Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

Ushauri wangu pekee kama GENTAMYCINE Kwake ni kwamba awe makini sana na Usalama wa Maisha yake ili yale yaliyomkuta Marehemu Deo Filikunjombe yasije Kumkuta na Yeye. Tafadhali auzingatie sana huu Ushauri wangu kwani Maono yangu 99% hutimia.

Ameanza Kutengeneza Maadui kuliko vile ambavyo Yeye anajua na hakuna sehsmu ambako kuna Wanafiki na Mafia wengi kama huko aliko UVCCM na Mafia Wakubwa wawili ni miongoni mwa waliompitisha. Kapewa Cheo kwa Kumtega ili aharibu na wamchafue vizuri au hata wamuondoe mazima.
 
Kwa Kweli Umaarufu Huja kwa Njia tofauti...Huyu Kijana angeiga Mfano wa Bakhresa ambae pamoja na ubilionea wake anajificha sana.
Huyo ameamua kutafuta kichaka cha dola ili Mambo yake yasonge bila bughuza
 
Hapa wanataka kupiga pesa toka kwake

Magufuli aliitoa ccm ya Kikwete toka kuwa tegemezi kwa wafanyabiashara mpaka kuwa inajitegemea kwa kuvirudisha vitega uchumi vya chama kutoka kwa watu Binafsi!! Sasa hivi inaelekea ule ulege lege wa Kikwete wa kuwa omba omba kwa wafanyabiashara unarudia tena na hivyo mambo ya ufisadi yatashamiri upya tena!!!
 

Smart ?????????

Definitions yako ya Mtu smart ni ipi ?
 
Smart ?????????

Definitions yako ya Mtu smart ni ipi ?
Dude una matatizo? Em jifananishe wewe na yeye nani ana mafanikio? FYI kuwa na akili nyingi sio kupata ma-A na maGPA makubwa! Ila kaangalie video za Jack Ma pengine utanielewa!! Ila nipe definition yako pengine ina mantiki, mana mm sina definition naangalia mtu matendo yake then najudge mana I have been around geniuses but there were dumb as https://jamii.app/JFUserGuide!!( anatusua shule lkn hana mafanikio yoyote kikubwa anasubiri ajira)
 
chama kinarudi kwa wafanyabiashara waanze kufadhili kila kitu hadi campain,kisha tutegemee TRA wawafate kuwadai kodi? au wao kwa hiari yao ndo watakua wanajipangia kiasi cha kodi wanachostahili kulipa
 
Matagaaaaaaaaa... Haya maumivu hayaaa mnayamuduuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
chama kinarudi kwa wafanyabiashara waanze kufadhili kila kitu hadi campain,kisha tutegemee TRA wawafate kuwadai kodi? au wao kwa hiari yao ndo watakua wanajipangia kiasi cha kodi wanachostahili kulipa
Sidhani kama ni dhambi kuwa na watu wenye uwezo wa fedha katika nyadhifa kubwa. Shida tuliyonayo ni kutokuwa na strong institutions na sera imara ( policies) zinazo lindwa na sheria na katiba. USA mathalani, ni nadra kuongoza nchi au kupata nafasi za uongozi kama u- maskini lkn nchi inasonga kwakua wana strong institutins na policies zao ziko guided na strong laws na by laws.
 
Naona anguko la huyu jamaa
 
Siasa za kufikiria uchumi aka kupiga tu badala ya utumishi ndio maana tunapiga marktime. Hatupati watu sahihi ila opportunists wa kupitia kwenye siasa ili wapige ni upotolo kabisa. Nilitegemea mteuliwa aisfiwe kutokana na sifa za kiongozi badala za kiupigaji au ki opportunists
 
Uko sahihi asilimia zote
 
🤣🤣
 
chama kinarudi kwa wafanyabiashara waanze kufadhili kila kitu hadi campain,kisha tutegemee TRA wawafate kuwadai kodi? au wao kwa hiari yao ndo watakua wanajipangia kiasi cha kodi wanachostahili kulipa
Uko sahihi tunarudi nyuma tulikotoka kwenye chama cha kina lowasa na JK kinana huko
 
Kwenye Smart ndio umeniacha, kuuza nguo katika fursa zote izi Tanzania ndio kuwa smart? You must be kidding me brother.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
siasa za wazungu ni tofauti na siasa za africa,kwa africa mtu kama huyo anakua anatafta namna bora ya kufanya mambo yake kwa uhuru bila bugudha za serikali kwa sababu kokote duniani hakuna mtu anapenda kulipa kodi bila shuruti.Tumekua tukishuhudia kesi nyingi huko ulaya za wachezaji wakikabiliwa na mashitaka ya kukwepa kodi ni ushahidi tosha kwamba hakuna mtu anapenda kulipa kodi bila shuruti,hivyo basi kwa siasa anazozirudisha mama tutegemee kurudi tulikokua kabla ya mwaka 2015 kurudi nyuma
 
Ndio maana nimesema shida yetu hatuna strong institutions na strong policies. Botswana ni moja ya nchi ya Africa ambayo institutions zake ziko strong. Mapungufu haya huwezi kuyaona
 
Get your coins right, anza na Truman aliingia maskini na he was fairly poor. Johnson, Lincoln na hata Garfield.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…