu ni analysis ama fundamental kila aliyesokoni anajua hizo vitu lakini still kuna watu wengi wanalia na soko,why ?
There is something else.
Binafsi nimeona kwamba psychology inaplay part kubwa sana,ndio kuna wataalamu wanasema forex trading is a battle of you against you(means your psychology).
But yote kwa yote sijutii kuijua trading japokuwa nimeshapoteza pesa za kutosha tu ila kwenye kupoteza huko kumenifunza mambo mengi.
Nimepoteza pesa lakini bado nakataa kusema forex is a pyramid scheme ama scam.
Nilizopoteza katika pesa nakiri ni my own psychology ndio imenicost,so haiwezi kuwa scam ama utapeli.
Kwenye betting sijui lakini kwenye trading inarakiwa uwe na saikolojia kali sana,ni moja ya mind game ya ajaby sana.
Ukishapitia mateso na kujifunza in a hard way ndipo nadhani mtu ataanza kutengeneza pesa kwa urahisi wanaousema watu.
SO kitu chochote ukishakimaster wengine wataona ni rahisi kwa sababu wewe unaefanya umekiweza ndivyo,ila akifanya mwingine ataona ugumu.
.na ndivyo trading ilivyo waru wanasema rahisi kwa sababu wanawaona watu wanaifanya kw urahisi kumbe hao watu walishaimaster kutambo so mtu akiona unatizama chart anajua unacheza tu kumbe uko na mahesabu makali kichwani unafanya bila yeye kujua.
Akiingia yeye anapigea anaona ni utapeli,kumbe bado hajamaster,tuendeleeni kujifunza zaidi throufh experience n.k