Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

"Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike"

"Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, niseme ukweli kutoka moyoni, kama isingekuwa mama Samia Suluhu Hassan baba yetu asingefika hata hiyo juzi, mama Samia amekuwa ni ndugu, amekuwa mzazi na mlezi wetu hatuna cha kumlipa" - Fredrick Edwad Lowassa, Mtoto wa Hayati Lowassa
RIP
 
Dini ni ujinga ulioharibu kabisa bongo zetu. Ina maana wewe mtoto wako akiumwa humpeleki hospitali unamuachia Mungu? Haya mambo ya tiba tunajihangaikia binadamu mpaka mwisho Mungu hana nafasi hapo huo ni ujinga wa kidini. Mwache amshukuru raisi.
 
Ulaya kuna matibabu mazuri sio kwamba kuna Mungu mzuri. Ukipata matibabu mazuri unapona na kama ni kufa unakufa. Hapo hakuna cha Mungu dini zimeathiri sana akili zetu. Eti sio Samia ni Mungu. Basi na wewe ukiumwa baki nyumban Mungui akuponye.
 
Mungu ndiye anajua utakufa saa ngapi sio huduma nzuri wala ulokole wala daktari.
Basi mungu anaua mapema wachamungu wa africa na kuwarehemu mashoga telviv.
Maana ni ajabu kwenye biblia kuishi muda mrefu ni moja ya zawadi za kuwa
mcha mungu.kina abraham musa enock waliishi hadi miaka 400.baadae mungu alishusha tena kwa ahadi na agano na wachamungu kuwa umri wa miaka ya
mwanadamu ni 70 na akiwa na nguvu sana 80 na miji ya mashoga na wauzs unga na wauaji wanaonunua viungo kama telviv ukifa na miaka 60wanastaajabu .wakati walokole sugu hapa wanazikwa na miaka 35 mnasema mapenzi ya mungu.
Watu kama wajapan hawamjui hata huyo mungu wenu wanaamini sayansi wanaishi ule wastan wa mungu wenu mika 80
Ondoeni huo ujinga mungu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.inamaana ukikosa maarifa ya kupewa matibabu sahihi hata yeye kasema sio anaamua ufe lini yeye bali ukosekanaji maarifa unaamua uangamie yeye inamaana hahusiki.

Andiko lingine linasema mtu apandacho ndio avunacho kesha makanisani ujuavyo funga mwaka .kama huli chakula kwa nidhamu na mazoezi na kucheki afya ukipunguza matumizi ya vileo na sigara mungu wako kashakukana hapo hahusiki na uhai wako unaisha lini wala hapangi kama mnavojiaminisha ni kuwa utavuna na hatokusaidia.na ukitokea huna maarifa sio mimi kasema mwenyewe utaangamia kwa kadili ya kukosa kwako maarifa hapo aliwakana kuwa hapangi muda wa kufa 100 per.kuna asilimia unaamua ww ndo maana mateja wanakufa mapema sio kwa matakwa ya mungu bali kukosa maarifa

Jitahidi kusoma maandiko na uyaelewe wachungaji mitume na manabii watakuchelewesha hii dunia kumcha mungu kuna kuhakikishia mema kwa asilimia 35 tuu.65 kunaamuliwa na maamuzi yako bora kila siku .muombe mungu uzima lakini ukiwa unavuka barabara unahitaji kufata taratibu sio kusali au gari itakuua huku unanena kwa lugha.
 
Dini ni ujinga ulioharibu kabisa bongo zetu. Ina maana wewe mtoto wako akiumwa humpeleki hospitali unamuachia Mungu? Haya mambo ya tiba tunajihangaikia binadamu mpaka mwisho Mungu hana nafasi hapo huo ni ujinga wa kidini. Mwache amshukuru raisi.
kaka dini pia wanasikiliza mitume na manabii.
Mungu kwenye biblia kasema yeye mwenyewe kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Hao mitume hawataki wambia hata uwe mtu wake mungu vipi ukikosa maarifa hana la kukusaidia acha kujisumbua kufunga kashasema anajua wake kabisa wanaangamia kwa kukosa maarifa .

Kwenye biblia amesema nitabariki kazi ya mikono yako.hajasema ukitoa sadaka utawekewa mikono utakuwa tajiri .kasema nenda kafuate taratibu za kilimu kwa bwana shamba lima ekari 10 kwa maarifa ya soko utauxa wapi .kisha ndo atabariki matikiti yako wasiingie wachawi au badluck.sasa mitume hawasemi haya
Ili wale sadaka.
Imesema asiefanya kazi na asile.sasa ww unakesha kwenye maombi badala huo muda ukakeshe ukiwauzia walevi sambusa usiku na chipsi mayai.kisha kesho watoto wanakula wali maharage unafunga na kuomba .hata ungekuwa wewe mshauri wa mungu ungefanyaje ungepinga kauli ya kufanya asiefanya kazi ale ? Unataka mungu aonekane muongo ?
 
Hakuna anayebishana na mtoto wa marehemu kwa sababu stahiki za viongozi wakuu ziko wazi na zimeainishwa katika sheria ya " Political Service Retirement Benefits Act ya mwaka 2015 ( Cap.225. R.E.2015) ambayo inasema mtu aliyewahi
Sheria ya hivi hivi ipo iliyotaka tundu lisu atibiwe lakini mwendazake alizuia .navomjua magu kama lowasa asingekuwa karudi ccm basi asingetibiwa.sheria inamtaka waziri mkuu apewe bodiguard mbona sumaye alinyanganywa ? Tukubali kwa hii katiba ya kishoga rais utashi wake tu ndo unaamua .ndo maana kampongeza. Ona tibaijuka kasema kabisq hata ukishinda hutangazwi
IMG-20240211-WA0064.jpg
 
Pumbavu fred,anqyerefusha siku ni mungu
Anaerefusha siku ni Mungu ? Na aliyetoa pesa ya serikali ya kumtibia akiwa South Afrika toka Desemba 2022 hajarefusha maisha ?

Majaliwa amtembelea Lowasa hospitalini Afrika Kusini


lowasa 2.jpg


Mama Regina, mke wa Lowassa ametoa pongezi kwa Serikali na Rais kwa namna ambavyo wamekuwa karibu na familia hiyo katika kumuuguza kiongozi huyo wa zamani

Amemuomba Majaliwa kufikisha shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu Hassan na kuomba Watanzania waendelee kumuombea Lowasa

MWANANCHI, Desemba 2022
 
Mimi siamini kama hayo madai ni kweli!

Tumeshajengeka kumshukuru rais kwa lolote tu liwe jema au baya. Mimi sjui rais Samia aliwezaje kuongeza siku za Edward Lowassa; kwa mchango wa fedha, kwa kutoa faraja au kwa ushauri wa kitabibu?!

Wakati flani niliona kwenye TV manusura wa ajali wakimshukuru rais kwa kunusurika! Tafadhali watanzania tuwe na akili zetu.
 
Unajua gharama za hospital nje ya nchi bila Bima ndugu yangu!
hawajui labda gharama za hospitali nje ya nchi ukiwa huna bima... lakini hata kama angekuwa na ma bilioni ya kumudu gharama, hivi ni nani huwa anatoa hela mfukoni kama serikali inampa hicho kitu bure ?

tumewekewa hapo juu sheria ya mafao ya viongozi wastaafu. Anapewa wafanyakazi saba (dereva, msichana wa ndani, shamba boy, mpishi, msaidizi binafsi, dobi, bodyguard).

Wangeweza kusema apewe bodyguard na secretary, hao mashamba boy aajiri mwenyewe, angeshindwa ? Kwa mshahara wa 80% ya Waziri Mkuu wa sasa, na posho ya 50% ya mshahara wake wa zamani kila mwezi, angeshindwa kuajiri dada wa kazi ? Lakini wanapewa wafanyakazi wote saba wa bure bure, na wanapokea. Si kwamba hawamudu wenyewe.

Freddy kujifanya baba angekufa mapema bila msaada wa Rais ni, kwanza, uchawa, kujikomba, lakini pili ni kum humanize Lowasa, kumsafisha, kama vile ni mwenzetu wa kawaida. He didn't fool anybody though, nani hajui Edward Lowassa hakuwa Edward Sokoine?
 
Sasa umeanza kumwabudu mtu badala ya kumshukuru mungu.
Unautafutia uwaziri?
Yaani ubaya wa pesa ni kwamba hazitokuacha upumzike na kufurahia maisha ,
Bali kila siku mtu ataendelea kuzitafuta pesa kwa udi na uvumba mpaka mauti yafike !!
Pesa hazijawahi kutosha !! 🙏🙏
 
Mimi siamini kama hayo madai ni kweli!

Tumeshajengeka kumshukuru rais kwa lolote tu liwe jema au baya. Mimi sjui rais Samia aliwezaje kuongeza siku za Edward Lowassa; kwa mchango wa fedha, kwa kutoa faraja au kwa ushauri wa kitabibu?!

Wakati flani niliona kwenye TV manusura wa ajali wakimshukuru rais kwa kunusurika! Tafadhali watanzania tuwe na akili zetu.
Tumeshakuwa brainwashed kuwa hivyo !!
Yaani ni unafiki plus plus kwa kwenda mbele !
Na hii ndio sababu kuu ya Nchi kukosa viongozi waadilifu kwenye kada mbali mbali!
Matokeo yake watu wataendelea kusifiana hata pale panapostahili kukosoana !
Na akitokea mtu mwenye ujasiri wa kukosoa anaonekana ni mpinzani tena sio mwenzetu na wanamshangaa kama vile ametoka kwenye sayari ya mars !
 
Anaerefusha siku ni Mungu ? Na aliyetoa pesa ya serikali ya kumtibia akiwa South Afrika toka Desemba 2022 hajarefusha maisha ?

Majaliwa amtembelea Lowasa hospitalini Afrika Kusini


View attachment 2903465

Mama Regina, mke wa Lowassa ametoa pongezi kwa Serikali na Rais kwa namna ambavyo wamekuwa karibu na familia hiyo katika kumuuguza kiongozi huyo wa zamani

Amemuomba Majaliwa kufikisha shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu Hassan na kuomba Watanzania waendelee kumuombea Lowasa

MWANANCHI, Desemba 2022
Babu yangu mkulima wat tumbaku huko bukene ana miaka 94,anaugua anapona,lowassa kaiba hella nyingi sana haitaji hela zenu kujitibia
 
Babu yangu mkulima wat tumbaku huko bukene ana miaka 94,anaugua anapona,lowassa kaiba hella nyingi sana haitaji hela zenu kujitibia
Stressful life versus stress free life !!
Daktari mbobezi wa magonjwa ya binadamu alipata kuniambia kwamba watu wengi wa mijini utawaona kwa muonekano wanang’ara lakini ukiwapima wengi wao ni wagonjwa wanaotembea !
Lakini watu wengi wa vijijini ukiwaona kwa muonekano utawaona kama wamepauka na miili midogo midogo lakini ukiwapima utagundua wengi wao wana afya njema kabisa na hawana maradhi ya aina yeyote ile !!
🙏🙏
 
Back
Top Bottom