Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa


izo vijembe hazikusaidii chochote na forex wewe huijui unapayuka tu ndo maaana mpaka leo hamtoki
 


Ona sasa unavyoelewa maana ya manipulation ktk soko, haimaanishi kuchakachua inamaanisha false move against the real intention. Picha halisi itazame candlestick (sijui hata kama unaijua) inakua na opening price then high/low then inaenda kufunga so kama candle ni bullish means price ilivyotoka opening kwenda low ni manipulation lakini real direction ni bullish/high, same to candle ikiwa bearish means price ilitoka open kwenda high as manipulation/false move then inadrop na kua bearish. In short shape ya candle structure nzima ya chart. Nenda kwenye mt4 sasa hivi ukitrain jicho lako utaiona chart kwa mtindo huo consolidation/accumulation (kubuild up contracts), manipulation (ambayo kuwamanipulate mabreakout traders au kuhits stops then real move/direction then baadae watafanya distribution. Tatizo mnafikiri forex za akina Ontario na wafundishaji wengine ndo zinawapa edge watu, hell no, dig deep
 
Achana nae huyu, anaonekana aliweka mpunga wote kwa forex akiamini atatoboa, kaliwa basi tayari anajikuta professor huku akigombania kande kwa dada yake....
 
Hizi guts zinazotakiwa ktk ulimwengu wa trading
 
daah! kijana unakazi kuscreenshot....

nipe jibu,wewe umetengeneza software ipi?... sio unakuja na viscreenshot vyako uchwara hapa..
hio ni video, reference za google na investopedia umekataa nmekuwekea ya mtu aliefanya kazi benki kabisa mpaka apo ukiendelea kubisha basi kuna fungus sehem
 
Sasa mbona unavifananisha?
aje? nmesema trading ni kuuziana ama pia kubadilishana inaweza ikawa pesa na bidhaa kama nguo ama pesa kwa pesa

betting hakuna kubadilishana bali umeweka 50/50 kwenye kitu mfano simba akishinda nachana nguo
ama akifungwa nanunua jezi mpya

ama pia πŸ˜‚ πŸ˜‚ , dola ikipanda mkeka wako unatiki
 
hio haikuhusu nshakwambia logic apa ni forex mengine hayakuhusu
Kama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..
Nina mashaka wewe bado upo KWENYE foolish age, au ni jinsia tofauti na niliyoidhania hapo awali....
 
Ni kama bahati nasibu tu
 
Kama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..
Nina mashaka wewe bado upo KWENYE foolish age, au ni jinsia tofauti na niliyoidhania hapo awali....
hio ni reference uelewe kwamba najua from A-z unavoweka trade mpaka unakuja kufunga najua, na najua exactly unachotrade ni nn
 
Kama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..
Nina mashaka wewe bado upo KWENYE foolish age, au ni jinsia tofauti na niliyoidhania hapo awali....
pia mm sio mtu wa kupenda kujazana maongezi na mtu mjinga, napenda mtu ambae anatoa maelezo na reference na story nyuma yake story za vijiwenu kapige uko na wenzako
 
POA poa. Why Sasa Trading ananunua na kuuza Ila bado anapoteza so anakuwa Kama anabahatisha ama inakuwaje

swali zuri, katika trading hakuna chochote kinachouzwa, na najua kabisa unatakiwa kudeposit pesa halali ila kwenye trading pale sio pesa yako inatumika bali unapewa tu mkeka, ndo maaana unaweza kudeposit $1000 ila broka akakuruhusu utrade na mtaji wa $100,000 ni kwa sababu hio pesa haipo na wanajua kabisa hio pesa haipo na hakuna mtu anaenda kupewa hio pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…