Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Underline
Wakimweka wa bara itaonekana wamemuondoa coz ni mzenji, wakimweka mkristo watasema wamemuondoa coz ni muislamu!Sasa atakaeingia anapaswa awe mwanamme muislamu mzanzibari !!!kuna jina teuliwa naliona limeandaliwa tena aliwahi tumika kama Waziri kiongozi wa smz na Waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa ulinzi aliepokewa na Mwinyi junior!!!kiswahili ni JUA tafsiri ya jina lake kiarabu!! mtumishi humble,calm, visionary,patriotic na intelligent!!!nimemuona tayari anakuja na ni mkali kama jpm!!!huyo Ndio FDR WETU!!!?
 
Unataka kusema Nahodha …sema huyu bila figisu angeshinda ule uchaguzi kamati kuu…hata hili la ubunge sio bahati mbaya acha tuone
 
Tunataka Rais Bora Zaidi huyu wa sasa hivi tumepigwa.kama kweli mnaijali hii nchi mtupatie Rais mwingine.
 
Hivi nyie Wazee wa huko humuoni mambo yalivyoparaganyika? Kumbukeni basi hata ndugu zenu mliowaacha Kijijini maana bei ya bidhaa haishikiki. Ambao hawajakulia kwenye mboga Saba wanajua naongea nn.
 
Hivi nyie Wazee wa huko humuoni mambo yalivyoparaganyika? Kumbukeni basi hata ndugu zenu mliowaacha Kijijini maana bei ya bidhaa haishikiki. Ambao hawajakulia kwenye mboga Saba wanajua naongea nn.
Tumia akili naona ule wakati wa kumweka kando unachelewa mno, katangaza kupanda bei ya mafuta dunia akinasibisha na vita ya Ukraine v/s Urusi lkn hasemi yeye na serikali yake wanachukua hatua zipi kupunguza makali ya mfumo wa bei.
 

Attachments

  • 1648526105471.mp4
    908.6 KB
Ninatamani jamaa arudi kutuelezea je kuwa mzalendo nchi hii ni kosa?

Maana kama kweli walimwondoa wakaacha waliowaacha kutufanyia wanayotufanyia mtumia akili nyingi kweli akili zake zimezidi na kuzidi mpaka amechanganyikiwa na hao wenzake walioamua kufanya walichokifanya...I know and I know giza likitandaa zaidi asubuhi inakuwa imekaribia...My Aba father, unanini nami? Muda wangu bado!
 
Shukurani mkuu kwa taarifa yako fikirishi,
Vipi makamu wa Rais atakuwa Vuai Nahodha au? Je waziri mkuu atakuwa huyu huyu Mzalendo KMk au tutarajie mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…