TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Waambie wauza bandari zetu!!!
bandari haijauzwa na wala haito uzwa.
ila uwekezaji kwenye Bandari yetu ni jambo la muhimu kwa vizazi vyetu.
wacha Serikali iendelee na mchakato wa uwekezaji ili uchumi wa nchi yetu ukuwe.

tuache porojo.
 
Vifo vya wanaCCM bhana, vya ajabu ajabu tu.

Anyway, apumzike kwa Amani.
 
Kwa kua hatukumsikia akipinga basi tuna assume aliukubali hivyo wacha aende tu na wote waliohusika kupitisha ule ushenzi wamfuate ASAP
 
Pole kwa Wafiwa
Wewe ni miongoni mwa Wana chadema wachache Sana wasioweza hata kujaa kwenye kiganja wanaojitambua na wenye utu na ubinadamu na wanaotambua kuwa masuala ya kifo hayana chama na hayahitaji uchama.

Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na fadhila akubaliki kwa moyo wako wa uungwana na upendo,moyo wa utanzania,moyo wenye hofu ya Mwenyezi Mungu,moyo wa kujuwa Duniani tu wapitaji,moyo wa kujuwa masuala ya vifo humkumba yeyote na hutua popote bila Hodi na moyo wa kujuwa Mwenyezi MUNGU humchukua yeyote kwa wakati atakao bila kujali chama chake.

Hongera Sana kwa moyo wako huo,Endelea hivyo kuujaza moyo wako upendo,utu, uungwana, ubinadamu,hofu ya Mwenyezi Mungu,utanzania na huruma.

Achana na wanaoshangilia kwa kuwa tu hakuwa wa chama chao,.
 
Wandugu jimbo la Mbarali limebakiwa na pengo baada ya Mbunge wa Mbarali mheshimiwa tajwa hapo juu kuaga dunia baada ya kugongwa na pawatila akiwa kwenye pikipiki maeneo ya shambani!

"Ajali haina kinga"
Huyo aloyesababisha hiyo ajali atakuwa bado anatimua mbiyo maana njagu wetu huwa hawaangalii nani mwenye kosa
 
Unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa maana kawatakia dua njema majizi ya kura?
 
Wapinzani wangeungana wakaweka mgombea 1 jimbo la Mbarali.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…