TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Pale Shy hakuna watu walikufa kwa ngoma kama wafanyakazi wa shirecu, aisee we utakua umekaa sana hapo mzee
Hahaaa..napapata sana..wazee walifanya kazi..ingawa tuliondoka kitambo..sema mzee hunisimuliaga story za hapo...wanyantuzu walipiga hela sana.
Shirecu ndio iliyoujenga shy.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanyantuzu ndio walimaliza hilo shirika aisee, wakina Gaki, Fresho, Mbuzi na kuna muarabu mmoja wakabaki wanatajirika kupitia pamba, chama cha ushirika kikiwa hoi.
 
Wanyantuzu ndio walimaliza hilo shirika aisee, wakina Gaki, Fresho, Mbuzi na kuna muarabu mmoja wakabaki wanatajirika kupitia pamba, chama cha ushirika kikiwa hoi.
Ni kweli kabisa mana shirika lilijaza ukabila sana hasa wanyantuzu..wajanja nao wakaingia wakapiga vzr..sema kilichoua zaidi shirika ni ubinafshaji uliofanyika na mambo ya soko huria..kipindi cha utawala wa awamu ya tatu.

Ila shirecu was [emoji91][emoji91][emoji91]

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubinafsishaji sawa, sema kiuhalisia watu walishindana kuiba, afu kama unavyosema wajanja walitumia fulsa( ilifika hatua pamba inapigwa moto ili bima ilipe), Unaona wakina mbuzi ( Jambo group) washaachana na mambo ya pamba kabisa kwa sasa.
 
Waafrika tunakataa chanjo ya corona

wakati huo huo binadamu wengine wanaiogopa corona huku wakiwa wamechanjwa

Dunia imechangamka kweli😅
Huyu .... Nikimkuta mbinguni sijui malaika watakuwa wamekosea wapi ... Mdhulumati Sana Huyu mzee ....
 
Acha nife .. Sichanjiiiii ...
 
Huyo minzi yeye mwizi sasa unasemaje pesa ya uwizi ikawa imedhulumiwa,bila roho ngumu utajiri utaupata ahera
 
Huyo minzi yeye mwizi sasa unasemaje pesa ya uwizi ikawa imedhulumiwa,bila roho ngumu utajiri utaupata ahera
Hahaaa..kwahiyo ni mchezo wa majizi..ila hadi kumtishia maisha ingawa ndiye aliyempa hela amhifadhie alizopiga..ili akitoka jela amrudishie na maisha yaendelee.

Ila point itabaki hao majamaa mali zao niza wizi..udhulumaji na ufisadi wa kupindukia...hawaaminiki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…