Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

Country first,urafiki baadae,na ndiyo uzalendo wenyewe
Kikwete anastahili pongezi kwa kuwa na uwezo wa mpaka kukata jina la rafiki yake kwa maslahi mapana ya nchi.
[emoji1][emoji1]pole Mzee. Ukweli ni kuwa hakuna uzalendo hapa ila ilikuwa njia ya kujiponyesha. Neema ya Mungu, Mzee Magu akaewatia moto mpaka mkaamua kumdanjisha.
 
 
Maadui kiasili ni marafiki waliotofautiana safarini!
 
Country first,urafiki baadae,na ndiyo uzalendo wenyewe
Kikwete anastahili pongezi kwa kuwa na uwezo wa mpaka kukata jina la rafiki yake kwa maslahi mapana ya nchi.
Kipo wapi sasa? Nchi hii hakuna kiongozi mwenye kulitamka hilo neno toka moyoni .
Country first is not for Africa. Roho mbaya na unafiki mkubwa wa siasa za kichawi ndiyo msingi mkuu wa maisha yao.
 
Kwahiyo mbaya wa Lowasa ni nani
(a) magufuli aliyempora ushindi kama inavyodaiwa na kumsweka gerezani mkwe wake, Mume wa Pamela lowassa.
(b) Jk ambaye wanadai alichagiza jina lake lisipelekwe NEC
(C) sitta na mwakyembe waliomwandama bungeni ajiuzuru.

Huyu ana uspesho gani.
Mbona Pinda na malecela walikatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…