Umeishiwa hoja umebaki kutukana tu basi sawa. Unasema sio soko ni kitendo, hata kuuza viazi mviringo ni tendo.
Hapa pia panaongeza maswali kuw fx ya broker n real
Their have confidence kuw majority must fail ,
in mt4 forex ni most cases hua hautrade real money ni pesa ya nadharia the same way leverage inatumika, unaweza kutrade na asset kama btc kwa pesa ya kufikirika ila hio bitcoin hutakuja kupewa its just imaginaryZaid unashangaa kuna platform zinatoa firm account , competition account zenye usd 100,000+ unajiulza wanafaidk nn wao wakupe account bure ya usd 100,000+
Ontario aliiona fursa kwa wajinga!nikikumbuka ontario alisepa na kijiji chake huku, nacheka sana
Ontario aliiona fursa kwa wajinga!
Ujinga pia ni fursa kwa mwerevu
Nakumbuka sana jinsi Ontario alivyoanza kuwavuta na kuwaaminisha watu na story za SA, Crypto nk...
Ule Uzi wa... "Forex biashara yenye faida kubwa ambayo hakuna benki itataka uijue"
Kwa mtu mwenye kuwaza kwa herufi kubwa .. ni benki Gani isiyotaka Wateja/faida!?
Ukiona unavutwa kwa story tamu za mafanikio ya haraka... Tambua wewe ndio fursa yenyewe inayotafutwa!
There are two primary divisions of professional day traders: those who work alone, and/or those who work for a larger institution.Umeishiwa hoja umebaki kutukana tu basi sawa. Unasema sio soko ni kitendo, hata kuuza viazi mviringo ni tendo.
yupo anafundisha saaaahvKuna Jamaa anajiita Sirjeff aliipa sana Promo Fx saivi haonekani
Hujui kua kuna walimu wa hesabu na hawajui hesabu?
View: https://twitter.com/rollymsouth/status/1654007280810049536
huyu ametoka kwenye benki, sasa we endelea na ubishi wako kwa kozi uliofundishwa na menta maskini
unaweza shangaa wewe ndo huyo mwalimuHujui kua kuna walimu wa hesabu na hawajui hesabu?
unaongea sana na forex yenyewe huijuiAmna kusingizia nini wala nin trading n tamaa zako ndo zinarudisha nyuma maarifa kidg taama kubwa mtaji mdgo . Ukiiendea ovyo inakupulusa yan afadhal betting kuliko trading, trading sio kuotea bali ni timing +direction+volume+liquidity +time uweze kuvicombine, ukisema unaotea utakufa eti uotee eu itabuy sawa itabuy kwanin watu wa bett hawaishobokei forex si znafanan
Akili 0, sometimes weka neno uone nani ata reply then tumia jibu lake kama kipimo sahihiunaweza shangaa wewe ndo huyo mwalimu
π π π ona ili bogus lingine, yaaani elimu imekua umati saaahvAkili 0, sometimes weka neno uone nani ata reply then tumia jibu lake kama kipimo sahihi
Hauna akili boss
Naona watu wanabishana kuonyeshana umwamba Ila Ni kwamba kuna Aina mbili ya hizi Mambo.
TRADING aka cfd hapa una speculate price fluctuation of any underlying assets.
Na broker ameweka hapo ukipata unapata hela ukikosea unapoteza hela. Yeye Ni sawa na kiwanda ama anauza na kununua.
Trading haina physical location Ni just electronically Mana unaweza ukaona hisa za Toyota zikoje so una place bet uka speculate Ila sio betting hii uliyozoea,
Pia unaweza labda mafuta yatapanda Bei like during Russia Ukraine war.
Investment or investing una own real underlying financial assets.
Wewe unamiliki hisa za crdb ama twiga cement kiuhalisia Ni part of the company namie nacheza na Bei naweza nikaona kuwa hapa hii biashara itaporomoka so hisa zitashuka nikauza ama zitapanda nikanunua with leverage
Naona watu wanabishana kuonyeshana umwamba Ila Ni kwamba kuna Aina mbili ya hizi Mambo.
TRADING aka cfd hapa una speculate price fluctuation of any underlying assets.
Na broker ameweka hapo ukipata unapata hela ukikosea unapoteza hela. Yeye Ni sawa na kiwanda ama anauza na kununua.
Trading haina physical location Ni just electronically Mana unaweza ukaona hisa za Toyota zikoje so
una place bet uka speculate Ila sio betting hii uliyozoea,
Pia unaweza labda mafuta yatapanda Bei like during Russia Ukraine war.
Investment or investing una own real underlying financial assets.
Wewe unamiliki hisa za crdb ama twiga cement kiuhalisia Ni part of the company namie nacheza na Bei naweza nikaona kuwa hapa hii biashara itaporomoka so hisa zitashuka nikauza ama zitapanda nikanunua with leverage
Hapo uliposema unaplace bet halafu unasema sip betting ulikuwa unamaanisha nini ?
Mkuu naomba unipe utofauti wa hedge fund investors na Forex retail traders in detailshapana wakina george soros ni traders kabisa ila ni watu wa hedge fund(INSTITUTIONAL)