joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
😂Labda ni wewe tu ndo haujui, sisi tunadanilodi mihela deilee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Labda ni wewe tu ndo haujui, sisi tunadanilodi mihela deilee.
Nani analipa kufundishwa?.....mtu hujui hata maana liquidity provider, unakuja kufundisha kuhusu forex.....hujui kazi ya GOOGLE na unajiita software developer......
ok, software developer,unatumia programming language ipi au ni kinyakyusa?😂😂😂
mtu ambae anaelewa forex market inatrediwa vp hawezi ongea huo upuuzi
- mm natrade kwa broker A nkimanipulate soko broker A ndo atanipa izo hela? ili kuweka manipulate soko unaongea billion znazoenda mpaka 100, sasa hakuna retail broker anayo liquidity ya bil 100 per trade
- manipulation inatokea kwenye asset class ambazo ni legit kama stocks, nikipuliza short ya $100M najua watu watauza assets zao kwa sababu wameweka stoploss ntazichukua izo asset zao walizouza
- forex watachukua n
mtu ambae anaelewa forex market inatrediwa vp hawezi ongea huo upuuzi
- mm natrade kwa broker A nkimanipulate soko broker A ndo atanipa izo hela? ili kuweka manipulate soko unaongea billion znazoenda mpaka 100, sasa hakuna retail broker anayo liquidity ya bil 100 per trade
- manipulation inatokea kwenye asset class ambazo ni legit kama stocks, nikipuliza short ya $100M najua watu watauza assets zao kwa sababu wameweka stoploss ntazichukua izo asset zao walizouza
- forex watachukua nn?
Ona sasa unavyoelewa maana ya manipulation ktk soko, haimaanishi kuchakachua inamaanisha false move against the real intention. Picha halisi itazame candlestick (sijui hata kama unaijua) inakua na opening price then high/low then inaenda kufunga so kama candle ni bullish means price ilivyotoka opening kwenda low ni manipulation lakini real direction ni bullish/high, same to candle ikiwa bearish means price ilitoka open kwenda high as manipulation/false move then inadrop na kua bearish. In short shape ya candle structure nzima ya chart. Nenda kwenye mt4 sasa hivi ukitrain jicho lako utaiona chart kwa mtindo huo consolidation/accumulation (kubuild up contracts), manipulation (ambayo kuwamanipulate mabreakout traders au kuhits stops then real move/direction then baadae watafanya distribution. Tatizo mnafikiri forex za akina Ontario na wafundishaji wengine ndo zinawapa edge watu, hell no, dig deepmtu ambae anaelewa forex market inatrediwa vp hawezi ongea huo upuuzi
- mm natrade kwa broker A nkimanipulate soko broker A ndo atanipa izo hela? ili kuweka manipulate soko unaongea billion znazoenda mpaka 100, sasa hakuna retail broker anayo liquidity ya bil 100 per trade
- manipulation inatokea kwenye asset class ambazo ni legit kama stocks, nikipuliza short ya $100M najua watu watauza assets zao kwa sababu wameweka stoploss ntazichukua izo asset zao walizouza
- forex watachukua nn?
View: https://twitter.com/rollymsouth/status/1654007280810049536
huyu ametoka kwenye benki, sasa we endelea na ubishi wako kwa kozi uliofundishwa na menta maskini
una uhakika lakini kuwa UNA AKILI TIMAMU?.... maana nimekuuliza swali zaidi ya mara tatu na hujajibu hata moja we software developer...izo vijembe hazikusaidii chochote na forex wewe huijui unapayuka tu ndo maaana mpaka leo hamtoki
Unaelewa Nini Trading and betting pleasetraders ama watu wa beting unamaanisha wapi? traders kama traders wapo wakina george soros hao ni traders hawabet,
Achana nae huyu, anaonekana aliweka mpunga wote kwa forex akiamini atatoboa, kaliwa basi tayari anajikuta professor huku akigombania kande kwa dada yake....Ona sasa unavyoelewa maana ya manipulation ktk soko, haimaanishi kuchakachua inamaanisha false move against the real intention. Picha halisi itazame candlestick (sijui hata kama unaijua) inakua na opening price then high/low then inaenda kufunga so kama candle ni bullish means price ilivyotoka opening kwenda low ni manipulation lakini real direction ni bullish/high, same to candle ikiwa bearish means price ilitoka open kwenda high as manipulation/false move then inadrop na kua bearish. In short shape ya candle structure nzima ya chart. Nenda kwenye mt4 sasa hivi ukitrain jicho lako utaiona chart kwa mtindo huo consolidation/accumulation (kubuild up contracts), manipulation (ambayo kuwamanipulate mabreakout traders au kuhits stops then real move/direction then baadae watafanya distribution. Tatizo mnafikiri forex za akina Ontario na wafundishaji wengine ndo zinawapa edge watu, hell no, dig deep
trading - buying and sellingUnaelewa Nini Trading and betting please
Hizi guts zinazotakiwa ktk ulimwengu wa tradingKuna watu wameikimbilia na wakaliwa hela wakaja kuitukana kuwa sio real shit. Skills za Trading aren't usual skills ambazo human beings wamezoea kujifunza na ndio Mana wapotezao Ni wengi mno. Yaani hata mie naweza nikaifungua najua in long run nitameki hela Mana naijua saikolojia ya binadamu iko against kabisa na Trading yaani iko against na sio rafiki kwake
hio haikuhusu nshakwambia logic apa ni forex mengine hayakuhusuuna uhakika lakini kuwa UNA AKILI TIMAMU?.... maana nimekuuliza swali zaidi ya mara tatu na hujajibu hata moja we software developer...
Sasa mbona unavifananisha?trading - buying and selling
betting - mchezo wa kubahatisha
hio ni video, reference za google na investopedia umekataa nmekuwekea ya mtu aliefanya kazi benki kabisa mpaka apo ukiendelea kubisha basi kuna fungus sehemdaah! kijana unakazi kuscreenshot....
nipe jibu,wewe umetengeneza software ipi?... sio unakuja na viscreenshot vyako uchwara hapa..
aje? nmesema trading ni kuuziana ama pia kubadilishana inaweza ikawa pesa na bidhaa kama nguo ama pesa kwa pesaSasa mbona unavifananisha?
Kama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..hio haikuhusu nshakwambia logic apa ni forex mengine hayakuhusu
Ni kama bahati nasibu tuMimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli.
Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya mafanikio wakiona ushawishi wa mitandao ya kijamii yale mafanikio wanayo onyeshwa bila kujua uhalisia wa watu.
Ogopa sana mtu anayekwambia kafanikiwa kwenye forex alafu huyo hyo anataka kuwafundisha au kuwa tradia mkiipa pesa zenu. Watu hawa asilimia kubwa wametrade na kupoteza pesa nyingi na kuanza kutafuta kwa njia nyengine ili kupata kipato.
wanaongia kwenye forex wengi ni betting jackpot bila kujua risk management. Ili jambo linawakuta sana wanaoingia kwenye forex sababu ya kuaminishwa na matamanio wanayoelezwa kuwa utatoboa haraka.
Ukweli forex ni utapeli uliochangamka kwa wasiojua biashara hii ilivyo sababu imebebwa na tamaa za watu kutaka mafanikio. Kwa nini forex ni utapeli uliochangamka? Biashara ya forex imegeuka kuwa utapeli sababu hakuna mwenye uhakika na soko kama neno lake lilivyo Foreign exchange.
Sababu ni hipi kuonekana kuwa ni utapeli?
TAHADHARI:
- Wengi wetu sio wasomaji wa vitabu vinavyo husiana na elimu hii wanataka kufundishwa leo kesho yupo sokoni.
- Waaminishaji na wahamasishaji ni wengi pale wanapokuonesha mafanikio yao ila hasara kuoneshwa ni ngumu.
- Usiri wa mafanikio ya forex ni mkubwa sana kwa wachache ila ni wengi waliofeli kwenye mafanikio.
- Mabroker wengi wamekuwa matapeli sababu hawa wapeleki sokoni hapa unatakiwa kujua ni broker gani kwako.
- Kujiona muelewa ndani ya mda mfupi bila kutambua soko sio lako na kufeli hapo hapo.
Hakuna chochote duniani utakacho fanya bila kukidadisi mwenyewe usitegemee mtu yoyote kukupa mafanikio sio changamoto utafeli.
Most people lose money in Forex trading, why is this? Actually numbers are following: 70% -75% of people lose money in their first year of trading!
Other 20–25 % lose money in next 5 years! (hapa srJEff ina muhusu)
And only 3–5% of all traders are profitable or not losing money.
Reason why people lose money:
- Not following money management;
- Do not know how position sizing works;
- Do not have trading system;
- Over trading!
hio ni reference uelewe kwamba najua from A-z unavoweka trade mpaka unakuja kufunga najua, na najua exactly unachotrade ni nnKama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..
Nina mashaka wewe bado upo KWENYE foolish age, au ni jinsia tofauti na niliyoidhania hapo awali....
pia mm sio mtu wa kupenda kujazana maongezi na mtu mjinga, napenda mtu ambae anatoa maelezo na reference na story nyuma yake story za vijiwenu kapige uko na wenzakoKama hayanihusu uliyaandika ya nini hapa kuwa wewe umewahi tengeneza brokage software?.....ya kwako hayatuhusu ila ya wenzako ndo unashobokea?..
Nina mashaka wewe bado upo KWENYE foolish age, au ni jinsia tofauti na niliyoidhania hapo awali....
POA poa. Why Sasa Trading ananunua na kuuza Ila bado anapoteza so anakuwa Kama anabahatisha ama inakuwajetrading - buying and selling
betting - mchezo wa kubahatisha
Watu wanasema kuwa Ni utapeli so no utapeli dunia nzimaHizi guts zinazotakiwa ktk ulimwengu wa trading
POA poa. Why Sasa Trading ananunua na kuuza Ila bado anapoteza so anakuwa Kama anabahatisha ama inakuwaje