Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Pac the Don

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
6,170
Reaction score
7,710
Screenshot_20210526-173718.png
 
Mkubwa anawahadaa wenzake huku yeye akipokea ruzuku kupitia mlango wa nyuma. Serikali, Mbowe na wale wabunge wa viti maalum 19 lao ni moja tu.
 
Sema tatizo hizo claims hazina evidence but Mbowe anaongea public tena kwa kujiamin, huez ona yupo sahihi?
maybe, lkn huwa siwaamini wanasiasa kwa asilimia zote. Kumbuka ni huyu huyu aliesema kuwa anae amini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, lkn ilipofika mwaka 2015 yeye akawa wa kwanza kusema kuwa Lowasa sio fisadi na mpaka leo hakuna mtu aliempima yeye akili.
 
😂😂😂😂😂😂😂 kitu pekee ninachokiamini kutoka mdomoni mwa Mbowe ni pale anapowambia wanachadema Peoplezzzzzzzzzzzzzzz bila ya kujua wanaibiwa wanaitikia pawerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Ndilo hilo tunataka evidence wanaibiwaje??
 
maybe, lkn huwa siwaamini wanasiasa kwa asilimia zote. Kumbuka ni huyu huyu aliesema kuwa anae amini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, lkn ilipofika mwaka 2015 yeye akawa wa kwanza kusema kuwa Lowasa sio fisadi na mpaka leo hakuna mtu aliempima yeye akili.
Hizo ni political games zipo popote hata CCM
 
Back
Top Bottom