Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Umeishiwa hoja umebaki kutukana tu basi sawa. Unasema sio soko ni kitendo, hata kuuza viazi mviringo ni tendo.

si unaona kabisa uko nje ya mada viazi mviringo vimeingiaje apa, and yes ni kitendo my point ni uelewa kwamba hakuna kitu kinaitwa FX MARKET haipo na haiwezi tokea kila mtu anatrade kwa makubaliano but its different from what mnafanya mt4 ila kwanza sio trading ni gambling na hakuna chochote mnauziana pale zaidi mnatapeliana
 
Hapa pia panaongeza maswali kuw fx ya broker n real

Their have confidence kuw majority must fail ,

by default you will fail na hata google washasema apa
1712062021099.png

ubaya wa mt4 ni kwanza ni gambling na ni addictive pia hata kama ukiloose vp kuna kasauti katakwambia inaofuata lazima upige 😂 😂 😂 , japokua forex ipo na inafanyika ila sio upatu wa mt4, kuna watu wanatumia nguvu kubwa kuaminisha watu kwamba mt4 ni kazi kama kazi zingine but kiuhalisi ni uJINGA na nchi nyingi tu zmepiga marufuku forex, africa as always ndo soko la vitu ambavyo havimake sense kwa sababu ya uvivu wa kufikiri

if you want to trade forex you can trade na pesa nyingi kwa kupitia venues tafauti, unaweza trade fx kwa kutumia dola accounts za benki ama hata byuro de change, pesa utapata nzuri tu, pia hakuna common rates!

unaweza pandisha rate yako anytime mfano saaahv dola ni ya shida sana basi rate yako nayo inakua juu, pia unaweza trade kwenye venues ambazo znafanya real exchange ya cash mfano mzuri ni BINANCE P2P, pale unajiwekea rate yako binafsi ya kununua na kuuza, mambo ni mengi ila ieleweeke tu hakuna kitu kinaitwa FX MARKET na hakuna broka anapeleka watu sokoni kwa sababu hilo soko halipo na halitakaa kuwepo, uvivu wa kufanya researh ndo umefikisha vijana wetu apa
 
Zaid unashangaa kuna platform zinatoa firm account , competition account zenye usd 100,000+ unajiulza wanafaidk nn wao wakupe account bure ya usd 100,000+
in mt4 forex ni most cases hua hautrade real money ni pesa ya nadharia the same way leverage inatumika, unaweza kutrade na asset kama btc kwa pesa ya kufikirika ila hio bitcoin hutakuja kupewa its just imaginary
 
nikikumbuka ontario alisepa na kijiji chake huku, nacheka sana
Ontario aliiona fursa kwa wajinga!

Ujinga pia ni fursa kwa mwerevu

Nakumbuka sana jinsi Ontario alivyoanza kuwavuta na kuwaaminisha watu na story za SA, Crypto nk...

Ule Uzi wa... "Forex biashara yenye faida kubwa ambayo hakuna benki itataka uijue"

Kwa mtu mwenye kuwaza kwa herufi kubwa .. ni benki Gani isiyotaka Wateja/faida!?

Ukiona unavutwa kwa story tamu za mafanikio ya haraka... Tambua wewe ndio fursa yenyewe inayotafutwa!
 
waswahili wanasme "UKIITWA KWENYE FURSA BASI WEWE NDO FURSA"
 
Umeishiwa hoja umebaki kutukana tu basi sawa. Unasema sio soko ni kitendo, hata kuuza viazi mviringo ni tendo.
There are two primary divisions of professional day traders: those who work alone, and/or those who work for a larger institution.

Most day traders who trade for a living work for large players like hedge funds and the proprietary trading desks of banks and financial institutions. These traders have an advantage because they have access to resources such as direct lines to counterparties, a trading desk, large amounts of capital and leverage, and expensive analytical software.
 
Amna kusingizia nini wala nin trading n tamaa zako ndo zinarudisha nyuma maarifa kidg taama kubwa mtaji mdgo . Ukiiendea ovyo inakupulusa yan afadhal betting kuliko trading, trading sio kuotea bali ni timing +direction+volume+liquidity +time uweze kuvicombine, ukisema unaotea utakufa eti uotee eu itabuy sawa itabuy kwanin watu wa bett hawaishobokei forex si znafanan
 
unaongea sana na forex yenyewe huijui
 
Naona watu wanabishana kuonyeshana umwamba Ila Ni kwamba kuna Aina mbili ya hizi Mambo.

TRADING aka cfd hapa una speculate price fluctuation of any underlying assets.
Na broker ameweka hapo ukipata unapata hela ukikosea unapoteza hela. Yeye Ni sawa na kiwanda ama anauza na kununua.
Trading haina physical location Ni just electronically Mana unaweza ukaona hisa za Toyota zikoje so una place bet uka speculate Ila sio betting hii uliyozoea,
Pia unaweza labda mafuta yatapanda Bei like during Russia Ukraine war.

Investment or investing una own real underlying financial assets.
Wewe unamiliki hisa za crdb ama twiga cement kiuhalisia Ni part of the company namie nacheza na Bei naweza nikaona kuwa hapa hii biashara itaporomoka so hisa zitashuka nikauza ama zitapanda nikanunua with leverage

Naona watu wanabishana kuonyeshana umwamba Ila Ni kwamba kuna Aina mbili ya hizi Mambo.

TRADING aka cfd hapa una speculate price fluctuation of any underlying assets.
Na broker ameweka hapo ukipata unapata hela ukikosea unapoteza hela. Yeye Ni sawa na kiwanda ama anauza na kununua.
Trading haina physical location Ni just electronically Mana unaweza ukaona hisa za Toyota zikoje so

una place bet uka speculate Ila sio betting hii uliyozoea,
Pia unaweza labda mafuta yatapanda Bei like during Russia Ukraine war.

Hapo uliposema unaplace bet halafu unasema sip betting ulikuwa unamaanisha nini ?

Back
Top Bottom