Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Why ukiwa katika winning position unatoka haraka baadaye unakuja kujilaumu why umetoka mapema.

Why ukiwa katika losing position hutoki haraka ama ku control your losses unashangaa inakuwa kubwa mpaka inamaliza mtaji wako.

Naomba unijibu hayo majibu hapo juu mtabe Mana mie bado ndio learner
Yote ni kuhusu saiokolojy. Ubongo wao haujauprogram ktk plan so unaendeshwa na hisia kuliko plan, kwaiyo unajilinda na positive result wenyewe upovtayar kupokea tu negative result
 
retail hatrade ana BET , trading inafanyika kwa cash
Hilo halijakataliwa, ya mt4 ni online trading. Kwani unapotaka kununua his
akuna mtu anaweza kua tajiri kwa kutrade forex mnaofanya nyie ya mt4 hio haiwezekan, na hata sku ikatokea hata asilimia 5 tu ya traders wa broker wanapata faida basi tayar kwake ni hasara kubwa na inatakiwa afunge biashara sio kwa sababu anatoa ela yeye hapana bali LIQUIDITY itakauka kwa huyo broker, forex mnaofanya nyie sio biashara bali ni kamari forex inafanyika in cash ila nyie mnafanya kitu kinaitwa PERPETUAL CONTRACTS ama kwa kiswahili MKEKA

imezoeleka hata kwenye betting apa na pale watu wanapata ela ila hio inaitwa BAHATI sio skil kusema kwamba baada ya apo ataendelea kushinda tena hapana bahati hairudii mara 2 na ndo kwenye forex pia ilivo, overall ili mabroker waishi inatakiwa 100% ya traders waache pesa kwake,

- kama ulivosema ilikuchukua miaka 6, but kitu ambacho hujui ni ata tukikupa miaka 100 huezi kua tajiri kwa kutumia mt4 simply becausehamuielewi forex kwa uhalisia wake, na jinsi izo number znabadilika, na pia hamjui reasons na nan wako nyuma yake sasa mpaka apa unafanya nn uko?
Unaposema huwezi ukafanikiwa kupitia trading nakuona Hujui kitu period. Ukijua namna hizo big institutions (liquidity providers) wanavyodrive price basi unakua umeepuka kua kundi la majority looser (liquidity). Jinsi wanavyodrive price is not randomly bali inakua controlled systematically, its an AI, price inakua delivered by computer program. Ofourse mchakato mzima kuhusu forex unawahusu wao haimaanishi retail trader hawezi kunufaika nao kikubwa asitegemee hizi knowledge za kwenye vitabu zinasisitiza patterns au only technicals ambazo kimsingi zipo kukutia upofu juu ya nini kinaendelea ingawa ni muhimu katika kupata some basics za career. Yes forex inainvolve kubadilishina pesa lakini price inakua translated into charts ndo hiyo unayoiona kwenye mt4 na other platform. The real hustler keep on pushing ila isiwe kwa mkumbo au tamaa ya pesa
 
Why ukiwa katika winning position unatoka haraka baadaye unakuja kujilaumu why umetoka mapema.

Why ukiwa katika losing position hutoki haraka ama ku control your losses unashangaa inakuwa kubwa mpaka inamaliza mtaji wako.

Naomba unijibu hayo majibu hapo juu mtabe Mana mie bado ndio learner
Tafuta kitabu cha mark douglass kkinachohusu market psychology
 
Na kwa hiyo mindset kimbia haraka sana kwa sababu trading inahitaji moyo mgumu hasa plus strong mindset otherwise itakudhalilisha na kukuachia maumivu makali sana.
Exactly!

Kuna mtu aliniambia anataka na yeye aanze trading.
Nikamuuliza ukimfumania mkeo anazini na jamaa utafanyaje? Akaniambia nakata mapanga wote!

Nikamwambia huna uvumilivu wa kutrade forex so achana nayo
 
sio kwa kuchelewa bali TAARIFA SAHIHI, hizo taarifa huezi kuzipata! powel anaweza akasimama pale akasema uchumi unaenda vizuri wewe UKALONG kumbe benki kuu inafanya mwamala wa mabilioni kununua GBP za kufanya biashara, maaaana yake yes kuna postive news but USD imeshuka kwa sababu benki kuu imefanya trade kwa ajili ya manunuzi flan, wewe utakua in loss na yule alieshort atakua in profit kwa sababu haukua na taarifa sahihi
Kama ingekuwa hivyo nisingefikisha hata hiyo 50% ndani ya miez saba,
Mi naamini nitafanikiwa tu.

Ila mm siyo miongoni mwa wale wanaosema wanadanilod maelf ya $ kwa siku,

Mi nimeamua kuifanya kama sehemu ya kuweka akiba yangu like utt, So natumia lot ndogo mno ambayo ntabaki salama hata kama price itatembea against na mm kwa miez 3 mpaka sita

Kiufupi mimi ni swing'er asie kata tamaa linapokuja swala la kusubili
 
Hilo halijakataliwa, ya mt4 ni online trading. Kwani unapotaka kununua his

Unaposema huwezi ukafanikiwa kupitia trading nakuona Hujui kitu period. Ukijua namna hizo big institutions (liquidity providers) wanavyodrive price basi unakua umeepuka kua kundi la majority looser (liquidity). Jinsi wanavyodrive price is not randomly bali inakua controlled systematically, its an AI, price inakua delivered by computer program. Ofourse mchakato mzima kuhusu forex unawahusu wao haimaanishi retail trader hawezi kunufaika nao kikubwa asitegemee hizi knowledge za kwenye vitabu zinasisitiza patterns au only technicals ambazo kimsingi zipo kukutia upofu juu ya nini kinaendelea ingawa ni muhimu katika kupata some basics za career. Yes forex inainvolve kubadilishina pesa lakini price inakua translated into charts ndo hiyo unayoiona kwenye mt4 na other platform. The real hustler keep on pushing ila isiwe kwa mkumbo au tamaa ya pesa

1) in forex hakunaga manipulation ya big players, manipulation hutokea kwenye assets kama stocks sana sana ama crypto, forex manipulation ni broker tu aamue kukufanyia mbaya ila hakuna anaekumanipulate forex kwa sababu forex market doesnt exist, HAIPO! hakuna kitu kama FOREX MARKET when you bet mnamalizana na broker hakuna sehem oda zako ztaenda zaidi ya kwa broka wako

2) ungekua unaelewa forex inavofanyika usingepoteza mda kuandika ulichoandika
 
it doesnt matter mzee, we sio wa kwanza kufanya ivo! Everything kwenye forex is against you
 
Hatushindani, elewa hii biashara the way ilivyo hata mie nikiwa na hela nafungua cfd brokerage company since losing rate Ni kubwa than winning rate.
Huyu Ni sawa na Hawa jamaa wanaochezesha kamari. Unakuta pia anao mtaji wa kuwalipa winners.
Assume wanaopoteza wakapoteza kidogo na Wanao win Waka win nyingi unadhani atafanyeje.
Na yeye unakuta anao mtaji wa kuwalipa.

Hii Ni biashara Kama biashara zingine sema ndio ziko against human nature na ndio Mana watu wanaiita kuwa Ni utapeli.

Asili ya brain ya mwanadamu ikishindwa kitu haikubali ,yaani huwa hatuendi popote huku tunajiandaa kushindwa,hata tuendapo michezoni yaani tunapofanya Jambo lolote ego inatuambia kuwa tutashinda so hata Kama Kuna kushindwa lazima tutafute sababu. Yaani ubongo upo kwa ajili ya kukulinda kwa Hali yoyote Ile iwe jua ama usiku, mvua ama kiangazi.

Mie pia naweza nikawa sipo sahihi.
Ama wewe unaweza ukawa sahihi kuliko mie Ila nimeuliza kuwa wanaopoteza wanakuwa Ni chini ya dola $10k na Wanao win ingawa Ni wachache Wana mitaji ya $1M na winnings zao Ni around $100k plus. Huyu broker atawalipaje?
Assume huyu broker akawa B book na sio A book cfd broker

1) Kulipwa unalipwa vizuri tu mzee wala hawana shida but as long your here kufanya full time then you will loose all the money at the end, kusema utatengeneza pesa nzuri kwenye forex ni kujidanganya

2) wengi wenu forex hamuielewi mmejiunga kwa sababu mliambiwa sehem na mkapangwa yaani mlishindwa apa kufanya a simple google search kama hii
1711900874615.png
 
Yote ni kuhusu saiokolojy. Ubongo wao haujauprogram ktk plan so unaendeshwa na hisia kuliko plan, kwaiyo unajilinda na positive result wenyewe upovtayar kupokea tu negative result

- izo zote ni excuse broker wanazowapa wanshindwa kuwaambia ukwel kwahio na nyie mnaona alafu kweli vile kumbe mnapangwa lakini miaka nenda rudi same results same excuses, saikology, risk management 😂 😂 😂
 
Why ukiwa katika winning position unatoka haraka baadaye unakuja kujilaumu why umetoka mapema.

Why ukiwa katika losing position hutoki haraka ama ku control your losses unashangaa inakuwa kubwa mpaka inamaliza mtaji wako.

Naomba unijibu hayo majibu hapo juu mtabe Mana mie bado ndio learner

  • kwa sababu thats human to want more on something that happens rare
  • uhalisia ni kwamba as long unatrade kwa mt4 basi izo ndoto ulizonazo sahau na sio kwa ajabu, infact nchi nyingi zinazojielewa wameifunga retail forex trading infact hata marekan hawaruhusu kufanya retail forex trading, ni uku tu africa
 
Hatushindani, elewa hii biashara the way ilivyo hata mie nikiwa na hela nafungua cfd brokerage company since losing rate Ni kubwa than winning rate.
Huyu Ni sawa na Hawa jamaa wanaochezesha kamari. Unakuta pia anao mtaji wa kuwalipa winners.
Assume wanaopoteza wakapoteza kidogo na Wanao win Waka win nyingi unadhani atafanyeje.
Na yeye unakuta anao mtaji wa kuwalipa.

Hii Ni biashara Kama biashara zingine sema ndio ziko against human nature na ndio Mana watu wanaiita kuwa Ni utapeli.

Asili ya brain ya mwanadamu ikishindwa kitu haikubali ,yaani huwa hatuendi popote huku tunajiandaa kushindwa,hata tuendapo michezoni yaani tunapofanya Jambo lolote ego inatuambia kuwa tutashinda so hata Kama Kuna kushindwa lazima tutafute sababu. Yaani ubongo upo kwa ajili ya kukulinda kwa Hali yoyote Ile iwe jua ama usiku, mvua ama kiangazi.

Mie pia naweza nikawa sipo sahihi.
Ama wewe unaweza ukawa sahihi kuliko mie Ila nimeuliza kuwa wanaopoteza wanakuwa Ni chini ya dola $10k na Wanao win ingawa Ni wachache Wana mitaji ya $1M na winnings zao Ni around $100k plus. Huyu broker atawalipaje?
Assume huyu broker akawa B book na sio A book cfd broker
overall ungefungua biashara na ukawa mvumilivu kwa hata miaka 6 ungekua mbali zaidi ya apa sasa kila sku unasema risk management
 
1) Kulipwa unalipwa vizuri tu mzee wala hawana shida but as long your here kufanya full time then you will loose all the money at the end, kusema utatengeneza pesa nzuri kwenye forex ni kujidanganya

2) wengi wenu forex hamuielewi mmejiunga kwa sababu mliambiwa sehem na mkapangwa yaani mlishindwa apa kufanya a simple google search kama hii
View attachment 2950198
Iyo unusually skilled financial assets trader ndiyo iliyomfanya Richard Dennis akatoa akaunti from $400 to $200M.
Yaa nakiri kuwa skills Zake sio za kitoto pia Ni unusual skills for our brain nature.
It's always against with our designed mind.
It's very difficult to conquer nature but it's possible.
You've to naturalize unnaturalnness and unnaturalize naturalness.
You've to decode the brain which isn't easy task for fainted , nervous,non resilient brain.
Ukiijua kabisa trading huwezi mshauri mtu kabisa kuwa aifanye Mana Ni very dangerous Bora ukapigane Vita ya isarael Palestine or Russia Ukraine war.

Wengi wanameki through education, trading services sellers.
I really appreciate only few self made millionaire like Livermore.

What I really adore is the skills but deep pocket bila ya skills unazipoteza Tena nikiwa na uwezo kabisa na ninajua huna skills Nina uwezo wa kubeti against you. Ukinunua nakuuzia.
Skills ndizo zinazomeki hela ,na skills is very fuckinng expensive to acquire. Money is nothing before skills.
Skills are far expensive than money.
 
Hilo halijakataliwa, ya mt4 ni online trading. Kwani unapotaka kununua his

Unaposema huwezi ukafanikiwa kupitia trading nakuona Hujui kitu period. Ukijua namna hizo big institutions (liquidity providers) wanavyodrive price basi unakua umeepuka kua kundi la majority looser (liquidity). Jinsi wanavyodrive price is not randomly bali inakua controlled systematically, its an AI, price inakua delivered by computer program. Ofourse mchakato mzima kuhusu forex unawahusu wao haimaanishi retail trader hawezi kunufaika nao kikubwa asitegemee hizi knowledge za kwenye vitabu zinasisitiza patterns au only technicals ambazo kimsingi zipo kukutia upofu juu ya nini kinaendelea ingawa ni muhimu katika kupata some basics za career. Yes forex inainvolve kubadilishina pesa lakini price inakua translated into charts ndo hiyo unayoiona kwenye mt4 na other platform. The real hustler keep on pushing ila isiwe kwa mkumbo au tamaa ya pesa
Wewe ni ICT trader?
 
1) in forex hakunaga manipulation ya big players, manipulation hutokea kwenye assets kama stocks sana sana ama crypto, forex manipulation ni broker tu aamue kukufanyia mbaya ila hakuna anaekumanipulate forex kwa sababu forex market doesnt exist, HAIPO! hakuna kitu kama FOREX MARKET when you bet mnamalizana na broker hakuna sehem oda zako ztaenda zaidi ya kwa broka wako

2) ungekua unaelewa forex inavofanyika usingepoteza mda kuandika ulichoandika
Duh, unaandika pumba kwa kujiamini sana🙄🙄🥱
 
Akiwa na limited funds lazima aanzie huko Ila Kama anao mtaji na anajua anachokifanya Wala Hana time.
Hakuna trader ana mtaji kushinda Hedge funds na investment firms. Kusema kuwa una mtaji kuliko Hedge fund na Investment firms inaonesha kubwa haujui trading. Na hivyo basi unaendelea kuzurura na kupoteza muda katika maisha kwa kufanya forex. Bado utaendelea kujidanganya kwa sababu unataka kuamini kuwa Forex inaweza ikakufanya utoboe. Unaamini kwa sababu ni mvivu na hautaki kukaza na kupambana na maisha. Utakuja kujua ukweli muda umeshapita naa umeshachelewa. Nimeshasema link hapa jinsi ya kuepuka matapeli wa Forex na Sehemu ya ku-report ukitapeliwa.
 
Back
Top Bottom