win rate ya 45% huezi fikisha kwa mt4 , na sio mt4 tu hata wale traders wakubwa win rate zao kwa mwaka hua zkienda snaa 60% kwa mwaka na huyo ni mtu mmojaMwaka inawezekena kabisa, au kwa vile ni kubet labda mambo yanaweza kuchange total
Lakini katika hali ya kawaida inawezekana mkuu
oooh huyo broker ni mgeni kwangu sjajua id yake inapatikana wap ila hua ni lazima upewe ni kwa ajili ya analysis kila mwisho wa mwakaNi toka mwaka jana mwezi wa nane
retail hatrade ana BET , trading inafanyika kwa cashSasa mkuu kama retail trader alitakiwa atrade wapi tofauti na kwa broker? Umenipa mashaka na uelewa wako katika tasnia
Kama traders wakubwa wanaweza fikisha 60% kwa mwaka, mi nashindwaje 45% kwa mwaka?win rate ya 45% huezi fikisha kwa mt4 , na sio mt4 tu hata wale traders wakubwa win rate zao kwa mwaka hua zkienda snaa 60% kwa mwaka na huyo ni mtu mmoja
Mfano wake si ni kama hiyo screenshot yangu niliyoanza na Usd 4000 mwezi wa nane mwaka jana ila mpaka sasa nilishafikisha 50%.win rate ya 45% huezi fikisha kwa mt4 , na sio mt4 tu hata wale traders wakubwa win rate zao kwa mwaka hua zkienda snaa 60% kwa mwaka na huyo ni mtu mmoja
Kama traders wakubwa wanaweza fikisha 60% kwa mwaka, mi nashindwaje 45% kwa mwaka?
Kuna kitu kinaitwa CONSISTENCY yaani kila mwezi unatakiwa uwe una skills za kutengeneza mfano 20%Mfano wake si ni kama hiyo screenshot yangu niliyoanza na Usd 4000 mwezi wa nane mwaka jana ila mpaka sasa nilishafikisha 50%.
Au hiyo 45% unamaanishaje labda?
Sifanyi trade. Alafu trade si kila mtu anafanya kama kuwa na gari au kuishi kwenye nyumba. Sawa mzee. Ila nina hints nyingi sana kuhusu trade na mafanikio yake au hasarana wewe tuonyeshe trading history yako boss
Hata kama taarifa nazipata kwa kuchelewa, kupanda au kushuka kwa currency yoyote hakutatokea kwa siku moja tukwa sababu hauna taarifa sahihi za muhimu wewe unaangalia charts tu ila wale hua wanakwapua taarifa za ndan kabisa hawakai kusoma charts kama nyie, labda anajua kabisa kesho kuna kitu flan kinaenda kutokea kwenye siasa kwahio anakua mbele yako mapema, wengine wako kwenye charts tu
Yeap ipo ivo na ndo maana huwaga na vimaswali unapojisajili ili wajue wanakuweka ktk dealing desk or straight toward processing, na wako na software makini kufilter kulingana na trading
Maneno yako yanawakatisha sana tamaa wenye passion na hii biashara. Trading ni career ngumu sana inayohitaji dedication ya hali ya juu kuimaster skill set. Unaepambana endelea kupambana usiyumbishwe na negativity ya huyu MTU ila ushauri don't expect reward in the near future. Binafsi took 6 years kuipata skill set ya trading and start become consistent and profitable trader. As you keep seeking you will find answers. Mentality wanayoingia nayo vijana ktk hii career ndo inayowaletea shida especially kwa kudanganywa na hao matrader feki wa mitandaoni wanaotegemea fees zao kuishi. Trading is very hard but at the very rewarding. Hizo habari za % ndogo wanaofanikiwa ni kwa career zote ambazo ni rewarding, angalia music, soka, law schools, business etc wanaofika kilele hasa cha mafanikio makubwa ni % ndogo sana majority wapo kusogeza siku tu. In any career self discipline na uvumilivu ni lazimasasa wewe unabishana kitu hukijui
maokoto hio sahau ata upewe miaka, 100 as long hautrade kwa cash maokoto hio sahau
Hiyo account ndo ina huo mda, ila mimi nimeanza forex mwaka 2018Kuna kitu kinaitwa CONSISTENCY yaani kila mwezi unatakiwa uwe una skills za kutengeneza mfano 20%
apo wewe bado hujajiwekeza vizuri mda wako unafka soon si bado hata mwaka hauna
Washenzi tu hao...amna tumpe mda kijana maaana wanaingiza mamilioni kila dakika 10 😂
Sifanyi trade. Alafu trade si kila mtu anafanya kama kuwa na gari au kuishi kwenye nyumba. Sawa mzee. Ila nina hints nyingi sana kuhusu trade na mafanikio yake au hasara
account zingine zko wapHiyo account ndo ina huo mda, ila mimi nimeanza forex mwaka 2018
Maneno yako yanawakatisha sana tamaa wenye passion na hii biashara. Trading ni career ngumu sana inayohitaji dedication ya hali ya juu kuimaster skill set. Unaepambana endelea kupambana usiyumbishwe na negativity ya huyu MTU ila ushauri don't expect reward in the near future. Binafsi took 6 years kuipata skill set ya trading and start become consistent and profitable trader. As you keep seeking you will find answers. Mentality wanayoingia nayo vijana ktk hii career ndo inayowaletea shida especially kwa kudanganywa na hao matrader feki wa mitandaoni wanaotegemea fees zao kuishi. Trading is very hard but at the very rewarding. Hizo habari za % ndogo wanaofanikiwa ni kwa career zote ambazo ni rewarding, angalia music, soka, law schools, business etc wanaofika kilele hasa cha mafanikio makubwa ni % ndogo sana majority wapo kusogeza siku tu. In any career self discipline na uvumilivu ni lazima
Hata kama taarifa nazipata kwa kuchelewa, kupanda au kushuka kwa currency yoyote hakutatokea kwa siku moja tu
Lazima na mm ntapata taarifa kwa kuchelewa siku moja au masaa kadhaa ukingatia sasahiv ni zama za utandawazi
Hatushindani, elewa hii biashara the way ilivyo hata mie nikiwa na hela nafungua cfd brokerage company since losing rate Ni kubwa than winning rate.hakuna broker anatoa pesa yake ya mfukon yeye atamatch orders zako na mtu ambae anaziuza, the same way ukiziuza yupo anaenunua ndo maisha yanaenda ivo hakunaga ela ya mfukon anatoa broker
Why ukiwa katika winning position unatoka haraka baadaye unakuja kujilaumu why umetoka mapema.izo zote unazotaja ni vijisababu vya kwann ukifeli unatakiwa utumie hizi sababu, ila unasahau toka mwanzo forex yenyewe ni nn, kiuhalisia kama una ndoto za kutengeneza pesa kwa forex basi we tafuta tu mishe zingine za kufanya mapema hakuna cha risk management wala nn