TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Wanyantuzu walikua na shida sehemu, wengi walikufa kwa ngoma wakaacha majumba huko mwasele yanamilikiwa na watu wengine.
Umenikumbusha Mzee Kiloba. Huyu alikuwa manager Lugulu. Kipindi tupo watoto kabisa. Mkewe alikufa kwa ngoma na yeye akamfuata. Walikuwa na bonge la nyumba Mwasele. Mwasele ilijaa wanyatunzu. Kina Magulu wadogo wawili nao ngoma iliwapeleka.Hivi mzee Mahongo bado yupo Mwasele ?Shirecu ltd 1984.Shirika hata miaka 20 halikufikisha likaanza kuyumba mpaka kufa. Edward Ng'hwani aliliua shirika kwa kuendeleza unyantuzu.
 
Naona unajisifia na kabila lako mangi
 
Wabongo,ndo maana mimi sitaki mazoea nao kabisa.Kama karudishwa safi sana kawaziba midomo yao.
 
Mwenyekiti Ngwani..daah enzi hizo..kimsingi shirecu ilikua ni [emoji91][emoji91]..wakina sull..kabizi..minzi..mbogo..kunze..magulu..kiloba ..na wengine wengi..hakika wanyantuzu walitake over.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Sulla last time napita Shy alikua na ka saccoss pale NSSF naona bado anajitahidi kujifanya boss.
Hivi GM Sulla bado yupo ?Kweli Shirika lilijaa wanyantuzu. Kumbuka Edward Ng'hwani ndo alikuwa mwenyekiti wa Shirecu. Sema Ukimwi kweli uliwamaliza. Kuna mjomba wangu pia alikufa alikuwa manager wa Ginery moja ya Shirecu [emoji24]
 
Pale Shy hakuna watu walikufa kwa ngoma kama wafanyakazi wa shirecu, aisee we utakua umekaa sana hapo mzee
Hawa walikuwa wanakojoa bar halafu anamuambia muhudumu deki halafu anamlipa hapo hapo. Ndio hawa walianzisha mfumo wa kununua bia kreti, wanajaza kwende ndoo ya lita 20 zote halafu wanachota kwa kikombe. Matajiri wengi wa shinyanga, bariadi na mwanza msingi wao mkubwa ulitokana na NCU na SHIRECU.

Na pia jeshini enzi za msuguli yaelezwa imetajirisha sana wengi.
 
Hadi leo Shirecu imejaa wasukuma. Sasa hivi General Manager wake ni jamaa moja anaitwa Hans ni Mnyakyusa, ila staff wote ni full wasukuma. Ila hivi vyama vilikuwa Giant sana, hadi Nyerere unaambiwa aliviogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…