Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

Soma title ya thread na message ya Fred
Nimeelezea kiundani makosa ya aliyekuwa Best friend wa marehemu naomba uniquote na unirekebishe ni hilo tu ndugu yangu. Pia nimeelezea makosa yake yalivyopelekea nchi kuwa katika hali iliyopo sasa.
 
Adui namba moja wa Lowasa ni Hayati Mwenzake, Mkapa ;(Rejea kauli ya Mwandosya aliwahi kusema"Ilifika hatua Mwenyekiti wa chama alikosa maamuzi(ambaye ni Msoga japo hakumtaja jina) ikibidi wamfanyie maamuzi nani apitishwe kwa hiyo Msoga hakuwa na kosa "
Na Msoga ipo siku atajibu siku akizindua kitabu cha maisha yake
 
Labda mzee wa smiling killer alijua afya ya rafikiye isingeweza kubeba majukumu ya kitaifa kama tunavyoona yule aangukae kwenye ngazi kule kwa kiranja mkuu.
 
Mm nimejifunza jambo moja kubwa toka kwa Lowasa. Lowasa alikuwa mwaminifu hata kwa mkewe, hakuwahi kuwa na kashfa ya kuwa na michepuko.
AISEE,
Pamoja na kuwa na utajiri mkubwa namna hiyo!!!
maana wanasema , 'tajirika tujue tabia yako'
 
Message sent
 
We ni mjinga pimbi wew hujui chochote wakati ENL anagombea Rais Nani ? Kuku wa maziwa wewe!!
 
Vipi kuhusu ufisadi ...kwako fred
Tatizo akili huna, na hata ukiwa nazo hazitakusaidia, anaposema "amewafia watu kwenye siasa" ulipaswa uelewe na unyamaze, tatizo lako kichwa chako kimegeuka kama mfuko wa kubebea tu meno
 
Tatizo akili huna, na hata ukiwa nazo hazitakusaidia, anaposema "amewafia watu kwenye siasa" ulipaswa uelewe na unyamaze, tatizo lako kichwa chako kimegeuka kama mfuko wa kubebea tu meno
Tumekupata fred kwa hiyo bila siasa asingekufa
 
Hii Sentensi ya Marehemu hasemwi vibaya nadhani ingeishia kwenye Marehemu Hasemwi..., sababu akishasemwa / akianza kusemwa kuna watu wanaweza kutaka kuweka mambo sawa hivyo na mabaya yake yakasemwa...

By the way Maombolezo yamekwisha ili tuanze kuulizana huu ugumu wa Maisha na Mgao wa Giza.....
 
Watu wote wanaosema kikwete ni mnafiki hawasemi ktk angle ipi[emoji38]

Kifupi wameamua tu kutufurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…