Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Fanyeni chapchap WAHUNI wamemaliza kupanga safu yao leo huku.
 
Namba zinagoma labda Kuna mwengine au hiyo namba 12 imeandikwa kimafumbo..
Alikwambia angalia digits za mwisho. 1933 digit ya mwisho ni 3.

So, anachokisema ni 2023-2025 (2 years). Hii timeframe haitoshi kuwa awamu. As such, huyu anaruhusiwa na Katiba kugombea na kuongoza kwa mihula miwili ya 5 years each: 2025-2035

Kwa lugha rahisi huyu ndugu anajenga hoja kwamba Hangaya ataachia by end of 2022 (kifo, kuondolewa, anything) na makamu wake atachukua Nchi hiyo 2023🙂

Katiba yetu kimsingi imempa unafuu sana Makamu kutwaa Nchi kiuraini
 

Mungu zuia hili lisitokeee,sijawahi kumuelewa Philip Mpango.
 
Badoo siamini kama Mpango atachukua kiti!!!nadhani ataondoka na Mama!!
 
Kama kweli unavyosema mlimuondoa Magufuli alafu ili hawa waje aisee mmezingua Sana kama mnataka kusaidia hii nchi aisee fanyeni kitu.
 
Kuna Uzi wangu niliandika Pengine kuna Kaharufu kamapinduzi ukatolewa...

Nadhani mliofatilia siku Samia anapokea report ya CAG mtakuwa mliona namna Samia alivokuwa desperate kibaya zaidi vyombo vya dola havishiriki karamu zake, na alionesha kushukuru waliohudhuria na kuwa na uso wa kusikitika kwa wasiokuwepo.

Nadhani sasa ni muda wa mabadiliko Tanzania, na hawa wakuu wanchi wamepata funzo namna nchi inaweza kupata viongozi wabovu
 
Acha tujipe muda....

Hizi jumbe sio za kupuuza,,
 
Ni mjinga tuu ndio atatekeleza maagizo ya kufurahisha genge la wahuni fulani.
 
Wewe ni mjinga hujui chochote.Unaweza nipa sababu kuu moja ya kuchukua mkopo wa covid? Na usivyoelewa unadhani Serikali ilichukua mkopo kwa sababu ya kujenga madarasa and other amenities?

Wengine nyie ni kuwaacha tuu na kuwahurumia ndio uwezo wenu ulipoishia ila fuatilia hali ya Sri Lanka ndio utanielewa.
 
She's destined kuzingua, and they knew it kabla hajafika hapo. Alivyoanza alijaribu kuwa_prove wrong, lakini inaonekana zilikuwa ni mbio za sakafuni.

I guess she knows that too... that she won't be there for a long time.
So alivyojua kwamba kuna watu wamepanga hayo basi amebweteka au?
 
Wameharibuje? weka ulinganifu
 
Bwawa la nyerere Bora lisiishe Mana sukuma gang watakwambia jpm hoyee. Mama mamiradi yote ya jpm achana nayo Mana ukimaliza tu sifa zote ni kwa jpm siyo wewe. Angalia pale salenda sukuma wanampongeza jpm badala yako
Marehemu hatakuwepo kwenye uzinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…