Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Bwawa la nyerere Bora lisiishe Mana sukuma gang watakwambia jpm hoyee. Mama mamiradi yote ya jpm achana nayo Mana ukimaliza tu sifa zote ni kwa jpm siyo wewe. Angalia pale salenda sukuma wanampongeza jpm badala yako
Hizi miradi ni kwaajili ya nchi sio Magufuli.kwa hiyo condition mojawapo ni lazima liishe na ni lazima iishe.na ndiyo Magufuli ndiyo aliyethubutu kuanza kuzitekeleza Kwa hiyo hata mfanyaje lazima asifiwe.
 
Sisi huku tunaomba Samia aongozi hata miaka 100. Tumpate wapi rais Kama mama!!
Samia kashafeli kwenye baadhi ya Mambo mfamo kumfungia Mbowe na bado hajaaza utelezaji wa katiba mpya.Na pia tunahitaji visionary leader angalia mama kawaweka mawaziri wa Aina gani kaacha mawaziri wazuri.
 
Hizi naziona ni kama vile ramli za wale jamaa wa JPM, tukumbuke Mabeyo alimhakikishia SSH ulinzi kipindi chote cha urais wake.
 
Ndugai msipandishe sana chati, ni wale wale wa kundi la ukanda wa RIP Magufuli, aliropoka maneno ambayo ni ya kuongea Bar ukiwa na marafiki zako.
 
Ndugai msipandishe sana chati, ni wale wale wa kundi la ukanda wa RIP Magufuli, aliropoka maneno ambayo ni ya kuongea Bar ukiwa na marafiki zako.
Sasa MTU kusema tusikopekope ovyo kakosea?kama jamaa alivyosema hapo mama ni Wa Muda tu.alafu huwa jamaa akisema amesema.
 
Sasa MTU kusema tusikopekope ovyo kakosea?kama jamaa alivyosema hapo mama ni Wa Muda tu.alafu huwa jamaa akisema amesema.
Jamaa ni Mungu au?. Kukopa JPM alikuwa akikopa kwa siri, hadharani anawakandia wazungu lakini akishuka anamfuata Dotto na kumwagiza akaonane na hao hao wazungu aliokuwa akiwatukana mbele ya hadhara.
 
Jamaa ni Mungu au?. Kukopa JPM alikuwa akikopa kwa siri, hadharani anawakandia wazungu lakini akishuka anamfuata Dotto na kumwagiza akaonane na hao hao wazungu aliokuwa akiwatukana mbele ya hadhara.
Ndo maana mama kaambiwa asikopekope ovyo
 
Ndugai msipandishe sana chati, ni wale wale wa kundi la ukanda wa RIP Magufuli, aliropoka maneno ambayo ni ya kuongea Bar ukiwa na marafiki zako.
Induga hakusema kama mlevi.

After Induga's speech there is a [emoji22][emoji22] story
 
"Roosevelt declining physical health was kept a secret in public''Before he died saying !am feeling a terrific headache!and leaning his head forward on his chair! And died!!!nimesikitishwa Sana hapo!!secret for sure secret!!
 
Reactions: Ame
Hizi naziona ni kama vile ramli za wale jamaa wa JPM, tukumbuke Mabeyo alimhakikishia SSH ulinzi kipindi chote cha urais wake.
Ulinzi wa samia haupo kwa mabeyo pekee ni mfumo nzima wa nchi!!mfumo ukikosea una kutema tu hata kama ni kipenzi wananchi!!si mmeona edo japo alikubalika Sana lakini alikosa vyote?
 
FDR hakufunga viongozi wa chama cha Republican na aliruhusu hata mipango ,taasisi na sheria zake kupingwa mahakamani bila shida.
 
Ulinzi wa samia haupo kwa mabeyo pekee ni mfumo nzima wa nchi!!mfumo ukikosea una kutema tu hata kama ni kipenzi wananchi!!si mmeona edo japo alikubalika Sana lakini alikosa vyote?
Edo aliutaka urais wa 2015 kabla ya ule wa 2005, ilijulikana na alishajipanga miaka mingi.

Kama JPM asingefariki Tanzania isingekuwa na rais mwanamke, SSH kaingia kikatiba bila ya kutegemea wala kutegemewa.
 
Induga hakusema kama mlevi.

After Induga's speech there is a [emoji22][emoji22] story
JPM ndiye rais aliyekopa kuliko wote tangu 1961 na Ndugai akiwa spika alikaa kimya, aliufyata kama haoni kilichokuwa kikiendelea.

Leo analeta dharau kwa sababu anamuona rais ni mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…