Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Asante BTW mimi ni mmamaUmetoa nondo brother/sister
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante BTW mimi ni mmamaUmetoa nondo brother/sister
Hakuna mtu amesema Fx ni scam, kingine amini unachoamini lakini kaa ukijua forex trading may make you rich if you are a hedge fund with deep pockets lakini for the average retail trader ni bahati nasibu, mwisho nikutakie safari njema.Amini unachokiamini bro mambo yasiwe mengi.
1. Trading sio utapeli, iwe forex, stocks, options, future, commodities or indexes
2.Huhitaji capital kubwa hata kufanikiwa for as long as umewekeza nguvu na nidhamu kufafuta maarifa na kuyatumia maarifa hayo kwa nidhamu pia capital as low as 200$ inakupea hela nyingi within a year kama umeikuza kwa njia sahihi.
Some people work best with big capitals and others small capital is all they have na wanascale in kupitia hiyo hiyo
Point yangu ni kwamba huwezi kuishi kwa ku trade kwa hizo $100, mitaji midogo inabidi utumie leverage kubwa hapa ndipo utajua hujui cause utakuwa una throw away all the rules of risk management and probably blow up your account kwa hio ndugu yangu nitabaki kukuambia hizo account za dola 100 kuwa successful na to make a living kwa hio mitaji it is close to impossible.Yaani ungejua ungekaa kimya, sema sie bongo kila mtu Ni Mhandisi,daktari,mhasibu,mwanasheria,dereva, journalist,na pia Ni accountant.
Naweza Nika reveal hapa sema Sina haja ya kukuthibitia ishu kubwa huwa nasema kuwa maisha Ni Imani wewe bakia unachoamini namie nibakie nachoamini.
Unajua kuwa elimu nyingi iliyoko public sio elimu sahihi ama ukicheki Ni common knowledge.
Yaani wote wanaiongelea kitu kile like. Unajua kuwa cut loss but how to cut loss or hold winners but how to hold winners.
Trading inaonekana easy due to some common wisdom words from guru ambazo ziko common.
Kama education iliyopo he Ni sahihi na Kama Ni sahihi umeshajiuliza why wengi Wana feli ingawa Kuna thousands and thousands of channels at YouTube, website,PDF files, teachers and educators,weekend courses but still it has got higher failure rate.
Hakuna sehemu nilipojifanya mjuaji sema wewe umekuwa biased namie.
Ila pia sie Ni watalaamu wa kila kitu. Mie Ni newbie labda sijui unachokisema.
Ngoja nikupe ukuu namie huwa Sina haja ya kukuaminisha ama nionekane najua mie sijui kitu kuwa na amani. Samahani wote niliotaka kuwapoteza jamani.
Mnisamehe bure
Bahati nasibu kwako kaka usigeneralize, your journey is not everyone's journey.Hakuna mtu amesema Fx ni scam, kingine amini unachoamini lakini kaa ukijua forex trading may make you rich if you are a hedge fund with deep pockets lakini for the average retail trader ni bahati nasibu, mwisho nikutakie safari njema.
Sio bahati ni maarifa.....Point yangu ni kwamba huwezi kuishi kwa ku trade kwa hizo $100, mitaji midogo inabidi utumie leverage kubwa hapa ndipo utajua hujui cause utakuwa una throw away all the rules of risk management and probably blow up your account kwa hio ndugu yangu nitabaki kukuambia hizo account za dola 100 kuwa successful na to make a living kwa hio mitaji it is close to impossible.
Endeleeni kuota unaweza badili $100 kuwa $10k in a year, kama una hio strategy i guarantee you you will become millionaire within several months, sema amen!! even if you start with $50.
Nisikukatishe tamaa wakati mwingine bahati inaweza kuwa kwako...
Badala ya demo ni bora ukafungua cent account ni nzuri mno kwa kuanzia.Ntafanyia kazi sina mood ya demo kabisa inakupa illusional hope
Kama mtaji mdogo fungua cent account. Tatizo la watu wengi wanataka mafanikio ya haraka kwa mtaji mdogo na bila kufuata risk management na ku control emotion.Vimitaji vyenu vya Dola 500 kwenye forex ni nothing bora uache tu.
fanya kutrade na live account ndiyo uje humu na ushuhuda......pambafSiwezi kusema na knowledge kubwa ila inatosha kunipa confidence, ninajua risk management, some strategies i prefer supply and demand with few indicators, kwa mwaka mzima sitarisk zaidi ya 1%, hivyo hata nikipata loss haitoniaffect
Point yangu ni kwamba huwezi kuishi kwa ku trade kwa hizo $100, mitaji midogo inabidi utumie leverage kubwa hapa ndipo utajua hujui cause utakuwa una throw away all the rules of risk management and probably blow up your account kwa hio ndugu yangu nitabaki kukuambia hizo account za dola 100 kuwa successful na to make a living kwa hio mitaji it is close to impossible.
Endeleeni kuota unaweza badili $100 kuwa $10k in a year, kama una hio strategy i guarantee you you will become millionaire within several months, sema amen!! even if you start with $50.
Nisikukatishe tamaa wakati mwingine bahati inaweza kuwa kwako...
Sahihi kabisa 100% .., I do this business na nimekula matunda yake sana!, it is the best business, with lowest risk kabisaa kama ume ielewa kikamilifu (yaani una risk hela kidogo sana, like 1% ya capital yako per trade, and with proper risk to reward ratio and a simple strategy utavuna pesa), unatakiwa atleast two to three years ya kujifunza kikamilifu., sio kitu ya miezi miwili mitatu, pengine kama unajifunza kila siku, asubuhi hadi jioni kwa hiyo miezi mitatu na uwe na bidii unaweza kufaulu, ila sio rahisi hivyo, but ni possible, kuna watu wepesi kushika mambo na wenye bidii.Way back 2017 ONTARIO alitu-introduce kwenye forex akutupa 1 week Training + signal mpaka uwe mbabe tukajua pesa hizi hapa kumbe ujinga tu. By the way inahitaji mtaji mnene na knowledge mlima Ili utoboe kwenye hii business otherwise ni kudanganyana tu.
Mimi hapa niko na positive experience na hii biashara ya forex.,Utapeli ni nini ?
Is it a guaranteed income ? Jibu ni hapana...
Is it Risky ? Very....
Ni jamba la kumshauri mtu afanye ? Hapana.....
In short no one can predict the markets kuna variable nyingi sana sasa jiulize za ups and downs, uwezekano wa kuchoma mtaji wote n.k. kama its worth it wewe endelea ila kama sio kuna mambo mengi concrete ambayo guarantee ya positive outcomes ni kwenye range ya 90 % Yaani income stream is safe...