TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Waambie wauza bandari zetu!!!
bandari haijauzwa na wala haito uzwa.
ila uwekezaji kwenye Bandari yetu ni jambo la muhimu kwa vizazi vyetu.
wacha Serikali iendelee na mchakato wa uwekezaji ili uchumi wa nchi yetu ukuwe.

tuache porojo.
 
Kwa kua hatukumsikia akipinga basi tuna assume aliukubali hivyo wacha aende tu na wote waliohusika kupitisha ule ushenzi wamfuate ASAP
View attachment 2675221Nafuatilia breaking story hii ya kifo cha huyo jamaa hapo [emoji1489], naona watanzania wamechafukwa huko mitandaoni aseee!.

Yaani wanashangilia sana kifo cha huyu mbunge kisa ni mwanaccm, wakihusisha na issue ya bandari.


NO, tuwe na subra kidogo ndg watanganyika!.
 
Pole kwa Wafiwa
Wewe ni miongoni mwa Wana chadema wachache Sana wasioweza hata kujaa kwenye kiganja wanaojitambua na wenye utu na ubinadamu na wanaotambua kuwa masuala ya kifo hayana chama na hayahitaji uchama.

Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na fadhila akubaliki kwa moyo wako wa uungwana na upendo,moyo wa utanzania,moyo wenye hofu ya Mwenyezi Mungu,moyo wa kujuwa Duniani tu wapitaji,moyo wa kujuwa masuala ya vifo humkumba yeyote na hutua popote bila Hodi na moyo wa kujuwa Mwenyezi MUNGU humchukua yeyote kwa wakati atakao bila kujali chama chake.

Hongera Sana kwa moyo wako huo,Endelea hivyo kuujaza moyo wako upendo,utu, uungwana, ubinadamu,hofu ya Mwenyezi Mungu,utanzania na huruma.

Achana na wanaoshangilia kwa kuwa tu hakuwa wa chama chao,.
 
Wandugu jimbo la Mbarali limebakiwa na pengo baada ya Mbunge wa Mbarali mheshimiwa tajwa hapo juu kuaga dunia baada ya kugongwa na pawatila akiwa kwenye pikipiki maeneo ya shambani!

"Ajali haina kinga"
Huyo aloyesababisha hiyo ajali atakuwa bado anatimua mbiyo maana njagu wetu huwa hawaangalii nani mwenye kosa
 
Wewe ni miongoni mwa Wana chadema wachache Sana wasioweza hata kujaa kwenye kiganja wanaojitambua na wenye utu na ubinadamu na wanaotambua kuwa masuala ya kifo hayana chama na hayahitaji uchama.

Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na fadhila akubaliki kwa moyo wako wa uungwana na upendo,moyo wa utanzania,moyo wenye hofu ya Mwenyezi Mungu,moyo wa kujuwa Duniani tu wapitaji,moyo wa kujuwa masula ya vifo humkumba yeeyote na hutua popote bila Jodi na moyo wa kujuwa Mwenyezi MUNGU humchukua yeyote bila kujali chama chake.

Hongera Sana kwa moyo wako huo,Endelea hivyo kuujaza moyo wako upendo,utu, uungwana, ubinadamu,hofu ya Mwenyezi Mungu,utanzania na huruma.

Achana na wanaoshangilia kwa kuwa tu hakuwa wa chama chao,.
Unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa maana kawatakia dua njema majizi ya kura?
 
Mbunge aliyekua akihudumu Kama mbunge wa kuchaguliwa kutoka Jimbo la Mbarali, ndugu Faransis Mtega amefariki Dunia Leo mchana Kwa ajali ya pikipiki iliyotokea asubuhi. Ndugu mtega alichaguliwa kuwa mbunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alipokea kijiti toka Kwa Haroon pilimohamed. Ndugu mtega alizariwa 01/ 06/ 1959. Taarifa zaidi zitakujia kupitia hapa kwenye Uzi huu.

Mheshimiwa mtega amepata ajali akiwa na pikipiki yake aina ya TVS dhidi ya pwatila aina ya Siam Kubota. Mwili wa marehem umehamishwa toka hospital ya chimala na kupelekwa hospital ya wilaya kwaajili ya kuhifadhiwa.

Roho yake ipumzike mahala pema peponi.

View attachment 2675277
Wapinzani wangeungana wakaweka mgombea 1 jimbo la Mbarali.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom