Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Nani analipa kufundishwa?.....mtu hujui hata maana liquidity provider, unakuja kufundisha kuhusu forex.....hujui kazi ya GOOGLE na unajiita software developer......

ok, software developer,unatumia programming language ipi au ni kinyakyusa?😂😂😂

izo vijembe hazikusaidii chochote na forex wewe huijui unapayuka tu ndo maaana mpaka leo hamtoki
 
mtu ambae anaelewa forex market inatrediwa vp hawezi ongea huo upuuzi
- mm natrade kwa broker A nkimanipulate soko broker A ndo atanipa izo hela? ili kuweka manipulate soko unaongea billion znazoenda mpaka 100, sasa hakuna retail broker anayo liquidity ya bil 100 per trade

- manipulation inatokea kwenye asset class ambazo ni legit kama stocks, nikipuliza short ya $100M najua watu watauza assets zao kwa sababu wameweka stoploss ntazichukua izo asset zao walizouza

- forex watachukua n

- forex watachukua nn?

Ona sasa unavyoelewa maana ya manipulation ktk soko, haimaanishi kuchakachua inamaanisha false move against the real intention. Picha halisi itazame candlestick (sijui hata kama unaijua) inakua na opening price then high/low then inaenda kufunga so kama candle ni bullish means price ilivyotoka opening kwenda low ni manipulation lakini real direction ni bullish/high, same to candle ikiwa bearish means price ilitoka open kwenda high as manipulation/false move then inadrop na kua bearish. In short shape ya candle structure nzima ya chart. Nenda kwenye mt4 sasa hivi ukitrain jicho lako utaiona chart kwa mtindo huo consolidation/accumulation (kubuild up contracts), manipulation (ambayo kuwamanipulate mabreakout traders au kuhits stops then real move/direction then baadae watafanya distribution. Tatizo mnafikiri forex za akina Ontario na wafundishaji wengine ndo zinawapa edge watu, hell no, dig deep
 
Achana nae huyu, anaonekana aliweka mpunga wote kwa forex akiamini atatoboa, kaliwa basi tayari anajikuta professor huku akigombania kande kwa dada yake....
 
Kuna watu wameikimbilia na wakaliwa hela wakaja kuitukana kuwa sio real shit. Skills za Trading aren't usual skills ambazo human beings wamezoea kujifunza na ndio Mana wapotezao Ni wengi mno. Yaani hata mie naweza nikaifungua najua in long run nitameki hela Mana naijua saikolojia ya binadamu iko against kabisa na Trading yaani iko against na sio rafiki kwake
Hizi guts zinazotakiwa ktk ulimwengu wa trading
 
daah! kijana unakazi kuscreenshot....

nipe jibu,wewe umetengeneza software ipi?... sio unakuja na viscreenshot vyako uchwara hapa..
hio ni video, reference za google na investopedia umekataa nmekuwekea ya mtu aliefanya kazi benki kabisa mpaka apo ukiendelea kubisha basi kuna fungus sehem
 
Sasa mbona unavifananisha?
aje? nmesema trading ni kuuziana ama pia kubadilishana inaweza ikawa pesa na bidhaa kama nguo ama pesa kwa pesa

betting hakuna kubadilishana bali umeweka 50/50 kwenye kitu mfano simba akishinda nachana nguo
ama akifungwa nanunua jezi mpya

ama pia 😂 😂 , dola ikipanda mkeka wako unatiki
 
hio haikuhusu nshakwambia logic apa ni forex mengine hayakuhusu
Kama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..
Nina mashaka wewe bado upo KWENYE foolish age, au ni jinsia tofauti na niliyoidhania hapo awali....
 
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli.

Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya mafanikio wakiona ushawishi wa mitandao ya kijamii yale mafanikio wanayo onyeshwa bila kujua uhalisia wa watu.

Ogopa sana mtu anayekwambia kafanikiwa kwenye forex alafu huyo hyo anataka kuwafundisha au kuwa tradia mkiipa pesa zenu. Watu hawa asilimia kubwa wametrade na kupoteza pesa nyingi na kuanza kutafuta kwa njia nyengine ili kupata kipato.

wanaongia kwenye forex wengi ni betting jackpot bila kujua risk management. Ili jambo linawakuta sana wanaoingia kwenye forex sababu ya kuaminishwa na matamanio wanayoelezwa kuwa utatoboa haraka.

Ukweli forex ni utapeli uliochangamka kwa wasiojua biashara hii ilivyo sababu imebebwa na tamaa za watu kutaka mafanikio. Kwa nini forex ni utapeli uliochangamka? Biashara ya forex imegeuka kuwa utapeli sababu hakuna mwenye uhakika na soko kama neno lake lilivyo Foreign exchange.

Sababu ni hipi kuonekana kuwa ni utapeli?
  • Wengi wetu sio wasomaji wa vitabu vinavyo husiana na elimu hii wanataka kufundishwa leo kesho yupo sokoni.
  • Waaminishaji na wahamasishaji ni wengi pale wanapokuonesha mafanikio yao ila hasara kuoneshwa ni ngumu.
  • Usiri wa mafanikio ya forex ni mkubwa sana kwa wachache ila ni wengi waliofeli kwenye mafanikio.
  • Mabroker wengi wamekuwa matapeli sababu hawa wapeleki sokoni hapa unatakiwa kujua ni broker gani kwako.
  • Kujiona muelewa ndani ya mda mfupi bila kutambua soko sio lako na kufeli hapo hapo.
TAHADHARI:
Hakuna chochote duniani utakacho fanya bila kukidadisi mwenyewe usitegemee mtu yoyote kukupa mafanikio sio changamoto utafeli.

Most people lose money in Forex trading, why is this? Actually numbers are following: 70% -75% of people lose money in their first year of trading!

Other 20–25 % lose money in next 5 years! (hapa srJEff ina muhusu)

And only 3–5% of all traders are profitable or not losing money.

Reason why people lose money:
  • Not following money management;
  • Do not know how position sizing works;
  • Do not have trading system;
  • Over trading!
Ni kama bahati nasibu tu
 
Kama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..
Nina mashaka wewe bado upo KWENYE foolish age, au ni jinsia tofauti na niliyoidhania hapo awali....
hio ni reference uelewe kwamba najua from A-z unavoweka trade mpaka unakuja kufunga najua, na najua exactly unachotrade ni nn
 
Kama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..
Nina mashaka wewe bado upo KWENYE foolish age, au ni jinsia tofauti na niliyoidhania hapo awali....
pia mm sio mtu wa kupenda kujazana maongezi na mtu mjinga, napenda mtu ambae anatoa maelezo na reference na story nyuma yake story za vijiwenu kapige uko na wenzako
 
POA poa. Why Sasa Trading ananunua na kuuza Ila bado anapoteza so anakuwa Kama anabahatisha ama inakuwaje

swali zuri, katika trading hakuna chochote kinachouzwa, na najua kabisa unatakiwa kudeposit pesa halali ila kwenye trading pale sio pesa yako inatumika bali unapewa tu mkeka, ndo maaana unaweza kudeposit $1000 ila broka akakuruhusu utrade na mtaji wa $100,000 ni kwa sababu hio pesa haipo na wanajua kabisa hio pesa haipo na hakuna mtu anaenda kupewa hio pesa
 
Back
Top Bottom