Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

Soma title ya thread na message ya Fred
Nimeelezea kiundani makosa ya aliyekuwa Best friend wa marehemu naomba uniquote na unirekebishe ni hilo tu ndugu yangu. Pia nimeelezea makosa yake yalivyopelekea nchi kuwa katika hali iliyopo sasa.
 
Adui namba moja wa Lowasa ni Hayati Mwenzake, Mkapa ;(Rejea kauli ya Mwandosya aliwahi kusema"Ilifika hatua Mwenyekiti wa chama alikosa maamuzi(ambaye ni Msoga japo hakumtaja jina) ikibidi wamfanyie maamuzi nani apitishwe kwa hiyo Msoga hakuwa na kosa "
Na Msoga ipo siku atajibu siku akizindua kitabu cha maisha yake
 
Labda mzee wa smiling killer alijua afya ya rafikiye isingeweza kubeba majukumu ya kitaifa kama tunavyoona yule aangukae kwenye ngazi kule kwa kiranja mkuu.
 
Mm nimejifunza jambo moja kubwa toka kwa Lowasa. Lowasa alikuwa mwaminifu hata kwa mkewe, hakuwahi kuwa na kashfa ya kuwa na michepuko.
AISEE,
Pamoja na kuwa na utajiri mkubwa namna hiyo!!!
maana wanasema , 'tajirika tujue tabia yako'
 
mimi Paschal namuamini ni rafiki yangu na angekaa nae mpaka mwisho na ndio jambo limemjengea heshma na upendo kwa watu wengi sana kwasababu yeye hakuwahi kumsaliti rafiki yake hata mmoja katika historia yake ya uongozi yote, ni mtu ambae amewafia rafiki wote mwanzo mpaka mwisho.

Hilo ni jambo kubwa na la kipekee sana ambalo kwakweli kwa wanasiasa ni wachache sana wenye kipawa hicho. Amewafia watu wake wote vizuri sana, nadhani hilo jambo mimi nimejifunza, namshukuru Mungu sana.
Message sent
 
Kwahiyo mbaya wa Lowasa ni nani
(a) magufuli aliyempora ushindi kama inavyodaiwa na kumsweka gerezani mkwe wake, Mume wa Pamela lowassa.
(b) Jk ambaye wanadai alichagiza jina lake lisipelekwe NEC
(C) sitta na mwakyembe waliomwandama bungeni ajiuzuru.

Huyu ana uspesho gani.
Mbona Pinda na malecela walikatwa?
We ni mjinga pimbi wew hujui chochote wakati ENL anagombea Rais Nani ? Kuku wa maziwa wewe!!
 
Vipi kuhusu ufisadi ...kwako fred
Tatizo akili huna, na hata ukiwa nazo hazitakusaidia, anaposema "amewafia watu kwenye siasa" ulipaswa uelewe na unyamaze, tatizo lako kichwa chako kimegeuka kama mfuko wa kubebea tu meno
 
Tatizo akili huna, na hata ukiwa nazo hazitakusaidia, anaposema "amewafia watu kwenye siasa" ulipaswa uelewe na unyamaze, tatizo lako kichwa chako kimegeuka kama mfuko wa kubebea tu meno
Tumekupata fred kwa hiyo bila siasa asingekufa
 
Hii Sentensi ya Marehemu hasemwi vibaya nadhani ingeishia kwenye Marehemu Hasemwi..., sababu akishasemwa / akianza kusemwa kuna watu wanaweza kutaka kuweka mambo sawa hivyo na mabaya yake yakasemwa...

By the way Maombolezo yamekwisha ili tuanze kuulizana huu ugumu wa Maisha na Mgao wa Giza.....
 
Watu wote wanaosema kikwete ni mnafiki hawasemi ktk angle ipi[emoji38]

Kifupi wameamua tu kutufurahisha
 
Back
Top Bottom