citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
RIP"Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike"
"Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, niseme ukweli kutoka moyoni, kama isingekuwa mama Samia Suluhu Hassan baba yetu asingefika hata hiyo juzi, mama Samia amekuwa ni ndugu, amekuwa mzazi na mlezi wetu hatuna cha kumlipa" - Fredrick Edwad Lowassa, Mtoto wa Hayati Lowassa
Basi mungu anaua mapema wachamungu wa africa na kuwarehemu mashoga telviv.Mungu ndiye anajua utakufa saa ngapi sio huduma nzuri wala ulokole wala daktari.
kaka dini pia wanasikiliza mitume na manabii.Dini ni ujinga ulioharibu kabisa bongo zetu. Ina maana wewe mtoto wako akiumwa humpeleki hospitali unamuachia Mungu? Haya mambo ya tiba tunajihangaikia binadamu mpaka mwisho Mungu hana nafasi hapo huo ni ujinga wa kidini. Mwache amshukuru raisi.
Sheria ya hivi hivi ipo iliyotaka tundu lisu atibiwe lakini mwendazake alizuia .navomjua magu kama lowasa asingekuwa karudi ccm basi asingetibiwa.sheria inamtaka waziri mkuu apewe bodiguard mbona sumaye alinyanganywa ? Tukubali kwa hii katiba ya kishoga rais utashi wake tu ndo unaamua .ndo maana kampongeza. Ona tibaijuka kasema kabisq hata ukishinda hutangazwiHakuna anayebishana na mtoto wa marehemu kwa sababu stahiki za viongozi wakuu ziko wazi na zimeainishwa katika sheria ya " Political Service Retirement Benefits Act ya mwaka 2015 ( Cap.225. R.E.2015) ambayo inasema mtu aliyewahi
Anaerefusha siku ni Mungu ? Na aliyetoa pesa ya serikali ya kumtibia akiwa South Afrika toka Desemba 2022 hajarefusha maisha ?Pumbavu fred,anqyerefusha siku ni mungu
Unajua gharama za hospital nje ya nchi bila Bima ndugu yangu!Lowassa ni Bilionea, mtoto anazuga.
hawajui labda gharama za hospitali nje ya nchi ukiwa huna bima... lakini hata kama angekuwa na ma bilioni ya kumudu gharama, hivi ni nani huwa anatoa hela mfukoni kama serikali inampa hicho kitu bure ?Unajua gharama za hospital nje ya nchi bila Bima ndugu yangu!
Yaani ubaya wa pesa ni kwamba hazitokuacha upumzike na kufurahia maisha ,Sasa umeanza kumwabudu mtu badala ya kumshukuru mungu.
Unautafutia uwaziri?
Tumeshakuwa brainwashed kuwa hivyo !!Mimi siamini kama hayo madai ni kweli!
Tumeshajengeka kumshukuru rais kwa lolote tu liwe jema au baya. Mimi sjui rais Samia aliwezaje kuongeza siku za Edward Lowassa; kwa mchango wa fedha, kwa kutoa faraja au kwa ushauri wa kitabibu?!
Wakati flani niliona kwenye TV manusura wa ajali wakimshukuru rais kwa kunusurika! Tafadhali watanzania tuwe na akili zetu.
Kila muda unaiwaza CHADEMA. Una shida gan mzee?Chadema watakuja kumponda huyo mtoto...na kutukana...wao walitaka kusikia lawama zinaenda Ccm na ikiwezekana Kwa Rais Samia
Inaudhi, mtu anafiwa na baba yake anamshukuru Samia!! CCM…ChaDema wana wivu sana mtu akisifia au akisifia kwao wanaumia roho. Wataanza kumkashifu anayesifia.
Babu yangu mkulima wat tumbaku huko bukene ana miaka 94,anaugua anapona,lowassa kaiba hella nyingi sana haitaji hela zenu kujitibiaAnaerefusha siku ni Mungu ? Na aliyetoa pesa ya serikali ya kumtibia akiwa South Afrika toka Desemba 2022 hajarefusha maisha ?
Majaliwa amtembelea Lowasa hospitalini Afrika Kusini
View attachment 2903465
Mama Regina, mke wa Lowassa ametoa pongezi kwa Serikali na Rais kwa namna ambavyo wamekuwa karibu na familia hiyo katika kumuuguza kiongozi huyo wa zamani
Amemuomba Majaliwa kufikisha shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu Hassan na kuomba Watanzania waendelee kumuombea Lowasa
MWANANCHI, Desemba 2022
Stressful life versus stress free life !!Babu yangu mkulima wat tumbaku huko bukene ana miaka 94,anaugua anapona,lowassa kaiba hella nyingi sana haitaji hela zenu kujitibia