Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Mimi sijui mengi ila nimegundua kuna watu hawana akili za kung'amua mambo. Hivi ule ujasiri wa kuja public na kushangilia kama panya walioachiwa kutoka shimoni waliutoa wapi? Hata tu kwa unafiki hawakudhani ile ni provocation kwenye public?

Kisha baada ya kuharibu wamenywea ghafla, you can easily read them.

Ningeshangaa sana kama haya yangeachwa yalivyo...Hata hivyo precedence iliyotengenezwa Mungu mwenyewe atusaidie, its terrific!
 
Kwa maana hiyo hapo juu hii awamu ya rais Samia Suluhu Hassan ni awamu ya tano au ya sita?
 
Nadhani Magamba matatu aliandika ajaye ni muislamu!! Ngoja Tuone!
 
Mnatarajia hawa mawaziri kama waziri wa nishati wa Sasa hivi kutupeleka huko?yaani mawaziri wazuri waliondolewa wamekuja mawaziri jamii ile ya kuendeleza maslaji Yao inabidi mfanye mabadiliko.Alafu iweje muone Rais Magufuli kuwa mharibu nchi kuliko kina kikwete? Ni kweli Magufuli anamapungufu Yake ila naona he was more visionary kuliko baadhi ya watangulizi wenzake .Mna deni Kwa Watanzania ya kutuletea visionary leader mwingine huyu suluhu hajafikia hata nusu ya Magufuli.
 
Ina Maana mkuu Tumiaakili huyo roosevelt wa huku kwetu nae atafia madarakani kama wa huko??au sijaelewa kuwa nae hatostaafu na kuendelea na Maisha??sawa tunakubali kuwa "ilitokea Marekani na itatokea na huku kwetu"!!
 
Al
Aliekuambia ni Makamba nani ndugu??we SUBIRI tu !!unafikiri dola Huwa wanakurupuka?
 
Bwawa la Nyerere linamaliziwa na sasa wameshaachia maji yaingie kwenye turbines, usikariri habari mkuu KIjakazi.
 
Sisi huku tunaomba Samia aongozi hata miaka 100. Tumpate wapi rais Kama mama!!
 
Bwawa la nyerere Bora lisiishe Mana sukuma gang watakwambia jpm hoyee. Mama mamiradi yote ya jpm achana nayo Mana ukimaliza tu sifa zote ni kwa jpm siyo wewe. Angalia pale salenda sukuma wanampongeza jpm badala yako
 

sio kwa katiba hii wakati ule kulikuwa hakuna kikomo kwa Raisi. Katiba ya Tanzania iko wazi kwenye hili la mihula sasa sijui drama za nini?? !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…